Mustakabali wa usalama wa Tundu Lissu

Mustakabali wa usalama wa Tundu Lissu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,341
Reaction score
144,831
Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?

Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?

Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?

Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!

Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.

Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?

Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.

Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.

Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .

Jumapili njema.
 
Kwa Pressure ilivyo nadhani wapanga mikakati wamegundua jamaa ni maarufu kuliko waliyokuwa wanafikiria, wasipoangalia wameshajenga chuki mbaya sana na Raia wanajua ni wao wamefanya, Kitakachofuata watu wataanza kuwindana wao kwa wao, Mtu na mtu, Chama kwa chama, kabila kwa kabila mwisho wa siku siwezi tabiri kila mtu anajua
 
Kumbe mnajua ccm ndiyo wauaji ila huwa mnajitoa ufahamu
 
Kwa Pressure ilivyo nadhani wapanga mikakati wamegundua jamaa ni maarufu kuliko waliyokuwa wanafikiria, wasipoangalia wameshajenga chuki mbaya sana na Raia wanajua ni wao wamefanya, Kitakachofuata watu wataanza kuwindana wao kwa wao, Mtu na mtu, Chama kwa chama, kabila kwa kabila mwisho wa siku siwezi tabiri kila mtu anajua
Huu utawala unabomoa mambo mazuri yaliyojengwa na watangulizi wake halafu unajenga vitu vya kijinga kabisa na hatari kwa nchi
 
Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?

Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?

Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?

Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!

Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.

Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?

Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.

Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.

Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .

Jumapili njema.
Kama hujui serikali ya sasa hii haijali kutiwa doa wala baka inacho tizama nia yake imefanikiwa ndio maana imeandaliwa hoja nkamia mapema.
 
Kumbe sometime uwa wanaccm mnawaza kwa kutumia ubongo.

Swala la lissu kwakweli kulindwa na mapolice wa nchi hii no nalikataa ..

Walinzi wa chama nao ni rahisi kurubuniwa na serikali ..

Lissu anatakiwa kulindwa na Umma wa watanzania na Mungu tu sio watu wa hovyo labda kama ni ulinzi toka nje ya nchi..
 
Kwa Pressure ilivyo nadhani wapanga mikakati wamegundua jamaa ni maarufu kuliko waliyokuwa wanafikiria, wasipoangalia wameshajenga chuki mbaya sana na Raia wanajua ni wao wamefanya, Kitakachofuata watu wataanza kuwindana wao kwa wao, Mtu na mtu, Chama kwa chama, kabila kwa kabila mwisho wa siku siwezi tabiri kila mtu anajua

Chuki iko kwa raia wachache na wajinga wanaoamini vitu vyakulishwaaa bila ushahidi. Maana hadi sasa hamna ushadi wa aliyeona tukio ama uchunguzi juu ya mhusika halisi.
 
Kwa Pressure ilivyo nadhani wapanga mikakati wamegundua jamaa ni maarufu kuliko waliyokuwa wanafikiria, wasipoangalia wameshajenga chuki mbaya sana na Raia wanajua ni wao wamefanya, Kitakachofuata watu wataanza kuwindana wao kwa wao, Mtu na mtu, Chama kwa chama, kabila kwa kabila mwisho wa siku siwezi tabiri kila mtu anajua

Worst case scenario....
 
Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?

Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?

Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?

Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!

Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.

Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?

Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.

Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.

Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .

Jumapili njema.
Umecopy na kupaste?
 
Mi ningekuwa Magufuli unafiki ningeacha mbali kabisa ili tufundishane adabu! Nawaachia chadema wamlinde mtu wao askari waaachane naye kabisa. Maana kama hawaniamini najikosha nini? Wale vijana wanaofunzwa porini sijui red bri.... Wafanye kazi yao.
Huyu ni uvccm anatoa maoni yake tumvumilie maana uwezo wao wa kufikiri upo hivi kama mnavyouona
 
Back
Top Bottom