Mustakabali wa usalama wa Tundu Lissu

Mustakabali wa usalama wa Tundu Lissu

Ni kweli tusipokua makini kutakua na uhasama jambo ambalo ni baya mno
 
Sifa ya kujua kusoma na kuandika ndo kigezo kikuu cha kuwa MBUNGE ni udhaifu tosha kuwa na watu wa kariba ya NDIOOOOO...bungeni...umachachari wa kibunge na baadhi ya wabunge kudhoofishwa na wale walioko bunge kwa bahati ya udhaifu wao ndo gharama zake hizi leo...bado naamini police na wanadheria Km Chenge ndo tatizo kubwa la nchi...Wamepiteza Huruma ya kibinadamu na kuishi kwa order...Mungu anisamehe...ulichopanda ndicho utavuna...Mwana sheria Lissu na uwana harakati wake umetokana na kuismart sheria ilitungwa na wanasheria wenye kujinufaisha wao enzi za nyuma hasa sana kuanzi kipindi cha mzee Mkapa (termist of Globalization erra).leo hii katka harakati yakutaka kusahihisha Kile kibovu kilichofanywa na wanasheria wenzake imekuwa nongwa ya Kinfumo. Ipo siku jamii ya watz wataamin kufa kuliko kunyanyaswa kwa kadri nafsi moja moja itamshauri. Ukintukana mtu ambae Hana elimu juu ya ujinga wake kutokana na elim HAIMSUNBUHI sana tusi hilo...ukimtukana anaejijua kasoma ingawa Hatendi kutokana na elimu yake...anachukia sn. ..Wanamchi hawajawahi kuwa wabaya woote kwa wakati Mmoja/msimu mmoja...ila serikali na Mifumo yake inaweza.!!
 
Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?

Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?

Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?

Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!

Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.

Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?

Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.

Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.

Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .

Jumapili njema.
Sidhdni kama Lissu ana fikra za ' kitumwa' kiasi cha kumfikiria eti anaweza kulikimbia taifa lake na watu wake na kuamua kwenda kula makombo ya weupe ughaibuni sidhani, hizo ni fikra za kimshumbuzishumbuzi!
 
Ukitaka kujua abapendwa kiasi gani mtaani njoo leo ueleze habari zake kila mtu anasikitika
Pona haraka mh Lissu kipenzi cha masikini wote duniani
Tujitolee michango yetu kwa matibabu yake duniani kote
 
Ni kazi rahisi sana kwa Lissu aamini kuwa analindwa na nguvu za Mungu.

Kazi yake ni kuamini tu kwa Yesu Kristo na kumpa maisha yake mambo ni rahisi sana
 
Kwa Pressure ilivyo nadhani wapanga mikakati wamegundua jamaa ni maarufu kuliko waliyokuwa wanafikiria, wasipoangalia wameshajenga chuki mbaya sana na Raia wanajua ni wao wamefanya, Kitakachofuata watu wataanza kuwindana wao kwa wao, Mtu na mtu, Chama kwa chama, kabila kwa kabila mwisho wa siku siwezi tabiri kila mtu anajua
Kama ni kweli mamabo mengine hupangwa kwa ajili ya kupima joto au kuhamisha hisia.
Sasa hivi tumeshasahau makinikia,ni mwendo wa albadiri tu nchi nzima,yatapita tu haya na mtasahau
 
Sifa ya kujua kusoma na kuandika ndo kigezo kikuu cha kuwa MBUNGE ni udhaifu tosha kuwa na watu wa kariba ya NDIOOOOO...bungeni...umachachari wa kibunge na baadhi ya wabunge kudhoofishwa na wale walioko bunge kwa bahati ya udhaifu wao ndo gharama zake hizi leo...bado naamini police na wanadheria Km Chenge ndo tatizo kubwa la nchi...Wamepiteza Huruma ya kibinadamu na kuishi kwa order...Mungu anisamehe...ulichopanda ndicho utavuna...Mwana sheria Lissu na uwana harakati wake umetokana na kuismart sheria ilitungwa na wanasheria wenye kujinufaisha wao enzi za nyuma hasa sana kuanzi kipindi cha mzee Mkapa (termist of Globalization erra).leo hii katka harakati yakutaka kusahihisha Kile kibovu kilichofanywa na wanasheria wenzake imekuwa nongwa ya Kinfumo. Ipo siku jamii ya watz wataamin kufa kuliko kunyanyaswa kwa kadri nafsi moja moja itamshauri. Ukintukana mtu ambae Hana elimu juu ya ujinga wake kutokana na elim HAIMSUNBUHI sana tusi hilo...ukimtukana anaejijua kasoma ingawa Hatendi kutokana na elimu yake...anachukia sn. ..Wanamchi hawajawahi kuwa wabaya woote kwa wakati Mmoja/msimu mmoja...ila serikali na Mifumo yake inaweza.!!
Hapa naona moyo wangu umepata tabasamu. Udhalimu unaweza kuvumiliwa lakini si kwa muda wote upo muda ambao watu watasema sasa yatosha. Nondo unaweza kuikunja kwa umbo lolote lile lakini hufikia pahala huwezi kuikunja zaidi kwani itakatika.
 
Dawa tu kumdhibuti tu Bashite


OVER
That's true.

Ukimlinda tu Bashite, basi umemaliza kazi....

Huoni pamoja na kashfa kibao, "babamtu" ameamia kuuchuna....

Kwa kuwa anajua akitoka tu Bashite, hakuna mtu mwingine anayeweza pokea maamuzi ya "kipiuuzi" kama hayo, kwa kuwa ni "mpuuzi" pekee anayeweza kupokea maagizo ya kuua mtu bila kosa!
 
Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?

Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?

Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?

Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!

Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.

Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?

Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.

Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.

Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .

Jumapili njema.
Mbona unajiuliza maswali mwenyewe na kujijibu mwenyewe
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mh Lissu anajeshi la kumlinda na wala asikate tamaa, mungu yupo nae. Watanzania wameshalijua nadha kwa sala zao zitamlinda. Labda sasa hivi watafute kichaa.
 
Chuki iko kwa raia wachache na wajinga wanaoamini vitu vyakulishwaaa bila ushahidi. Maana hadi sasa hamna ushadi wa aliyeona tukio ama uchunguzi juu ya mhusika halisi.
Mpaka sasa "watuwasiojulikana" hawajapatikana. Hii ni dalili kuwa wale "ndugu zetu" wafia chama na serikali wanahusika. Hao unaowaita "raia wachache na wajinga" siku watakapowajua kuwa "watu wasiojulikana" ni hao "ndugu zetu" ndo utajua idadi yao!
 
Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?

Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?

Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?

Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!

Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.

Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?

Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.

Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.

Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .

Jumapili njema.
Bora awe mkimbizi Wa kisiasa Canada,awe anarusha makombora toka Masada ya mbali.Ikifika kipindi cha uchaguzi aje maana ndiye mtarajiwa 2020
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kama ni kweli mamabo mengine hupangwa kwa ajili ya kupima joto au kuhamisha hisia.
Sasa hivi tumeshasahau makinikia,ni mwendo wa albadiri tu nchi nzima,yatapita tu haya na mtasahau

Ila pale wapambe watakapokuwa wanatembea na kukata mauno njiani na kukimbila kula majalalani ndiyo haitasahaulika.
 
Sasa mtu anakatwa miguu na mikono.. kuna mtu kwel hapo au kopo tu limebaki...naskia sehemu za siri zimebak uji hii si hatar
 
Mi ningekuwa Magufuli unafiki ningeacha mbali kabisa ili tufundishane adabu! Nawaachia chadema wamlinde mtu wao askari waaachane naye kabisa. Maana kama hawaniamini najikosha nini? Wale vijana wanaofunzwa porini sijui red bri.... Wafanye kazi yao.

Acha kuzunguka sema muhusika bana.
 
Mi ningekuwa Magufuli unafiki ningeacha mbali kabisa ili tufundishane adabu! Nawaachia chadema wamlinde mtu wao askari waaachane naye kabisa. Maana kama hawaniamini najikosha nini? Wale vijana wanaofunzwa porini sijui red bri.... Wafanye kazi yao.
Una ushahidi wa hao vijana wanaofunzwa porini utuwekee hapa please...

Na kama huna nyamaza
 
Ila pale wapambe watakapokuwa wanatembea na kukata mauno njiani na kukimbila kula majalalani ndiyo haitasahaulika.
Ndio matumaini yenu hayo
Angesomewa Bush na waarabu,au wangesomewa waisraeli kwa mibomu wanayowapopoa waarabu maana huko ndiko kwenye chimbuko la ilmu hiyo.
Endeleeni tu na matukio
 
Back
Top Bottom