Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Hutaishi milele kwa kuwa mwili wako na akili yako imeshaoza!Sasa mtu anakatwa miguu na mikono.. kuna mtu kwel hapo au kopo tu limebaki...naskia sehemu za siri zimebak uji hii si hatar

kwani Red Brigade waliruhusiwa kutumia silaha za moto mbona ni Kung fu na fimbo tuMi ningekuwa Magufuli unafiki ningeacha mbali kabisa ili tufundishane adabu! Nawaachia chadema wamlinde mtu wao askari waaachane naye kabisa. Maana kama hawaniamini najikosha nini? Wale vijana wanaofunzwa porini sijui red bri.... Wafanye kazi yao.
Nashindwa kuisoma akili yako kuna kipindi unakuwa njia kuu Mara unachepuka. Husomeki[emoji379] [emoji84] [emoji196] [emoji216] weSijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...
Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?
Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?
Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?
Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!
Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.
Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?
Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.
Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.
Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .
Jumapili njema.
Haaaa! mlinzi km wa suma jkt Majambazi wanamwambia kimbia anakimbia unafungua geti siraha hanaMlinzi ni mlinzi tu, awe wa chama au serikali bora kaitwa mlinzi maana yake ni mlinzi atalinda kulingana na mkataba wake.
Hizi zote ni dhana kumbuka nae ana familia,mke na watoto wanamuhitaji na kumtegemea katika maleziSijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...
Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?
Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?
Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?
Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!
Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.
Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?
Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.
Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.
Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .
Jumapili njema.
Wewe Nyani hupuliza na kung'ata napataga tabu kukuelewa! Mara umhurumie TL Mara usupport kuumizwa kwake. Please Un mask your blocks if Western or Eastern or Non alignment!Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...
Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?
Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?
Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?
Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!
Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.
Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?
Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.
Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.
Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .
Jumapili njema.
Usalama wa Lissu baada ya kupona na kurejea nchini utwbaki kuwa wa kawaida tuSijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Una kesi ya kujibu!Kumbe mnajua ccm ndiyo wauaji ila huwa mnajitoa ufahamu
Alieleta mada
Kwa lugha hiyo, unathibitisha hofu yangu kwamba tayari mzizi wa chuki ndani mwako umeanza kuota. Hapo ulipo sijui unawaza kutenda lipi kutuliza hiyo hasira ya chuki. Lakini fahamu ya kuwa hatua yoyote ya kulipiza unayowaza itakusaidia wewe tu kutuliza hasira lakini madhara yake kijamii hayatakuwa yako mtu binafsi.
HASIRA HASARA
Tatizo vitu vya maana hamsomi mnakalia ujinga na kuruhusu akili zenu zichotwe vichwani mwenu! Unafikiri ulinzi wa raia kwa polisi ni suala la hiari ya mtu fulani? Huyo unayemshauri huo ujinga anafahamu kuwa hilo ni suala la kikatiba!Mi ningekuwa Magufuli unafiki ningeacha mbali kabisa ili tufundishane adabu! Nawaachia chadema wamlinde mtu wao askari waaachane naye kabisa. Maana kama hawaniamini najikosha nini? Wale vijana wanaofunzwa porini sijui red bri.... Wafanye kazi yao.
Usalama wa Lissu baada ya kupona na kurejea nchini utwbaki kuwa wa kawaida tu
Nasema usalama wake utabaki kuwa wa kawaida kutokana na nature ya Lissu mwenyewe maana sidhani kama itaweza kubadirika kwasababu katishiwa kuuwawa au/ama kwa kunusurika kuuwawa
Lissu ni mpigania haki,,,hii ndo kazi yake kubwa wote tunaelewa
Na kazi yake inasemekana ndiyo chanzo kikubwa cha yeye kuwa adui na watu Fulani ambao hao ndio wamekuwa wakimtafta wampoteze na/au hao ndiyo waliofanya jaribio la kumuuwa Lissu kwa kumpiga risasi
Kwa imani kubwa niliyo nayo juu ya Lissu,,,...siwezi kupinga uhalisia kwamba Lissu akipona ataendeleza upambanaji wake marambili zaidi
Ataendelea kupambana na hataogopa chochote maana kama ni kifo amesha kinusa na kukishuhudia kwa macho yake akishambuliwa na risasi
Maadui zake watazid kumtafuta na kutaka kumpoteza kabisa
Isipokuwa,,..kama maadui zake ni serikali, watapata hofu kufanya jambo la ajabu na aibu kwa Mara ya pili huku wakitazamwa na macho ya Dunia
Ndiyo maana nasema usalama wa Lissu utabaki kuwa wa kawaida
Kwasababu Lissu hawezi kuceaze kufanya shughuli zake za kulinda na kutetea haki za watu
Pia kama ambavyo serikali ilishindwa kumpa ulinzi alipo lalamika kuwa "kuna Gari ya watu imekuwa ikimfuatilia"
Vivyo hivyo itakuwa vigumu kwa serikali kumpa jeshi/jeshi liweke kambi kwake kumlinda asifikiwe na adui zake
Usalama wake utabaki wa kawaida na sawa na siku zote
Wewe Nyani hupuliza na kung'ata napataga tabu kukuelewa! Mara umhurumie TL Mara usupport kuumizwa kwake. Please Un mask your blocks if Western or Eastern or Non alignment!
Nashindwa kuisoma akili yako kuna kipindi unakuwa njia kuu Mara unachepuka. Husomeki[emoji379] [emoji84] [emoji196] [emoji216] we
Msalimie shemeji mwambie nimeelewa sanaSijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...