Uliza_Bei
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 3,216
- 994
Hii ni hatari sana kwa TAL anayofanyiwa na wanaojiita wapendwa wake wakiongozwa na CDM tangu Dodoma hadi hapo Nairobi. He wanapoonyesha kutokuwa na imani na Tanzania wanataka kusema sasa TAL ni mkimbizi wa kisiasa anayetafuta pa kuishi lakini siyo Tanzania? Hii ni sawa na kumuamria mwanao under 18, je inahakika akikua atayakubali maamuzi yako? Nahisi hawa jamaa wanataka kumfanya mgonjwa huyu asirudi kwao na ashindwe kusema anachokijuwa. Tuwaangalie vyema hasa nawakumbusha ndugu wa TAL mshituke kabla hayajafika mbali haya mambo