Mustakabali wa usalama wa Tundu Lissu

Mustakabali wa usalama wa Tundu Lissu

Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?

Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?

Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?

Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!

Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.

Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?

Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.

Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.

Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .

Jumapili njema.
Nyani Ngabu wakati mwingine akili zako huwa zinarudi sawa.safi.
 
Kama ni kweli mamabo mengine hupangwa kwa ajili ya kupima joto au kuhamisha hisia.
Sasa hivi tumeshasahau makinikia,ni mwendo wa albadiri tu nchi nzima,yatapita tu haya na mtasahau
Mambo ya makinikia yanawahusu wenyewe waloyaanzisha,wanabak kujidanganya wenyewe sio sisi
 
Unafikiri Tundu amepigwa risasi kwa sababu ya umaarufu! Hebu jaribu kufikiri usijipebupofu wa ubongo!!
Kapigwa risasi kwa sababu ya kuwaambia wananchi ukweli, huku watawala wakitaka wananchi wabaki kama kondoo wasiojielewa.
MFANO:-
1. Swala la Bomberdia kukamatwa na kwa sababu gani!!
2. Swala la migodi na mikataba mibovu
3. Swala kuwaambia watu haki zao e.g. kutokukubali kupimwa mkojo mambo kama haya hukasirisha watawala etc
 
Sasa mtu anakatwa miguu na mikono.. kuna mtu kwel hapo au kopo tu limebaki...naskia sehemu za siri zimebak uji hii si hatar
Ovyooooo
IMG_-n4rp0w.jpg
 
Ndio matumaini yenu hayo
Angesomewa Bush na waarabu,au wangesomewa waisraeli kwa mibomu wanayowapopoa waarabu maana huko ndiko kwenye chimbuko la ilmu hiyo.
Endeleeni tu na matukio

Tulieni dawa iwaingie.
 
Unajaribu kutufanya tufikirie kwamba mpango wa kumuua Antiphas Lissu umepangwa na serikali tu!! Mimi sina utaalamu wa mambo ya usalama na wala sijui nani anaweza kuwa amehusika. Ninachojua ni kwamba mhanga ni ndugu yangu na mbunge wangu. Siitetei serikali unayoituhumu wewe kwa maana nimesema sijui kitu. Ninaomba watanzania hasa vyombo vya usalama vifikirie mbali zaidi. Watanzania fikirieni nje ya mambo yanayoonekana ili kujua ukweli. Tukiishia kuangalia mazingira yaliyopo na kutoa uamuzi tunaweza tusijue wahalifu na watakuwa wameshinda. Watashinda kwa sababu lengo lao ni kutojulikana. Ushauri wangu kwa watanzania tupanuke mawazo. Misimamo mizuri ya Lisu kisiasa yaweza kumfanya awe na maadui ndani na nje ya Chama chake. Tusiaminishwe tu kuwa wahusika ni watu fulani kupitia mitandao. Ufanyike utafiti wa kisayansi utakaomulika hata nguo zake Lisu. Nazidi kumuombea kwa Mungu apone haraka maana tunamhitaji jimboni kwetu. Sasa msianze kunishambulia kwa maneno mimi si jasiri kama mdogo wangu Lissu.
Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?

Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?

Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?

Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!

Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.

Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?

Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.

Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.

Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .

Jumapili njema.
Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?

Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?

Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?

Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!

Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.

Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?

Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.

Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.

Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .

Jumapili njema.
 
Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?

Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?
...
Jumapili njema.
Kwa heshima zako humu jamvini, Mkuu Nyani Ngabu, tuachane na kuendeleza ujenzi wa chuki katika mioyo ya WaTZ, kwa shambulizi la Mh Lissu, ati linatokana na mtazamo wake kisiasa. Tuelekeze nguvu na maombi yetu katika uponyaji wake.

Nalisema hilo kwa sababu mijadala yetu humu, mitandaoni, vyombo vya habari, mwelekeo wake si wa kuinyooshea vidole tu Serikali kuhusika, ila CCM, kana kwamba CCM ni mtu ndiye aliyehusika.

JAMBO USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA

na

AKUTUKANAYE HAKUCHAGULII TUSI
 
UNAISHI SAYARI IPI MKUU???

TEMBELEA ZANZIBAR UTAJUA NI NANI MPISHI WA YOTE HAYA
 
m nadhan kuhusu ulinzi wake anapaswa kupewa na chama chake considering wanaamin serikali ndio haswa imefanya jaribio
 
By AGGREY OMBOKI

Tanzanian firebrand opposition leader Tundu Lissu, who was shot by unknown gunmen in in Dar es Salaam last week, is still in critical but stable condition in hospital.

Chadema leader Freeman Mbowe, who visited Mr Lissu on Thursday, dismissed reports in a section of Tanzanian media that the life of the opposition party’s chief whip is in danger.

He said while the condition of the Singida MP has been fluctuating, he is on a recovery path, and that there was no cause for alarm.

Mr Lissu, he said, is able to speak and has been receiving visitors under strict conditions imposed on the hospital staff of The Nairobi Hospital.

BED REST

Visitors, he said, had been limited because they want the lawmaker to have enough bed rest as recommended by the medics.

Mr Mbowe called on the Tanzanian government to allow international investigators to help unravel the mystery surrounding Mr Lissu’s shooting.

He said the opposition party does not have confidence in the investigations being carried out by Tanzanian police.

Mr Lissu, a fierce critic of President John Magufuli’s government, was shot by unknown assailants near his home in Dodoma on September 7.

Back
Top Bottom