angel has fallen ni bonge la movie....sn afu lipo kisasa.....zaidi linahusiana mjeda senior anmbambika kesi ya mauaji junior wake ambaye ni milinzi wa raisi lkn raini anamuamini na jamaa anakomaa ku mprove wrong jambaka kwa usalama...yaani ni moto wa kuotea mbali...
HOT