Must see Movies

Hujawahi kuicheki?

Ina story nzuri sana hasa kwa mimi mpenda movie za kale.

Sijawahi kuicheki aisee ni story tupu au na mkono ndani yake...?

Halaf nikumbushe jina la yule starring asiyejua kupigana yupo na mkewe na watoto wawili. Hahah.
 
Sijawahi kuicheki aisee ni story tupu au na mkono ndani yake...?

Halaf nikumbushe jina la yule starring asiyejua kupigana yupo na mkewe na watoto wawili. Hahah.
Ina mkono humo sio poa.

Ile ya machafuko? "No escape".
 
Jamaa anaitwa "owen wilson"

Kuna movie alishacheza na jack chan nimeisahay jina.

Oooh Owkay halaf kuna movie moja ya kitambo kama ulivyosema mwenyewe ila sio ya kale. Hahah.

Kuna dogo mmoja anakuwa mkubwa sana anatoka nje anaharibu vitu yaani kila muda anaongezeka ukubwa kupita hata nyumba, natumai utakuwa umeielewa hebu nipe jina niirudie niliiona kitambo sana aisee.
 
"Hulk". itakuwa. Ziko part 1 & 2
 
"Hulk". itakuwa. Ziko part 1 & 2

Unasemea The Incredible Hulk jamaa anakuwa kama wa kijani hivi. Kama jitu la ajabu right...?

Kama unamaanisha hiyo hapana sio hiyo mkuu. Yenyewe ni mtoto kabisa na hata alipokuwa mkubwa kuliko nyumba bado alikuwa yupo kwenye taswira ya kitoto lakini ni bonge la toto kubwa kuliko nyumba mkuu.
 
Daaah nimeikumbuka ndio mwishoni anajizamisha baharini.

Ila hata mimi nimeisahau jina.
 
Daaah nimeikumbuka ndio mwishoni anajizamisha baharini.

Ila hata mimi nimeisahau jina.

Hahahahah sikumbuki mwishoni inakuaje kwa kweli.

Na ulivyosema kujizamisha baharini umenikumbusha pia Splash. Msichana nguva hope umeiona ya kitambo pia.
 
TROY ni balaa zito,,Achilles Achillles Achilles,,nilipenda pale alipokua anamuita Prince Hector wapambane,dah huu mzigo mwisho
Aisee Troy iko vizuri ni zaidi ya troublemaker mkuu.

Naiangalia into the badlands sasa hivi aisee. Mtoto hatumwi dukani ukimtuma anakataa. Ni hatari sana.
 
TROY ni balaa zito,,Achilles Achillles Achilles,,nilipenda pale alipokua anamuita Prince Hector wapambane,dah huu mzigo mwisho

Hahahahah jamaa kamkalisha Prince ndani ya himaya yao huku mfalme akishuhudia. Bonge ya movie kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…