kweli kabisa, mi kwenye movie huwa napenda zenye scripts nzuri na wenye punchlines kama jack nicholson, morgan freeman na michael douglas. wabongo wengi scripts huwa mbovu na hawana punchlines. wengi hujiongeleaongelea na kutoka kwenye story.hahahahahaaa,yani kaka mi mwenyewe mpaka leo kile kipande sichoki kukiangalia.hayo maneno ya Viggo ndo my best quote kwenye ile movie...hiyo ilikua ni baada ya Viggo kumwambia mwanae "it's not what you did, son, that angers me so...it's who you did it to." na mwanae baada ya kujibu "who? that fuc**ng nobody!!!" Viggo ndo akasema yale maneno ambayo shemeji yetu bado anayakumbuka mpaka leo, kama ambavyo nami nayakumbuka pia.
Kiukweli bongo bado tupo nyuma sana kiuandishi na uigizaji pia, ndo maana mtu ukizoea kuangalia movie kali kama John Wick na series kama 24 ya Jack Bauer zenye script kali na waigizaji wazuri ni ngumu sana kupenda bongo movie ambazo kiukweli zinahitaji mapinduzi ya hali ya juu
kweli kabisa, mi kwenye movie huwa napenda zenye scripts nzuri na wenye punchlines kama jack nicholson, morgan freeman na michael douglas. wabongo wengi scripts huwa mbovu na hawana punchlines. wengi hujiongeleaongelea na kutoka kwenye story.
Ukisoma ukurasa wa wikipedia wa hii movie na nyingine nyingi kama sio zote za Hollywood ndio utaona wenzetu wako mbali zaidi kiasi gani. Ilimlazimu Keanu asafiri Brazil ili kwenda kujifunza sanaa ya mapigano, alijifunza kirusi,
Mimi siyo mpenzi sana wa kutazama filamu lakini katika moja ya filamu ambazo nazipenda sana ni Baby Boy.
Hii filamu ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona Taraji P. Henson.
Moja ya matukio niliyoyapenda sana kwenye hiyo filamu ni ile 'sex scene' kati yake (Taraji) na Tyrese.
Tukio jingine ni pale Ving Rhames alipokuwa akitengeneza staftahi jikoni bila nguo halafu Tyrese akawa anatoka chumbani kwake akielekea jikoni kulikokuwa kunanukia akidhani mama yake ndo alikuwa akitengeneza hayo mahanjumati kumbe ni Melvin (Ving Rhames), njemba iliyokuwa inammega mama yake na Jody (Tyrese).
Mpaka leo sichoki kuiangalia hii filamu.

hiyo movie hata mimi ilinibamba sana, jamaa ilikuwa anamvumilia demu clueless kabisa. sequel nyingi huwa hazivutii na pengine aliona age itakuwa imeenda sana. nimeona horrible bosses 2 ni mbaya jap waigizaji wazuri. sequel kuhit ni kazi sana.Baby Boy ni movie nzuri sana, Taraji na Tyrese wote walicheza vizuri sana. Mimi sinema niliyoiangalia mara nyingi sana kuliko sinema yoyote ni Pretty Woman. Ikiwa inaonyeshwa kwenye TV basi nitaiangalia yote. Julia Roberts aliniudhi alipokataa kucheza sequel mwaka 2000.
hiyo movie hata mimi ilinibamba sana, jamaa ilikuwa anamvumilia demu clueless kabisa. sequel nyingi huwa hazivutii na pengine aliona age itakuwa imeenda sana. nimeona horrible bosses 2 ni mbaya jap waigizaji wazuri. sequel kuhit ni kazi sana.

Niliko Theater fully booked itabidi nisubiri kama wiki ipite au mbili, uvumilivu sasa, asante sanaMiye nimeiangalia kwenye movie theater Mkuu ni nzuri sana na mwisho wametengeneza tribute ya Paul Walker nzuri sana nina uhakika kwa wale wenye machozi ya karibu watadondosha mawili matatu.