Mkuu
BAK, nisaidieni movies za aina ya Non-Stop, Bait na Armageddon. Kwa kifupi ni movies ambazo stories zake ni straight forward na zinasisimua.
Movies nyingi za siku hizi ni miyeyusho sana, unapoteza muda ku-Download then inaku-Disappoint vibaya sana.
I watched Godzilla (2014) and I was so disappointed.