Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,478
- 3,076
Nenda Ukraine au Congo tu kaka utatimiza haja yako [emoji16][emoji16][emoji16]Baada ya kukosa Headshot kwenye wdbsite zangu za mchongo nimeona ni heri kuipata kwa kutumia torrents. Kama kuna sehemu ninaweza kupata Headshot kwa 1.5GB kushuka chini naomba link yake. Pia naomba muongozo wa kutumia torrents, sijawahi kutumia torrent kudownload muvi kabla
Lastly, naomba recommendation ya muvi zenye action na damu nyingi sana kama The Night Comes for Us, sio iwe na damu tu nataka pia iwe na vifo vya kikatili na wawe wanaoneaha kabisa kila kitu bila kuficha, yani muvi ambazo watu wenye roho nyepesi hawawezi kuangalia bila kufumba macho. Iwe ya 2014 -2023 kutoka nchi yoyote ile ila isiwe ya India [emoji4][emoji4]
Nataka Action+ gruesome death+ too much gore
Hii unaonekana ni kaliNimeweka movie cover post ya juu hapo...ni movie mpya ya mwaka huu...kuna sniper anaua watu na haachi trace yoyote, sasa FBI wanahaha kumsaka
Ni Kali mno na kuna nyingine inaitwa unknown ipo kama hii ni kali pihuu mzigo Niko nao tangu 2021 kwnye PC, yaani nilikuwa nauvutia kasi niufute, sasa nikasema ngoja kucheki
duuuuh aisee bonge moja la suspense and thriller View attachment 2627718
Hii unaonekana ni kali
Unamaanisha kuna ushogaYa ukweli...inazingua mahali pamoja tu, huyo FBI anagawa taco...kama ilivyo kwa sasa karibu kila movie lazima kuwe na mambo ya uchoko
Shukrani mkuuMbona Yts ina Gb iyo uliyotaja kushuka chini.
Download uTorrent playstore ingia browser unayotumia labda Mozilla, Phoenix,Chrome au Opera min search Yts ukiingia Yts download pale utakuta kuna 720web/blulay,1080web nk...... Apo bonyeza quality unayotaka itadownload ikiisha tu open hyo link itakudirect uchague uTorrent then apo itakuwa tayari inadowload.
Link iyi ya Headshot
Unamaanisha kuna ushoga
Dah kama hivyo sitajiangaisha kuchekiFBI mmoja 'kaolewa' na mwanaume mwenzake...
Criminal mind,the wire, the american ingawa hii inabid uwe na muda siyo bora kiviile kwa upande wangu. Lkn kwangu pb na blacklist ni za kwanza kabisaa brak8ng band bado sijaianza kuiangaliaKwa sasa hivi angalia night agent na nyingine kaigiza rambo(tafuta jina lake)
kwa zamani ni hizi hapa
Breaking bad
Prison break
24
Blacklist
the capture
Korea kuna IRIS
TAJA ZA KWAKO
Bonge la movie aiseeUsijiulize mala 2 chukua huu mzigo
Dah kama hivyo sitajiangaisha kucheki
We unawaza ushoga tu, unadhani kuna mtu anaweza recommend series yenye ushoga humu? Hiyo ngoma nimeicheki na haina hivyo vitu.Warning [emoji3544][emoji3544]
Pitia kwanza reviews upate hata muelekeo wa series, usije ukajikuta week nzima unaangalia wanaume wanalana madenda tu
[emoji23][emoji23]Iko poa tu mzee. Reuben Challe humo kisusio kipo cha kutosha[emoji16]
Kaka hatuwazi ushoga ila tunachukua tahadhari. Wazungu wameamua kutusogezea mambo yao sebuleni!We unawaza ushoga tu, unadhani kuna mtu anaweza recommend series yenye ushoga humu? Hiyo ngoma nimeicheki na haina hivyo vitu.
Aisee hii muv ina bloodshed za hatari sanaNdio kwanza niko dk ya 56, lakini nimeona ni pause nije nilete mrejesho, huyu babu salute[emoji16][emoji16][emoji16]kuna action za kibabe humu! Babu anapindapinda kipande cha wire anajishona ka uzi!!!View attachment 2628191
Genre!!??Nani ana movies anipatie?