manyanga21
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 173
- 211
Nishakucheki pmView attachment 2513318
HEY YOU
Mwamba ni Software Engineer kutokana na shughuri zake anatumia muda mwingi Sana kazini na nyumbani kushinda na kumpyuta Hali inayomfuanya awe mpweke zaidi na ukizingatia hana mpenzi ataweza mpa kampani, kutokana na haali hio inamfanya jamaa kujiunga na mitandaoni ya kijamii ya kufanya mapenzi Mtandaoni yaani una login unachekiana na Mwanamke yeye yupo kwake na wewe upo kwako munafanya mapenzi kwa video charting
Siku moja akiwa anaendelea kufanya vedio Sex na Manzi mmoja ghafra Connection inakata Mwamba akiwa yupo High hivyo anachukia ila mda huohuo Kama dakika 15 mlango wake unagonga akifungua anakutana na Manzi mmoja Pisi kali Manzi anamuomba msaada Mwamba kuchaji PC yake na kumwambia yeye Ni jirani yake kwenye appartment hiohio hapo tu Next Door...Manzi alivyonigia ndani akaomba aende chooni mala Mwamba anaonaa text na picha ya yule Manzi alikuwa akisex nae Mtandaoni akimwambia WAIT mtandao kumbe bila kujua huyu Manzi aliyekuja kuchaji PC ndiye yuoe Manzi anaye sex nae mtaandaoni na lengo la kuja pale geto kuchaji hili akaendelee na pale walipoishi lakini wote hawajuani kwamba ndio wakule Mtandaoni kisanga maana huu nfio unakuwa mwanzo wa ukaribi na kuanza mahusiano ya kimapenzi bila ya kujuana ndio hao huwa wanafanya sex Mtandaoni....
Mzigo ninao pia Nina mizigo mingine mipya ya mwaka huu
1)PLANE ya Gerald Butcher
2)Megan (Horror)
3)True Spirit
4)Baby Ruby
5)Infesto (Crime Scine)
Nicheki PM nakuwekea Movie zaidi ya 200 kwa 9,000 tu
Huyo jamaa anauwezo mkubwaUna lipi la kusema kuhusu huyu jamaaView attachment 2518132
Mimi vile vimabawa vimenichosha kwa kweliHuyo jamaa anauwezo mkubwa
Ila kwa wakanda wamezingua
Movie imeisha nikabaki nashangaa hapa ndo mwisho au nimedownload nusu movie!
Kuna muvi inaitwa polar.Nyinyi mna moyo sana. Mimi nikidownload movie chini ya 2022, nafsi inanisuta kabisa[emoji28][emoji28]
Wakuu kuna movie naona kaielezea jamaa Instagram anajiita Dullekid nahisi itakuwa kali me nshajinyakuliaView attachment 2517449View attachment 2517450
Polar...... muvi ya waasherati[emoji23][emoji23]Kuna muvi inaitwa polar.
Jina lenyewe halivutii ila sasa....!!!!
Ya waasherati tena πππ muvi ina mkono balaaPolar...... muvi ya waasherati[emoji23][emoji23]
Jamaa kagonga demu, akapigwa shaba ya kichwa akafa ila bado mashine imesimama
Ila movie inakosha sana ile
Pale kuna dk kama mbili au tatu za mizagamuo kila uki 'skip' ngoma inadondokea kwenye mzagamuo ova unaangalia mdungo[emoji16][emoji16]Polar...... muvi ya waasherati[emoji23][emoji23]
Jamaa kagonga demu, akapigwa shaba ya kichwa akafa ila bado mashine imesimama
Ila movie inakosha sana ile
Imezidi jamaniProject Wolf Hunting..!!
Mkuu ushaicheki hiiWakuu kuna movie naona kaielezea jamaa Instagram anajiita Dullekid nahisi itakuwa kali me nshajinyakuliaView attachment 2517449View attachment 2517450
[emoji119][emoji119]Mkuu me hadi instrumental yao nimeidownload ni hatariIla twende mbele turudi nyuma ili introduction theme la G.O.T ni balaa
Kiporo cha weekend icho kakaMkuu ushaicheki hii
Kwakweli na mimi imebidi niidownload tu hakuna namna[emoji119][emoji119]Mkuu me hadi instrumental yao nimeidownload ni hatari
Sawa mkuu acha mimi nipite nayo leoKiporo cha weekend icho kaka
Huwezi linganisha ma zile takataka zinazo itwa animation kama black adam na nyingine zinazo fanana na hizoKwa walioiona hii muvi "SEOUL VIBE nadhani mliona wakati wa action graphics zinabadilika zinakuwa kama za game la GTA. Sijui director alifikiria nini [emoji38][emoji38]View attachment 2520501View attachment 2520502