Mwanangu upo kama mimi Moja Kati ya vitu vilivyonichosha ni video graphics zake yaani ilinipa kizunguzungu mpaka nikaona niishie dk 30 tu nilishindwa kuimaliza aisee nikaamua niifute kabisa ila nimejifunza kitu tusipende download tu movie kwasababu wengi wamesema nzuri au promo nikubwaNipo naangalia Carter hapa kwanza ipo overrated, uongo uongo aisee sio poa jamaa jinsi anapigana na wale ma agents kwenye zile minivans tatu na kwa wale wa mapikipiki yani hakuna uhalisia plus camera haijatulia mara inabinuka hivi mara vile, mara ipinde hivi, unajikuta unatamani hata uinamishe tv ili uone vizuri na hapa ndio waliponichosha mpaka zile action zinaisha nmehisi kizunguzungu
Carter ni ya kiboya sana.Mwanangu upo kama mimi Moja Kati ya vitu vilivyonichosha ni video graphics zake yaani ilinipa kizunguzungu mpaka nikaona niishie dk 30 tu nilishindwa kuimaliza aisee nikaamua niifute kabisa ila nimejifunza kitu tusipende download tu movie kwasababu wengi wamesema nzuri au promo nikubwa
Kwa promo tu walifanya kazi yao kwa ufasaha ila kawaida tu. Na hao jamaa walioedit mara camera inazunguka, mara chini mara juu wale wameharibu, movie haijatulia, vile vipande ukiangalia unaweza sema ni music video ndio tunaona edit za hivyo.Mwanangu upo kama mimi Moja Kati ya vitu vilivyonichosha ni video graphics zake yaani ilinipa kizunguzungu mpaka nikaona niishie dk 30 tu nilishindwa kuimaliza aisee nikaamua niifute kabisa ila nimejifunza kitu tusipende download tu movie kwasababu wengi wamesema nzuri au promo nikubwa
Mnafeli wapi muvi nzuri sana hiyo. Huwezi linganisha na muvi aina ya dr strange na kina captain america muvi za vile nilipenda moja tu inaitwa Birds of PreyMwanangu upo kama mimi Moja Kati ya vitu vilivyonichosha ni video graphics zake yaani ilinipa kizunguzungu mpaka nikaona niishie dk 30 tu nilishindwa kuimaliza aisee nikaamua niifute kabisa ila nimejifunza kitu tusipende download tu movie kwasababu wengi wamesema nzuri au promo nikubwa
Huo ni upekee wa hiyo muvi sijawahi one muvi imetendewa haki kwenye kucheza na camera kama hiyo. Mmezoea animations za marvel kama unacheza GTAKwa promo tu walifanya kazi yao kwa ufasaha ila kawaida tu. Na hao jamaa walioedit mara camera inazunguka, mara chini mara juu wale wameharibu, movie haijatulia, vile vipande ukiangalia unaweza sema ni music video ndio tunaona edit za hivyo.
Mwanangu upo kama mimi Moja Kati ya vitu vilivyonichosha ni video graphics zake yaani ilinipa kizunguzungu mpaka nikaona niishie dk 30 tu nilishindwa kuimaliza aisee nikaamua niifute kabisa ila nimejifunza kitu tusipende download tu movie kwasababu wengi wamesema nzuri au promo nikubwa
Mkuu umependa vile jinsi kamera zinazunguka zunguka mara uvunguni, mara pembeni, mara kama wana zoom out etc?! Binafsi sijapenda nkajikuta nazungusha sana shingo mpk zile scenes zikiisha nakuwa kama kizunguzungu. Na pia zile effects za moto hazijakaa sawa mkuu, moto wa uongo uongo yani movie inakuwa kama low budget movie japo kwenye mapigano wamejitahidiHuo ni upekee wa hiyo muvi sijawahi one muvi imetendewa haki kwenye kucheza na camera kama hiyo. Mmezoea animations za marvel kama unacheza GTA
Jamaa anajitahidi kuwatetea lakini ukweli graphics ya movie yao ilikuwa ovyo na walizidisha computer sanaMkuu umependa vile jinsi kamera zinazunguka zunguka mara uvunguni, mara pembeni, mara kama wana zoom out etc?! Binafsi sijapenda nkajikuta nazungusha sana shingo mpk zile scenes zikiisha nakuwa kama kizunguzungu. Na pia zile effects za moto hazijakaa sawa mkuu, moto wa uongo uongo yani movie inakuwa kama low budget movie japo kwenye mapigano wamejitahidi
Mimi Movie zenye fiction siku hizi hazinifurahishi kabisa napenda historical MovieNyie jamaa, kuna mtu ameiona Thor, mi nimeiangalia jana sijaridhika nayo kabisa naipa 4/10 yani ni tofauti kabisa na zilizopita, fiction zimekua za kipuuzi puuzi tu..
aagh, saivi nimeshusha countdown ya 2019 nimesoma story yake very interesting..Mimi Movie zenye fiction siku hizi hazinifurahishi kabisa napenda historical Movie
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Sasahivi story ya Movie ndo kila kituaagh, saivi nimeshusha countdown ya 2019 nimesoma story yake very interesting..
Ipo vizuri hiyoaagh, saivi nimeshusha countdown ya 2019 nimesoma story yake very interesting..
Vampire hunters 😁😁😁
Hatari sanaVampire hunters [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2362542