Hii ngoma Kama sikosei unaseme muvi inaitwa SAVIOR ni mercenary wanakwenda kwenye vita vya chechnia halafu jamaa Yuko na partner wake anataka kumshoot mjamzito anayetaka kujifungua,jamaa inabidi amshuti partner wake then aanze kupambana kumuokoa huyo mama na mtoto wake,anafanikiwa ila ndio mama wa mtoto anapigwa nyundo ya kichwa pamoja na mateka wengine alipokamatwa akiwa ammenda kusaka msaada town