Musoma sekondari

Musoma sekondari

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,508
Reaction score
13,975
Msaada:
Nina ndugu yangu kachaguliwa kwenda kusoma MUSOMA form VMchepuo wa HGE.
Sasa nimejaribu kuulizia hiyo MUSOMA ni shule ipi Marasekondari au MUSOMA TECH SEC..? Naomba msaada kwa anayejua walipoandika MUSOMAwana maanisha shule ipi? Nimeambiwa hakuna shule inayoitwa MUSOMA. Ikiwezekananipate na contact zao. Natanguliza shukrani.!
 
Jamani watanzania acheni uvivu wa kufuatilia mambo....
MUSOMA SEKONDARI ni shule ya zamani sana ambayo Pinda na makamu mkuu wa chuo cha UDSM wamepitia!
Mara sekondari ni shule nyingine!
Musoma sekondari ni maarufu kama Musoma alliance jina la zamani enzi za uhuru....au musoma technical kwa kuwa o-level wanatoa masomo ya ufundi inline kama Tanga tech,Mazengo,Bwiru boys,Ifunda tech,Moshi tech,Arusha tech and others!
 
In addition.....Shule imepakana na Kiwanda cha nguo Mutex....kama unatoka Mwanza ukifika musoma waambie wakushushe Musoma Alliance!
Ila stendi ya bus nasikia wameiweka Bweri nje ya mji kidogo...hivyo itabidi achukue daladala za kwenda mjini (Mukendo) awaambie wamshudhe alliance ni barabarani kabisa....ndio shule maarufu hapo musoma kwa kuwa imetoa wasomi wengi waliokwenda chuo kikuu....walimu ni tatizo ila huwa wanatoa one kibao by then,kwa sasa sijui kwa kweli!
 
Back
Top Bottom