Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Ulianzisha mada nzuri sana tulikuwa tunaenda kwenye takfiir.
Nilikuwa ninataka kukupa uzoefu, kukuonyesha vipi baadhi ya watu hapa wanaonekana ni vikatuni tu mbele ya macho ya waislamu.
Inasikitisha sana ndugu yako ktk Usilamu Ustaadh al Hajj Afif anatukana matusi mazito mitume ya allah pamoja na kwamba ametoka Hijja majuzi tu hapa ..hivi hii inakuwaje dokta Barubaru. Ndio usilamu unavyofundisha hivyo au alienda Hijja kuongeza makali ya lugha chafu au huko Hijja ndo mwaenda ongeza ujuzi wa kutenda dhambi??
lolz, kwa hiyo una maana Alhaj Afif amejikafirisha dhidi ya usilamu??
Nways, napenda tuhimizane kutenda mema, na kujali kauli zetu. Ni rahisi kutukana matusi na makufuru mazito mtandaoni kuliko tungefanya kwa vinywa vyetu machoni pa wengine kutokana hii anonimity na kujificha nyuma ya kompyuta, lakini kosa ni lile lile. lakini ni Mola tu ajua tulivyo wajinga na wapumbavu na kuutumia muda vibaya kutenda machukizo. Kwa Mungu ni bora mtu anayecheza bao uswazi kuliko mtu anayekuja humu mtandaoni na kutukana watu na hadi mitume wa Mungu. Hivi twaweza kuketi chini na kuona ni idadi gani ya waTz wanaojua kusoma na kuandika, ni wangapi wenye umeme, ni wangapi wenye access na mtandao?? etc Utashangaa kujikuta tumo ndani ya labda ya 5% ya walioteuliwa. Sasa pima bahati tuliyonayo na ujinga tuufanyao..inasikitisha, hatari lakini salama.
Mola aturehemu.
Allah ansema kuhusu Issa (Yesu):lolz, kwa hiyo una maana Alhaj Afif amejikafirisha dhidi ya usilamu??
Kwa Mungu ni bora mtu anayecheza bao uswazi kuliko mtu anayekuja humu mtandaoni na kutukana watu na hadi mitume wa Mungu.
Hivi matusi ni nini?
Kutoa andiko kutoka kwenye Bible na kulijadili mfano
Mimi nimesema bayana 1. Yesu alitendwa na Wayahudi na nikakupa andiko
2. Ukristo umeanzishwa na Barnaba na Sauli na Huko Anioch miaka zaidi ya 40 Ad
3, Nimesema mama yake Yesu Mariam ni malaya kwa kukupa andiko na nyie wote mmekiri andiko hilo lipo.
Je yule anayeleta hadithi za kutunga na kumsingizia Mtume wetu amekufa kwa sumu bila kuleta Aya iliyosema hivyo bali anatunga hadith zake kuhalalisha maneno yake.
sasa hapo nani anamtusi mwenzie.
Labda tuweke na tuwe wasomi kwa kila unachonena uwe na andiko kutoka kwenye vitabu vya Mungu na sio hadith za kutunga. Huo si usomi tu bali pia ni ustaharabu na kuelimika
Allah ansema kuhusu Issa (Yesu):Mpendwa hafif,
pole sana kwa emotional condition unayoipitia hivi sasa kutokana na haya maswala ya dini.
Huwa nawaambia hata wenzangu wakristo kuwa ni vizuri tukajua vyanzo na misngi ya hizi imani zetu na sio just kurithi kutoka kwa wazazi
Unajua siku ukijua na kuthibitishiwa kuwa ulichokuwa unaamini ni uongo na upuuzi kinachofuata ni hasira, matusi, kulia, pressure kupanda, kubwabwaja hovyo, ili maradi ujipe moyo na kuona , skuwa wanachosema si kweli.
You have to have very strong and well grounded verses in quran and hadith to protect quran.I am afraid ukiwa na well grounded knowledge ya uislam UKAWEKA MIND yako na imani viendane usingekubali kirahisi.
KUMBUKA KUUKATAA UKWELI NA KUUPINGA HAKUUONDOI UKWELI!
HALI KADHALIKA ILI USIONEKANE KITUKO you need to understand the bible or at least read it before you say anything that may condemn you later on.
Sorry to say this, my curiosity to know this religion has proven beyond doubt that christianity (call what you call) is far more than any existing religion!
Akili yetu tumeiweka kwenye dini na siyo reality ndio utakuta mwislamu mpumbavu yuko tayri kutoka povu na kufa kwa ajili ya Muhammad na hayuko tayari kuacha kuvuta sigara! all things fall kwenye upumbavu fulani wa kutokutaka kujua nini hasa dini hizi zinalenga
hali kadhalika kumkuta mkristo na mwislamu anayeenda kwenye nyumba za ibada kila siku haishangazi ila kwa huyohuyo kumkuta anaiba, anakula rushwa n.k haishangazi pia! unajiuliza tatizo liko wapi?
Leo ukiwa na receptive mind au open mind ya kujua bila ubishi vyanzo vya hizi imani zetu,ndiyo mwanzo na chanzo cha ukombozi.
Kunzia leo tunaanza kozi mimi na wewe ya kujua chanzo cha uislam,this will be outline;
1.Historia ya uislam
2. Nani aliandika quran
3. Historia ya mtume Muhammad
4. Uislam leo hii
5.Muhammad kwa nini aliiviolate quran
6.Tuta revisit tena historia ya uislam leo hii
7.Tuta compare Yesu, Muhammad na mitume wa dini zingine
Tuta revist kitabu cha satanic verses(kutoka kwa Rushdie) na kwa nini waislamu wanakipiga vita
8.Tutapata testimony kutoka kwa EX-muslim
Sasa HAFIF hasira, matusi,uzishi, wrong excerption and interpretation of verses, huwa haziondoi ukweli.
HAYO MAFUNDISHO YATAKUWA KWA AJILI YAKO wewe personally kwenye thread hii.
source Quran and Hadith. Maandiko Mengi na source nyingi zitatoka kwa waislam wenyewe.
Narudia tena, hakuna Mkristo aliye entitled kukasirika au kuwa na hasira unapomtukana Yesu, tumefundishwa kuwaombea na kusamehe.
So get ready, matusi hayazuii chochote, hii ni wewe tu na ukweli achana na mashabiki wapembeni.
are ready for seminar? nitapost kila siku material kwenye hii thread na mpaka April nitakuwa nimeweka kila kitu wazi kiasi cha wewe kuwa na uwezo wa kuamua mwenyewe , BAADA YA KUTUMIA AKILI NA UTASHI WA KAWAIDA WA KIBINADAMU SIYO uliotawaliwa na na defence mechanisms
Ukishajibu hii post nitajua kuwa kama unataka kozi au hautaki.
Allah ansema kuhusu Issa (Yesu):
Quran 4:157.Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu,....."
Kwa hiyo tunaona kuwa Issa (yesu) hakuuliwa, hakusulubiwa wala hakuna dhara lolote lililompata.
Sasa ALHAJJ HAFIF NA BARUBARU WANAOSEMA KUWA ISSA YESU ALILAWITIWA NA MAYAHUDI, NI KAULI YA KUFRU NA WAO (hAFIF NA BARUBARU) WAMEKUFURU KUFRU YA AINA YA KUFRUL-INKAAR.
Kuhusu Mariam (Mary):Allah anasema katika Quran
Quran 3:42 Na angalia pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Kwa hakika Mwenyezi Mungu amekuteuwa, na akakutakasa, na akakutukuza kuliko wanawake wote".
Sasa Allah amemtwahirisha Mariam, kwa hiyo kauli ya ALHAJJ HAFIF kuwa Mariam ni Malaya ni kufr istihzaha (kufuru ya kufanya mzaha) na yeye mwenyewe (Alhajj Hafif) ni Kaafir.
Allah anasem katika Quran
9:65 Na ukiwauliza, wanasema: Sisi tulikuwa tukipiga porojo na kucheza tu. Sema: Mlikuwa mkimfanyia maskhara Mwenyezi Mungu na Ishara zake na Mtume wake?"
SASA ALHAJJ HAFIFI NA BARUBARU NI MAKAAFIR.
Ninaandaa thread nzima kuhusu hawa watu.
Sikumuaibisha, ni general rules zina apply kwa yoyote yule, kwa hiyo ni rules ambazo zintumika juu yao, nothing special !ninarudia tena:I told you Sideeq in the other thread that, I read you!
I sincerely do aprreciate you courage and stands toward your religion. Nilitaka nianze kumpa darsa Hafif kwa sababu yako sitafanya hivyo.
Lets continue to search for the truth and worsship what we do believe. I do pray that one day Jesus touches you. I strongly believe you dont belong where you are now. Just know that I am praying for you, you also do the same; no amount of words or verses could make you change, but I do believe God himself will touch you.
Continue to pray to Allah, and let you friends Barubaru and Hafif know that muslim can actually talk and can be against them if they defy quran! To say malice words agaist Jesus and Mary is to go against Muhammad!
Teach them to hold their emotion, because their images are turned to scraps if not ghosts!
Hafif could you at least be like Sadeeq ona alivyokuaibisha!!
Allah ansema kuhusu Issa (Yesu):
Quran 4:157.Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu,....."
Kwa hiyo tunaona kuwa Issa (yesu) hakuuliwa, hakusulubiwa wala hakuna dhara lolote lililompata.
Sasa ALHAJJ HAFIF NA BARUBARU WANAOSEMA KUWA ISSA YESU ALILAWITIWA NA MAYAHUDI, NI KAULI YA KUFRU NA WAO (hAFIF NA BARUBARU) WAMEKUFURU KUFRU YA AINA YA KUFRUL-INKAAR.
Kuhusu Mariam (Mary):Allah anasema katika Quran
Quran 3:42 Na angalia pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Kwa hakika Mwenyezi Mungu amekuteuwa, na akakutakasa, na akakutukuza kuliko wanawake wote".
Sasa Allah amemtwahirisha Mariam, kwa hiyo kauli ya ALHAJJ HAFIF kuwa Mariam ni Malaya ni kufr istihzaha (kufuru ya kufanya mzaha) na yeye mwenyewe (Alhajj Hafif) ni Kaafir.
Allah anasem katika Quran
9:65 Na ukiwauliza, wanasema: Sisi tulikuwa tukipiga porojo na kucheza tu. Sema: Mlikuwa mkimfanyia maskhara Mwenyezi Mungu na Ishara zake na Mtume wake?"
SASA ALHAJJ HAFIFI NA BARUBARU NI MAKAAFIR.
Ninaandaa thread nzima kuhusu hawa watu.
Allah ansema kuhusu Issa (Yesu):
Quran 4:157.Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu,....."
Kwa hiyo tunaona kuwa Issa (yesu) hakuuliwa, hakusulubiwa wala hakuna dhara lolote lililompata.
Sasa ALHAJJ HAFIF NA BARUBARU WANAOSEMA KUWA ISSA YESU ALILAWITIWA NA MAYAHUDI, NI KAULI YA KUFRU NA WAO (hAFIF NA BARUBARU) WAMEKUFURU KUFRU YA AINA YA KUFRUL-INKAAR.
Kuhusu Mariam (Mary):Allah anasema katika Quran
Quran 3:42 Na angalia pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Kwa hakika Mwenyezi Mungu amekuteuwa, na akakutakasa, na akakutukuza kuliko wanawake wote".
Sasa Allah amemtwahirisha Mariam, kwa hiyo kauli ya ALHAJJ HAFIF kuwa Mariam ni Malaya ni kufr istihzaha (kufuru ya kufanya mzaha) na yeye mwenyewe (Alhajj Hafif) ni Kaafir.
Allah anasem katika Quran
9:65 Na ukiwauliza, wanasema: Sisi tulikuwa tukipiga porojo na kucheza tu. Sema: Mlikuwa mkimfanyia maskhara Mwenyezi Mungu na Ishara zake na Mtume wake?"
SASA ALHAJJ HAFIFI NA BARUBARU NI MAKAAFIR.
Ninaandaa thread nzima kuhusu hawa watu.
Kwa kutumia logic yako. Ndani ya Quran hakuna neno Mayahudi kama lipo niambie liko katika aya gani?Barubaru said:Ndani ya Quran hakuna neno Yesu kama lipo niambie lipo katika aya gani?
Mimi nimeone Issa bin mariam na sio Yesu. kama lipo tubainishie.
Well, sisi Waislamu tuna Sheria zetu.Barubaru said:mara nyingi unapotaka Hukmu kitu ni lazima utumie mashiko yale husika.Kisheria huwezi kabisa ndani ya Nchi ya jamaica mvuta Bangi ukamuhukumu kwa sheria za Tanzania.
Mbona hujakubaliana na kuwa radhi na kitabu cha Yesu kinaposema Mayahudi ni watoto wa Ibilisi?Barubaru said:Nitakuwa radhi sana kama utatumia sheria za kitabu cha Yesu katika kutoa hukmu zako
Kitabu alichotumia ni Biblia, je wewe binafsi unakubaliana na John 8:44 kuwa Mayahudi ni watoto wa Ibilisi?Barubru said:Haj Hafif alitumia Andiko toka kwenye Bible na kujenga hoja zake, sasa kama wewe uliona kakosea ulikuwa huru sana kumjibu kwa kutumia kitabu kile kile na si kingine,
Ni wapi aliposema kuwa yeye ni Mungu?Barubaru said:Binafsi nimemsoma vizuri sana Issa Bin Mariam wa kwenye Quran na kidigo nimempitia kwenye Bible naona hawana kitu wanachofanana. mmoja Mungu na mwingine Mtume.
Sikumuaibisha, ni general rules zina apply kwa yoyote yule, kwa hiyo ni rules ambazo zintumika juu yao, nothing special !ninarudia tena:
Allah ansema kuhusu Issa (Yesu):
Quran 4:157.Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu,....."
Kwa hiyo tunaona kuwa Issa (yesu) hakuuliwa, hakusulubiwa wala hakuna dhara lolote lililompata.
Sasa ALHAJJ HAFIF NA BARUBARU WANAOSEMA KUWA ISSA YESU ALILAWITIWA NA MAYAHUDI, NI KAULI YA KUFRU NA WAO (hAFIF NA BARUBARU) WAMEKUFURU KUFRU YA AINA YA KUFRUL-INKAAR.
Kuhusu Mariam (Mary):Allah anasema katika Quran
Quran 3:42 Na angalia pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Kwa hakika Mwenyezi Mungu amekuteuwa, na akakutakasa, na akakutukuza kuliko wanawake wote".
Sasa Allah amemtwahirisha Mariam, kwa hiyo kauli ya ALHAJJ HAFIF kuwa Mariam ni Malaya ni kufr istihzaha (kufuru ya kufanya mzaha) na yeye mwenyewe (Alhajj Hafif) ni Kaafir.
Allah anasem katika Quran
9:65 Na ukiwauliza, wanasema: Sisi tulikuwa tukipiga porojo na kucheza tu. Sema: Mlikuwa mkimfanyia maskhara Mwenyezi Mungu na Ishara zake na Mtume wake?"
SASA ALHAJJ HAFIFI NA BARUBARU NI MAKAAFIR.
Ninaandaa thread nzima kuhusu hawa watu.
Sideeq,
Kuna tofauti kubwa sana na hata siku moja huwezi na haiwezi kuwa sawa Issa Bin Mariam wa kwenye Quran kuwa sawa na Yesu Kristo wa Kwenye Bible.
Quran imeweka wazi Issa ni Mtume wa Mwenyezi Mungu . lakini ukisoma Bible wanasema wazi kuwa Yesu ni Mungu. N kuna vifungu vingi sana vinavyobainisha hivyo katika Bible.
Kisheria jina la mtu halibadiliki kutokana na Lugha. Mfano Mtume Mohammad anajulikana kama Mohammad kwa lugha yoyote ile. Lakini Yesu anajulikana kama Jesus kwa kimombo, Essa kwa kiarabu, n.k.n.k.
Hata wewe Sideeq utajulikana hivyo hivyo kwa lugha yotote ile hata ikiwa kichina.
Unakuwa na tarbia ya kubadilisha jina kutokana na wakati au pahala au lugha tutakuita tapeli na kisheria una haki kubwa sana kushitakiwa.
Kifupi naomba ujue Nikizungumzia Yesu basi huyu ni tofauti kabisa na wa Issa wa kwenye bible.
Najuwa umepita vizuri sana katika Bible msome yesu kisha msome kwenye Quran uone kama wanashabihiana.
Waislam hatuamini kabisa kuwa Mtume wa Mungu anaweza kusulubiwa na wanadamu lakini wakristo wanasema kasurubiwa.
Quran inasema hajasurubiwa na Bible inasema Yesu kasurubiwa.
Utaona hao ni watu wawili tofauti kabisa na hawashabihiani kw lolote.
Tunaamini msomi mzuri ni yule mwenye kuchambua kwa kina kile anachokisoma. Nakuomba msome sana Yesu kwenye Bible kisha msome Issa vizuri kwenye Quran utaona kuwa ni watu tofauti,
Swali zuri sana!HM Khafif said:Bible inasema Luke 22 :63WalewatuwaliokuwawanamchungaYesu, walimpiga nakumdhihaki.
64 Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, "Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri tuone!"
Mathew 26: 67 Kisha wakamtemea mate usoni, wakampiga makofi. Wakamkanyaga na Wengine wakiwa wanampiga makofi,
na Quran inasema hivi
Quran 4:157.Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu,....."
Kwa hiyo tunaona kuwa Issa (yesu) hakuuliwa, hakusulubiwa wala hakuna dhara lolote lililompata.
Je huyu anayezungumziwa hapa inawezekana kuwa mtu mmoja.
Umesema KWA MUJIBU WA BIBLIA, wapi katika Biblia inaposema kuwa Yesu ni Mungu?[/QUOTE]HM Khafif said:Kwenye Bible sifa ya Yesu ni mtoto wa Mungu na imeelezwa wazi kuwa kuna Mungu baba, Mungu Roho matakatifu na Mungu Mwana. hapo utaona Yesu ni Mwana wa Mungu.
Quran inasema hivi:
Surah 19 35. Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika! Anapo lihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa. ***
Kifupi Yesu ni Mungu kwa mujibu wa Bible na Quran imesema Issa ni mtume wa Mungu,
Unasemaje mtu anayeikadhibisha Quran?HM KHAFIF said:Sasa unaposema Dr Hamza na mimi ni makafir. Labda utubainishie ni wapi katika Quran tumekufuru. Mimi nipo Tayari kabisa kurejea kwa Allah kama
HM Khafif][/QUOTEHMKhafif said:utanikidhi haja yangu ya kunifafanulia kama Yesu aliyetajwa kwenye Biblia ni sawa kabisa na Yule wa Kwenye Quran.
kama kawaida ya Uislam tunatumia Aya za Allah na upande mwingine unipe andiko kutoka kwenye Biblia kuthibitisha Hoja zako.
naona sasa ndugu yangu katika Iimani umeanza kukengeuka. Na nakubaliana kwa 100% na Dr kuwa umeanza kuchanganya mambo ima kwa kutaka kusifiwa na manaswala au kwa kupata thamani ndogo ya Dunia na kuacha uomgovu wa Mungu.
Bible inasema Luke 22 :63WalewatuwaliokuwawanamchungaYesu, walimpiga nakumdhihaki.
64 Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, "Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri tuone!"
Mathew 26: 67 Kisha wakamtemea mate usoni, wakampiga makofi. Wakamkanyaga na Wengine wakiwa wanampiga makofi,
na Quran inasema hivi
Quran 4:157.Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu,....."
Kwa hiyo tunaona kuwa Issa (yesu) hakuuliwa, hakusulubiwa wala hakuna dhara lolote lililompata.
Je huyu anayezungumziwa hapa inawezekana kuwa mtu mmoja.
ndio maana Dr Hamza ameweka bayana kabisa YESU kwenye Bible sio Sawa na Issa wa kwenye Quran.
Kwenye Bible sifa ya Yesu ni mtoto wa Mungu na imeelezwa wazi kuwa kuna Mungu baba, Mungu Roho matakatifu na Mungu Mwana. hapo utaona Yesu ni Mwana wa Mungu.
Quran inasema hivi:
Surah 19 35. Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika! Anapo lihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa. ***
Kifupi Yesu ni Mungu kwa mujibu wa Bible na Quran imesema Issa ni mtume wa Mungu,
Sasa unaposema Dr Hamza na mimi ni makafir. Labda utubainishie ni wapi katika Quran tumekufuru. Mimi nipo Tayari kabisa kurejea kwa Allah kama utanikidhi haja yangu ya kunifafanulia kama Yesu aliyetajwa kwenye Biblia ni sawa kabisa na Yule wa Kwenye Quran.
kama kawaida ya Uislam tunatumia Aya za Allah na upande mwingine unipe andiko kutoka kwenye Biblia kuthibitisha Hoja zako.
Nachelea kusema Waislam tumekatazwa Dhana. naomba darasa yako Sheikh.
Dr Hamza, Ajsantum Duktuur kwa ufafanuzi wako.
Mimi nina suala kidigo kutokana na huko kubali majina labda inawezekana Yesu ikawa ni cheo na sio Jina. Kama ilivyo Mungu ni Cheo na sio jina la kiumbe chochote.
Sideeq unaweza kutufafanulia hapo.Andiko ni muhimu sana kuthibitisha hilo.
Je Mungu ni sawa na Mtume?.
Ukristo ni Dini? lete andiko kama unalo
Nipo kwa hamu nasubiri Hukma yako. lakini nakuachia suala hili
Katika Biblia ya Kiarabu pia anaitwa Issa!Barubaru said:Sasa katika Quran zote za wameandika Issa Bin mariam na hawakusema Yesu. hata Tafsiri ya kiswahili ya Sh Abdullah Al farsy wamesema Issa bin mariam.
Tafsiri ya sheria za kibinadamu!Barubaru said:Kitafsiri ya kisheria utaona Yesu hawezi kuwa Issa Bin mariam na hivyo bwana huyo kufungwa. Hata wakili wake Al marhum Musa Kwikima alipo appel jaji B Chipeta alisema kuwa adhabu aliyopewa ilikuwa ni kubwa kuliko kosa lake.
Mke wako amekuwani reference sasa!Barubaru said:mabishano ya Kisheria walichangia wengi sana lakini hata Mke wangu alipochangia walionyesha wazi kuwa Yesu sio Issa.
Mbona ameshapewa hapa!Barubaru said:Kama utataka kumuhukumu tueleze similarities zao zipo wapi kwa mujibu wa Quran na Bible.
Tusimwage mchele kwenye kuku wengi. Kwani Uislam umehimiza sana kama kukosoana basi mnahitaji kutumia HIKMA na sio kukashifiana wala kukejeliana.
Haj Hafif wewe mnatofautiana sana katika katika mitazamo. Wewe umejenga hoja zako kwa kutumia Bible na nashauri hata Sideeq azipitie kisha kama anataka kuhukumu basi alitakiwa atumie Bible na sio Quran.
Kama utaona vizuri kila pahala palipotaka kufananisha Yesu na Issa nilikemea vikali sana kusema hiyo ni sawa na Sukari na chumvi.(huwezi fananisha Quran na Bible hususan kwa suala la Yesu na mama yake mariam)
naomba nieleweke kuwa Somo la Hisabu sio sawa na somo la Physics japo yote kuna mahesabu ndanimwe.
Kama mngekuwa ma member wa iliyokuwa YoungAfricans.com kulikuja mada ya Hukmu ya Bw Othman Dibagalu. Huyu alihkumiwa kule Morogoro kwa kosa la Kusema YESU SI MUNGU. sasa alipoambiwa alete ushahidi wake mahakamani alileta Quran kuthibitisha hilo. Sasa katika Quran zote za wameandika Issa Bin mariam na hawakusema Yesu. hata Tafsiri ya kiswahili ya Sh Abdullah Al farsy wamesema Issa bin mariam.
Kitafsiri ya kisheria utaona Yesu hawezi kuwa Issa Bin mariam na hivyo bwana huyo kufungwa. Hata wakili wake Al marhum Musa Kwikima alipo appel jaji B Chipeta alisema kuwa adhabu aliyopewa ilikuwa ni kubwa kuliko kosa lake.
mabishano ya Kisheria walichangia wengi sana lakini hata Mke wangu alipochangia walionyesha wazi kuwa Yesu sio Issa. hao ni watu wawili tofauti labda tu wa tarbia chache zenye kushabihiana lakini tofauti zao ni nyingi ikiwa pamoja na mmoja ni Mwana wa Mungu na mwingine ni Mtume.
sasa tusichanganye mambo mtu uhukumiwa kwa kosa na sheria husika.
sideeq soma mada zote unazosema Haj Hafif amekufuru kwa kutafuta mashiko yake katika hayo matusi yake kisha muhukumu kwa mujibu wa mashiko yake.
Ina wezekana yeye yupo kama mimi ambaye tunaamini wazi kuwa Yesu kwenye Bible sio sawa na Issa Bin mariam wa kwenye Quran.
Kama utataka kumuhukumu tueleze similarities zao zipo wapi kwa mujibu wa Quran na Bible.
Kwa kusema hivyo sikuzuii kutoa mada kama ulivyoahidi ila uwe makini na kile utakachonena na hitimisho lako.
Katika Biblia ya Kiarabu pia anaitwa Issa!Tafsiri ya sheria za kibinadamu!Mke wako amekuwani reference sasa!Mbona ameshapewa hapa!
Sasa Doctor Barubaru, utanijibu swali langu au vipi?
swali ni hili:
Waislamu tunaamini kuwa Mayahudi ni Makaafir, je wewe pia unaamini kuwa Mayahudi ni Makaafiri?
"A Jew should and must make a false oath when the goyim asks if our books contain anything against them."-Szaaloth-Utszabot, The Book of Jore Dia 17.