Muslim universities

mkuu mie nilitaka kuonesha kuwa muslim universities ni global issue.
sipo hapa kwa malumbano ya kidini.

Hata kama ni global issue lakini wewe huoni kama kwa kuwa na vyuo kumi (+ na hiki kinachochechemea cha Morogoro) hamjajua tu kuwa mko nyuma sana globally? Maana huku kwetu mtasema mnanyanyaswa na mfumo Kristo, na huko kwengine kwenye mfumo Mudi napo mnanyanyaswa?

Degree yako ulisoma hapo ! moja ya sifa za Kafiri ni Uzushi na Uongo (ndio maana wanasema Mungu alishikwa na njaa akala mikate !)

ally kombo nilvyoona tu id yako nilijua wewe ni msomi mzuri wa madrassa,,hongera mkuu!

kumbe umewasoma hao wafuasi wa cdm kwanza wakae wakijua akitoka kikwete anafuata karume akitoka karume anafuata migiro wavumilie miaka 30, wakiandamana watavunjwa ma.....pu....,mbu hakuna kuzaa milele.
Join Date : 2nd August 2011
Posts : 44
Rep Power : 0

jibu hoja wewe usitumie kalio lako kufikiri

USHASIKIA FATWA??? WAKIKUTANGAZIA HIYO POPOTE ULIPO UNAKUWA UNATAFUTWA KAMA ALIVYOKUWA AKISAKWA BIN LADEN.....Wasiliana na Salman Rushdie (mwandishi wa Satanic verses) akuelezee taabu ya kuishi na FATWA juu ya kichwa chako....

Wadau naomba kujua, Muslim Universities zipo kwenye nchi gani zingine mbali na Tanzania?

Na zenyewe zinaendeshwa kama huku kwetu Tanzania kwamba hata enrollment imekaa kibaguzi?

Waalimu wao wana sifa zipi au kama huku kwetu Tanzania ambapo karibu wote ni toutorial assistants.

Na wao wana majengo ya kupewa au wamejenga ya kwao?

BWANA AWE NYANIIIIIIII.............ALE PIA MAWEEEEEEEEEEEEE..

Ningeshangaa usijitokeze wewe kiherehere, povu linakutoka bure, kwanza sijaelewa kwa nini unanipenda sana mimi! si nilishakwambia mimi sio basha?

Ndio maana ukaambiwa kuwa na wewe ni mropokaji na mtoa matusi sana. Hata wewe unahitaji Ban pia, Kaa chonjo!!!!!!!

Ndio maana ukaambiwa kuwa na wewe ni mropokaji na mtoa matusi sana. Hata wewe unahitaji Ban pia, Kaa chonjo!!!!!!!
mawazo ya mtu anaetumia makalio kufikiri badala ya ubongo ndio haya. na nina uhakika huyu atakuwa muda huu amevaa kandambili na kipedo na madevu lukuki. a.k.a ndevu si mzigo.

Prerequisite units katika vyuo hivyo ni jinsi ya kutengeneza mabomu ya kuangamiza makafri na jinsi ya kuyalipua au kujitoa muhanga

Hatari kwa Mtanzania aliyezaliwa na Dini za Mababu zake na Maanisha MIZIMU kupalamia dini za Mashariki ya Mbali yaani UISLAM na UKRISTO na Kuziandalia Mikakati ya Kumalizana kati yetu Watanzania!, isitoshe wenye Maslahi na Dini zao ni Palestina na Israel na sisi wengine ni Magamba tu kwao! Mimi bado Hizi hoja za Kitoto hazina Maana wakati Chama cha Magamba kinazidi kututafuta kila Kukicha! Na wewe uliyeleta Hoja zisizo na Maslahi kwa Taifa kwa wakati Huu acha Ujinga na Ushenzi, nini Watanzania tunataka Mabadiliko kwanza na vingine Baadae! Uislam au Ukristo utakusaidia nini wakati umekaa unasubiriwa Kupandishiwa Umeme na Maji Huku Mishahara ikizidi kuwa Hafifu na tayari Mafuta yamepanda! Wewe na Hoja yako Pumbavu sana sisi tunataka Kusikia Kelele za Viongozi wetu Wapendwa kama Mufti wa Tanzania Simba, Kardinal Pengo, Mkuu wa K.K.K.T,Mkuu wa Anglican, wanazungumzia kwanza Maslahi ya Taifa na Kupambana na Ufisadi na si Kuwa Vibaraka wa Mafisadi, sasa umetoka na Njaa zako za Bila hata kujua Waislamu wako kwenye Mfungo unatuletea Mambo ya Kishenzi hapa Jamvini,Stupid sana!

mawazo ya mtu anaetumia makalio kufikiri badala ya ubongo ndio haya. na nina uhakika huyu atakuwa muda huu amevaa kandambili na kipedo na madevu lukuki. a.k.a ndevu si mzigo.
eti kwa nini waislam wanajiona wao ndio wana hati miliki ya ccm?
mimi napokosana wa CCM wenzangu ndio hapa pale waislam wanapoona wao waisemee ccm na mimi nikae kimya kisa sio muislam.

Any way mi sikulaumu wewe lkn ni mfumo uliolelewa.Sidhani km intellectual unaanzisha hoja km hiyo kwenye Jf.
Ok.hata km ni hivyo hv ww unaweza kuestablish University bila baraka za TCU? Ninachokifahamu mm ni kwamba TCU wanaratibu "QUALITY ASSURANCE"
Pili,chuo gani cha kikristo wanadisco unachokijua ww maanake nasi tunazo data.
Tatu ningeomba uanzishe hoja ambazo ni productive kwa taifa km tatizo la upungufu wa nishati na namna tunavyoweza kulitatua mambo haya ya UDINI ndiyo yaliyozifikisha nchi nyingi hapo zilipo.

Makanisani michango ya shule na vyuo kila siku. Waislamu waichukue hiyo kama changamoto.

Makanisani michango ya shule na vyuo kila siku. Waislamu waichukue hiyo kama changamoto. wafanye vivyo hivyo. No more no less.

Back
Top Bottom