Muslim universities

Muslim universities

we mchochezi huna nia ya kuelewa
Wadau naomba kujua, Muslim Universities zipo kwenye nchi gani zingine mbali na Tanzania?
Na zenyewe zinaendeshwa kama huku kwetu Tanzania kwamba hata enrollment imekaa kibaguzi?
Waalimu wao wana sifa zipi au kama huku kwetu Tanzania ambapo karibu wote ni toutorial assistants.
Na wao wana majengo ya kupewa au wamejenga ya kwao?
 
Mmmoja akaowa kibinti cha miaka 9, na yuko jehanamu mpaka leo. na huyo huwa anaswaliwa na wafuasi wake.
<br />
<br />
Si hivyo tu kuna jamaa walimzika jamaa mkuu wao wa aya wakamwacha kichwa nje ili awahi kufufuka si kitim akamla bas utasikia .ni haramu hata kumshika.
 
Tujiandae kuna jambo baya linanukia Tanzania!
<br />
<br />
....kwaajili hiyo Mungu alimtoa/alimtuma mwanae wa pekee duniani iliaje kuwaokoa Binadamu.
SOURCE: Agape Television.
 
Wakuu, muelewe kwamba shule kwao sio sunna za mtume kama ilivyo ubwabwa, mbuguma, nk nk! hivyo basi, mnamlazimisha mbuzi kula nyama! aya inasema, 'Ni yeye aliempeleka mtume asiejua kusoma miongoni mwao.'
 
Watanzania wamejawa na udini mbaya. Hivi haya mambo ya kujadili taasisis za dini yameanza lini?huu ni uchafu kabisa. Hatujengi ila tunabomoa. Mod;sijui kwanini unaruhusu hili. JF inaanza kuwa kichefuchefu.
 
Hata kama ni global issue lakini wewe huoni kama kwa kuwa na vyuo kumi (+ na hiki kinachochechemea cha Morogoro) hamjajua tu kuwa mko nyuma sana globally? Maana huku kwetu mtasema mnanyanyaswa na mfumo Kristo, na huko kwengine kwenye mfumo Mudi napo mnanyanyaswa?

Like i said,im not here to argue with you bro.
 
Huna nia ya kuelewa wewe tuondolee ujinga wako.

Jibu hoja, pose your arguments sio kutukana. huko ni kufilisika kihoja!!! Ni kujivisha mabomu na kujilipua kama yaliyotokea jana Iraq. Challenge your opponent and not present ad hominen argument!!
 
Tati zo kubwa ninaliona hapa ni watu wengi kusomea Sunday school, kisha kupita kwenye shule na vyuo vya st, st ,st.

Wanaelewa kuwa unaweza kwenda kwa Pengo kuungama dhambi zako.

Poleni sana na mukaungame msije mkakosa Roho mtakatifu
 
Hivi ni shule zipi za waislam ambazo zilitaifishwa na serikali, bila shaka wakirudishiwa waweza kuzigeuza kuwa varsities. Za kanisa ambazo ziko mikononi mwa serikali ni hizi hapa:
1. Ilboru
2. Ihungo
3. Kilakala
4. Rugambwa
5. Umbwe
6. Msalato
7.
Ongeza ya kwako unayoikumbuka
 
"enyi wagalatia msiokuwa na akili" Yaani kachuo kamoja tu nyie mabepari mnaona waislam wanafaidi.
 
Back
Top Bottom