Muslim universities

Muslim universities

wewe ndugu yangu nikikutana na post yako humu JF, huwa naona vitu wiwili kusifia CDM na kuponda Uislam,

JF, kwako ni uwanja wa Mapambano dhidi ya Uislam, kweli kina MS wapo wengi humu JF

kaka!
siwezi kuwa na chuki na waislam sababu haitanisaidia chochote nina marafiki wengi waislam ni waelewa wana utu na tunaheshimiana ,ninatoa huduma za kijamii kwa watu ambao kiimani wengi ni waislam ninashangazwa jinsi walivyo waelewa ,waungwana na wanahulka ya kusikiliza,ila hawa ndugu wana tabia za ubaguzi na chuki,mifano ipo mingi anza na huu wa morogoro muslim college,wanafunzi na waalimu wao ni wa iman moja hii haijengi picha nzuri ktk jamii,waislam wataendelea kuwepo tena na kuzidi ila wajue hawaishi peke yao hapa duniani na zipo imani nyingine lazima tushirikiane kwa yale yaliyo wazi kama elimu.

Hivi weye mbona huwa unataabika sana katika dini ya kiumbe allah?

Umshawahi kujiuliza hilo swali weye mwenyewe .... kwanini unabudu kinyago cha mzungu kilichopigiwa misumari..?

Umshawahi kujiuliza hilo swali weye mwenyewe .... kwanini unabudu kinyago cha mzungu kilichopigiwa misumari..?

Haya povu teyari linaanza kumtoka huyu, ha ha ha ha ha ha, endelea kuleta burdan, maana wakamua ngama huwa hawachoki kuleta burdan ha ha ha ha

chapter 8 ya mafunzo yangu kabla sijaingia jf, nimeambiwa ukimuona user wa cdm basi ujue kuna kitu kinamsumbua sana moyoni.

1) ccm

2) siitaji. Lkn kama unaakili ushajua nini. CCM tunachekelea tukisia haya. maana kila siku inazidi kuonekana ni bogas ndani ya jamii

Huwa tunashauri ukiwa na njaa usitoe comment

..... Je wajua ya kuwa au hujui tukuambie kuwa, mpaka wa South na North Sudan uliwekwa na Waingereza wakati wanaitawala Sudan ?!

.... Je wajua ya kuwa au hujui tukuambie kuwa Waingereza waliweka Marufuku ya waSouthern wasipande kabisa North ili wasiingie katika Uislaam (Divide and rule !)!?

.... Je wajua ya kuwa au hujui tukuambie kuwa Mabeberu mbinu hii wameitumia Korea Kaskazini na Kusini, Ujerumani Magharibi na Mashariki !?

Takbiir

Jamani nyie Waislam tuaachine Dr SLAA wetu bwana Yesu katupa ndiyo tumaini letu, Bwana Yesu asifiwe sana

Back
Top Bottom