Muslim beauty waoooo!!!!

Muslim beauty waoooo!!!!

Status
Not open for further replies.
Vigezo gani vimetumika kumpata huyo beauty? Ndani ya mavazi hayo unaweza kuujua u beauty wa mtu au kulikuwa na kipengele cha kuwakagua wakiwa hawana majuba? pliz nijuzeni
 
Jaman, dini zote ni njia za kutupeleka kwa Muumba wetu ambao sote tunamuabudu, Peace n Love to each other will qualify us towards there, tusichukiane wala kubaguana Jaman.
 
Kwa hili sawa ila kwa yale ya mlimbwende wa Dunia si sawa
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1379604491031.jpg
    uploadfromtaptalk1379604491031.jpg
    63.2 KB · Views: 94
attachment.php
h

bora atabasamu maana hapo daaaaaaaah anachukiza kishenzi...au huko hawafundishwi poozi
 
2-indonesia-miss-world.jpg

Indonesian Muslim women protesters shout slogans during a protest against the upcoming Miss World pageant in Jakarta, on Sept. 5, 2013. (Photo: Reuters)
 
Uislam hauruhusu hii kitu hata kidogo,,,,lakin labda kama wameamua kufanya maonesho ya utamaduni wa mavazi ya kiislam,,,,
 
[h=1]Indonesians hold 'Islam's answer to Miss World'[/h]
photo_1379146735689-2-HD.jpg


photo_1379510830166-1-HD.jpg


2013-09-18T184906Z_389005866_GM1E99J07OJ01_RTRMADP_3_INDONESIA.JPG


The Muslimah World contest to be held on Wednesday in the Indonesian capital, Jakarta, is "Islam's answer to Miss World", the pageant's founder Eka Shanti said Saturday.
"Muslimah World is a beauty pageant, but the requirements are very different from Miss World -- you have to be pious, be a positive role model and show how you balance a life of spirituality in today's modernised world," Shanti told AFP.
 
Jaman, dini zote ni njia za kutupeleka kwa Muumba wetu ambao sote tunamuabudu, Peace n Love to each other will qualify us towards there, tusichukiane wala kubaguana Jaman.
Mpendwa Simoni, Jioni njema..Hilotunashukuru tunalifahamu sana ndiyo maana tunaheshimu na kuamini Vitabu vyote na kuAmini Mitume yote pamoja na kuwa Dini za Mbinguni Tunakubali multi culture Na kwa uhakika tuna tumia SALAAM kusalimia Binaadamu kwa kuwa SALAAM ni jina la mwenyeezzi Mungu.!! Jingine tunatoa Rehema kwa watu wote kama upendo .... Tuna shukuru kusema Al-HamduliLLah yaani THANKS GOD.
mkuu ubarikiwe kwa Uungwana na civilization yako.
 
Jaman, dini zote ni njia za kutupeleka kwa Muumba wetu ambao sote tunamuabudu, Peace n Love to each other will qualify us towards there, tusichukiane wala kubaguana Jaman.

Nakubali tuendelee kuishi kwa amani n.k. Lakini si kweli kuwa Muumba ni mmoja, Mungu wa waislamu (Allah) ni tofauti na Mungu wa wakristo.
 
Vigezo gani vimetumika kumpata huyo beauty? Ndani ya mavazi hayo unaweza kuujua u beauty wa mtu au kulikuwa na kipengele cha kuwakagua wakiwa hawana majuba? pliz nijuzeni
hii happiness W, Hapo ni kusheheekea between sisters hakuna vigezo just aliependa kushiriki alikaribishwa..!! usione ajabu au kujiuliza kuwa civilized sometimes no all the time kuAbuse na kukebehi... Mie sikuzuii ila Mpendelee mwenzio kama utakavopenda kupendelewa yako !! Dresses ni za stara na kila LADY hupenda kujifurahisha na kupendeza... Sasa wewe inakuwasha nini? hujakatazwa kuchungulia upande wa CONTEST zingine MISS WORLD,nk Kwahiyo jiheshimu upate kuheshimka. Kama hupendi waisilamu ! Usitazame events zao na mambo yao na maonyesho yao "leave them alone wao na Mungu wao. Ok Bw,Happiness take care.
 
Saivi wanavunga kuvaa gauni na tu vishungi baadae watavalishwa pant la sivuo wasingelihusisha na uislam
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom