Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Mi napita
Cc MziziMkavu
Cc MziziMkavu
Last edited by a moderator:
Mi hawanipati maana uzi huu nimeuandika niko Indonesia nampa sapport Miss Tanzania ila analalamika Baridi sana huku.
Chezea tindikali weye! nimevaa helmet mapemaaaaaaaaa kazi kwako mleta uzi
unaogopa vip tindikali wakati kila siku unamwagiwa wazungu na unawafurahia kabisa
Tafadhali Mkuu acha kebehi na kukejeri ....leave the people with thr Occasions !!Chezea tindikali weye! nimevaa helmet mapemaaaaaaaaa kazi kwako mleta uzi
Congratulations NEW LOOK girls !! Time will tell.....Bravo mleta uzi!!View attachment 112517
View attachment 112521
View attachment 112518
View attachment 112519
View attachment 112520
A Nigerian contestant has been crowned the winner of a beauty pageant for Muslims in Indonesia's capital, Jakarta.
Mheshimiwa Y N, Sisi tunaita " DINI na DUNIA " Yaani wakati mmoja Tunaitumikia Dini ya MwnyeEzzi Mungu na wakati huo pia tunaishughulikia Dunia kama tulivyo tandikiwa " bila kuvunja Amri na Utiifu wake muumba.Wazee wa matamko na visomo hawajasema lolote?
Au kwenye kitabu imo hii?
Mheshimiwa Sister TIBA, Sisi tunaita " DINI na DUNIA " Yaani wakati mmoja Tunaitumikia Dini ya MwnyeEzzi Mungu na wakati huo pia tunaishughulikia Dunia kama tulivyo tandikiwa " bila kuvunja Amri na Utiifu wake muumba.(katupa timu ya kujifurahisha na timu za kumuabudu kikweli)Hii Kitu inaruhusiwa kwenye kile kitabu kilichoshushwa kutoka mawinguni?
Tiba
Huyu atakuwa bibie mimi49 hujambo lakini?Mi napita
Cc MziziMkavu
usiwe kama wale mpaka karne wanijiuliza waoe au wasioe,wengine wanruhusu pombe ila usilewe,wengine hawaruhusu kabisa,maana dini yao sii mfumo kamili wa maisha vitu vingi vimeundwa undwa tuu kwa utashi wa binadamuWazee wa matamko na visomo hawajasema lolote?
Au kwenye kitabu imo hii?
Tafadhali Mkuu acha kebehi na kukejeri ....leave the people with thr Occasions !!