Muslim beauty waoooo!!!!

Muslim beauty waoooo!!!!

Status
Not open for further replies.
Hii Kitu inaruhusiwa kwenye kile kitabu kilichoshushwa kutoka mawinguni?

Tiba

Vitabu viko wazi lakini binaadamu hatutosheki navyo ndio maana unaona muziki kwenye ibada kwenye dini zote!
 
Hii Kitu inaruhusiwa kwenye kile kitabu kilichoshushwa kutoka mawinguni?

Tiba

Dada Tiba

Ni wazi kitabu hakiruhusu hayo lakini wanajifanyia tu.

Je wazee wa kanisa kuwageuza "maanti" watoto wa kiume katika seminari ni jambo linaloruhusiwa na kitabu cha Paulo?
 
Dada Tiba

Ni wazi kitabu hakiruhusu hayo lakini wanajifanyia tu.

Je wazee wa kanisa kuwageuza "maanti" watoto wa kiume katika seminari ni jambo linaloruhusiwa na kitabu cha Paulo?

Mkuu Nonda, hayo unayoyasema wewe angalau yanafanyika kwa siri na wafanyao hivyo watahukumiwa na Mungu siku yao ikifika. Lakini ili limefanyika hadharani tena mchana kweupe as if kitabu kinaruhusu!!!!

Tiba
 
Tiba siyo mawinguni bibie ni mbinguni.

Mawingu ni mkusanyiko wa mvuke ambao baadae husababisha mvua.

Ndugu yangu hayo yote nayajua angalau shule za kata zilianzishwa wakati mimi tayari nimepita huko. Niliposema mawinguni, nilikuwa na maana yangu na wengi humu wamenielewa.

Tiba
 
hii happiness W, Hapo ni kusheheekea between sisters hakuna vigezo just aliependa kushiriki alikaribishwa..!! usione ajabu au kujiuliza kuwa civilized sometimes no all the time kuAbuse na kukebehi... Mie sikuzuii ila Mpendelee mwenzio kama utakavopenda kupendelewa yako !! Dresses ni za stara na kila LADY hupenda kujifurahisha na kupendeza... Sasa wewe inakuwasha nini? hujakatazwa kuchungulia upande wa CONTEST zingine MISS WORLD,nk Kwahiyo jiheshimu upate kuheshimka. Kama hupendi waisilamu ! Usitazame events zao na mambo yao na maonyesho yao "leave them alone wao na Mungu wao. Ok Bw,Happiness take care.

Bibi we taratibu eeeeee! nani kakwambia sipendi waislam?? sina tatizo na waislam na ninaujua uislam kuliko wewe! Suala la heshima linakujaje hapa? nimekukosea heshima? usikurupuke tu na kuanza kunilaumu. Siwashwi na popote nina uhuru wa ku comment na kuuliza chochote nachotaka kujua; hapo haikuelezwa kwama ilikuwa ni watu washerehe zao na wanajifurahisha bila vigezo vyovyote. OWKEYYYY TAKE CARE
 
Kenye baibo mambo hayo yapo, lakini kwa wenzetu ambao huwanyanyapaa wanawake hayapo.
 
mmmmhhh jaman taratibu kwan lengo ni kuelimishana na cio kushushuana0so d'nt punic 4 coment ya m2 coz ever one iz free...
 
Bibi we taratibu eeeeee! nani kakwambia sipendi waislam?? sina tatizo na waislam na ninaujua uislam kuliko wewe! Suala la heshima linakujaje hapa? nimekukosea heshima? usikurupuke tu na kuanza kunilaumu. Siwashwi na popote nina uhuru wa ku comment na kuuliza chochote nachotaka kujua; hapo haikuelezwa kwama ilikuwa ni watu washerehe zao na wanajifurahisha bila vigezo vyovyote. OWKEYYYY TAKE CARE

Punguza povu, Uislam umeujulia wapi?!!
 
Hawa wakina mama inabidi wakumbane na SHARIYA, nyi subirini tu !
 
Jaman, dini zote ni njia za kutupeleka kwa Muumba wetu ambao sote tunamuabudu, Peace n Love to each other will qualify us towards there, tusichukiane wala kubaguana Jaman.

Hayo ni maoni na mtazamo wako' hata wale wanaosali uchi pia wanakupeleka kwa...?
 
Bibi we taratibu eeeeee! nani kakwambia sipendi waislam?? sina tatizo na waislam na ninaujua uislam kuliko wewe! Suala la heshima linakujaje hapa? nimekukosea heshima? usikurupuke tu na kuanza kunilaumu. Siwashwi na popote nina uhuru wa ku comment na kuuliza chochote nachotaka kujua; hapo haikuelezwa kwama ilikuwa ni watu washerehe zao na wanajifurahisha bila vigezo vyovyote. OWKEYYYY TAKE CARE
Fear God Bw.HappinessWin ! Hakuna shida wewe unahaki ya kukoment,uhuru wa kuandika... ileweke ukikusudia neno hakuna atakaekukunyamazia ukija kwa ubaya utalipwa na ubaya Ukija na wema utarudishiwa wema ! "an eye for an eye" ... hapa hakuna aliyejuu ya sharia. take care eti ninaujua uisilamu ? mmmh lini ...jana au leo ? kesho
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom