Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 33,654
- 40,251
kwani watanzania hawajampeleka WEMA SEPETU
Kweli mkuu jumuiya na taasisi za kiislamu tungempeleka wem sepetu. Nchi ingejipatia sifa n utalii pamoja n jina la nchi vingekuwa
kwani watanzania hawajampeleka WEMA SEPETU
Fear God Bw.HappinessWin ! Hakuna shida wewe unahaki ya kukoment,uhuru wa kuandika... ileweke ukikusudia neno hakuna atakaekukunyamazia ukija kwa ubaya utalipwa na ubaya Ukija na wema utarudishiwa wema ! "an eye for an eye" ... hapa hakuna aliyejuu ya sharia. take care eti ninaujua uisilamu ? mmmh lini ...jana au leo ? kesho
Inabidi mtofautishe kati ya muislamu na uislamu. Uislamu umeharamisha hayo mambo yote na mwanamke stara ndo mana masista wa katoliki wamelitambua hilo huwezi kuta wamevaa min skirt o skin jeans. Wao ni full ushungi na magauni marefu hadi chini na mikono mirefu hata wanawake wema wote waliopita kina Maria-magdalena hawakuvaa hvyo hata bikra la maria mama wa yesu hakuvaa min skirt sasa nyie huo ustaarabu wa kuvaa viskin tight na min skirt mmeutoa wapi na akati kwenye ukristo haupo na hilo limedhihirishwa na wanawake wema waliopita wa dini yenu. kwa sisi uislamu ni mfumo kamili wa maisha ya binadamu ndo mana sisi kwetu kila kitu tunachofanya ni ibada ila kinabidi kiwe kimethibiti kupitia holy quraan, hadithi na sunna za mtume na kwa wema wote waliopita.
Warembo hawa wamevaa kama Mtakatifu Maria,Mama "za" Mungu wa Max.Lakini Soma mchango wa Ritz post #83 .Mkuu Nonda, hayo unayoyasema wewe angalau yanafanyika kwa siri na wafanyao hivyo watahukumiwa na Mungu siku yao ikifika. Lakini ili limefanyika hadharani tena mchana kweupe as if kitabu kinaruhusu!!!!
Tiba
Black and White !! dini yangu haina masikhara wala mzaha, Wewe cheza na mimi lakini usikosee kuchezea waisilamu yatakukuta, we cheza na moto! Sisi AL-Hamdulillah sura Kind faces zetu zimetajwakatika vitabu takatifu vote " Simmahum fii ujuhihim min athari al-Sujuud " sasa ulisema unaujua Uislamu :- tuambie.... At the end of the day sie hatuanzishi uhasama wa fitina, Daima ujio wetu huwaga ujio mwema.AMINWatu wa visasi utawaona tu sura zao na utawajua kwa maandishi yao! JINO KWA JINO! HAAAAAH! ubaya kwa ubaya loooooooooooh nimekufanyia ubaya gani? haya bibie mie siujui uislam ila wewe!
Jamani Tanzania nani alituwakilisha?
Hii habari ni kweli mkuu jana nimeiona BBCswahili,Haya mashindano yamefanyika indonesia kwa mujibu wa bbcswahiliView attachment 112517
View attachment 112521
View attachment 112518
View attachment 112519
View attachment 112520
A Nigerian contestant has been crowned the winner of a beauty pageant for Muslims in Indonesia's capital, Jakarta.
Kumbe Ritz,mtu wa mungu ndo maana uko tayari kufa na ccm? Nasubiri fadhira zako baada ya uchaguzi 2015Uislam ni dini inayojisimamia wala haitaji upuuzi kama huu.
Uislam ni dini inayojisimamia wala haitaji upuuzi kama huu.
Hii habari ni kweli mkuu jana nimeiona BBCswahili,Haya mashindano yamefanyika indonesia kwa mujibu wa bbcswahili
Na huyu dada amezawadiwa trip ya kutembelea mji mtakatifu wa macca na dola za kimarekani 2200.Washindani wengine walitoka nchi za Iran,Malaysia n.k.Naamini nchi ya Iran ni miongoni mwa nchi maarufu kwa kuenzi uislam.kama nayo imetoa washiriki basi hata sisi wabongo mwaka ujao wakali wa mavazi haya watuwakilishe,Nimejaribu kufuatilia kwenye mitandao leo(20.9.2013) kuona kama kuna tamko lolote kutoka mamlaka husika kumzuia mrembo huyo asitembelee mji mtukufu
wa macca sikuona,hivyo nadhani jambo hilo limepitishwa rasmi.
Lakini pia kama ni kosa kwa Tanzania basi taasisi husika ziandae maandamano ijumaa ijayo baada ya swala
kupinga mrembo huyo asitembelee mji wa macca.
Kenye baibo mambo hayo yapo, lakini kwa wenzetu ambao huwanyanyapaa wanawake hayapo.
Wewe nakusikia sana na kauli hizi. Hem fafanua na leta ushahidi vp wanawake wananyanyapaliwa kwenye uislam?
Wanaume wao watapewa bikra, wanawake wakijitoa mhanga wanapewa nini?
Wanaume wao watapewa bikra, wanawake wakijitoa mhanga wanapewa nini?