Mushkeli wa matarajio ya wanandoa............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mushkeli wa matarajio ya wanandoa.............

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, May 23, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Katika urafiki na uchumba kuna matarajio yake na mengi yake huwa hayazungumzwi na/au hayazungumziki.............lakini yale mazungumzo yaliyokuwa yanaonekana hayana umuhimu baada ya ndoa huwa ndiyo mambo muhimu na majuto huwa ni mjukuu...................

  Nitatoa mfano mmoja wa tendo la ndoa..............................

  Wako ambao hukwepa tendo la ndoa kwa makusudio mazima ya kutimiliza kati ya haya na mengineyo.................................

  1) Kumtukuza Mwenyezi Mungu............................safi sana...........

  2) Kukwepa malinganisho ya kuwa mbona fulani niliyemwonja ni mtamu zaidi yako..............fikra, hisia na uzoefu...........................

  3) Kukwepa magonjwa na mimba za kabla ya wakati.....................................hutaki nepi za mtumba kwa sababu tu uliharakisha kukua kabla ya wakati na haraka haraka haina baraka...................

  4) kukaa mbali na tendo la ndoa ikiwa ni kigezo kikubwa cha kuoana...................we are different from them, all....................................we are morally better than them, to put it real..........

  5) N.k na kadhalika.....................................................


  Mushkeli hapo ni kuwa haya mengineyo pia huweza kuwa ni changamoto zisizokusudiwa.............

  a) kugundua ya kuwa kumbe kwenye hilo kafara ulikuwa unaitoa pekee yako mwenzio kiguu kwa njia...........

  b) kugundua ya kuwa kumbe mwenzio hawezi dozi tatu kutwa na anapendelea dozi moja kwa wiki.............hili nalo sasa ni purukshani jingine ambalo matarajio hayaendani na hali halisi.....

  c) tofauti za maumbile ya nyeti nayo yaweza kuleta sooooooooo......................soma riwaya ya Rosa Mistika kwa ufafanuzi wa ziada................................

  lakini uzuri wa haya yote ni kuwa........................love conquers it all. Therefore put God in the first place He is going to take you places........................................................
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  c) tofauti za maumbile ya nyeti nayo yaweza kuleta sooooooooo......................soma riwaya ya Rosa Misitika kwa ufafanuzi wa ziada................................
  Mkuu @Rutashubanyuma!
  Nimekukubali!
  Hii riwaya ya zamani mno mkuu, umeikumbukaje?, na vitabu vyake kama vipo basi maandishi karibu yanafutika kwa ukongwe!...au kuna vya yeboyebo siku hizi mitaani?
  Japokuwa wakati huo waandishi walikuwa na uandishi wa kitafsida mno, na haikuwa na mvuto mkali kusoma vitabu hivyo!

  Aksante kwa kunikumbusha kitu ambacho katika hali ya kawaida nisingethubutu kukumbuka!
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Apart from issue ya dini... Personally naona sometimes it better kabla hamjaoana
  atleast kue na trial and error period kuona katika hio sector (sex) mko compactable...
  mana haya mambo waweza kua hufai kwa mwingine whereas kwa mwingine wewe ndo wewe...
  Mkigundua interest/maumbile vice versa mshafunga pingu... issue inaanza hapo
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Code:
  Aksante kwa kunikumbusha kitu ambacho katika hali ya kawaida nisingethubutu kukumbuka!
  vijana wa siku hizi hawasomi vitabu vya enzi zetu wao ni televisheni na dot.com tu..........
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Code:
  Apart from issue ya dini... Personally naona sometimes it better kabla hamjaoana 
  atleast kue na trial an error period kuona katika hio sector mko compactable... 
  mana haya mambo waweza kua hufai kwa mwingine whereas kwa mwingine wewe ndo wewe...
  come and stay is a good thing ila wakinadada wengi hawajiamini na hufikiri ya kuwa baada ya njemba kumjua undani wake itakuwa imetoka lakini afadhali iwe imetoka sasa kulikoni baada ya miaka kebe wa kebe................
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Kusema akina dada hawajiamini mi naona sio sababu... mbona idadi
  kubwa wana engage katika sex na hawajaolewa...
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ruta thanx especially kwenye A, B and C
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hiyo ya B ni sababu nyepesi mno
   
 9. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  thanx ruta nimekupata vizuri
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Code:
  Kusema akina dada hawajiamini mi naona sio sababu... mbona idadi
  kubwa wana engage katika sex na hawajaolewa...
  kuibia na kujulikana rasmi unaishi na fulani ni mambo mawili tofauti kabisa...........khofu ni kuwa come and stay yaonekana umejitoa mhanga zaidi na mambo yakienda kombo athari zake huwa ni kubwa........utakuta waswahili wakilonga yule mbona aliwekwa kimada kwa muda mrefu sasa unamtakia nini? Na huongeza ya kuwa yule kachoshwa vile..........
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Code:
  thanx ruta nimekupata vizuri
  Am pleased.......................
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Code:
  hiyo ya B ni sababu nyepesi mno
  Hiyo B ni hii hapa .............................


  Code:
  2) Kukwepa malinganisho ya kuwa mbona fulani niliyemwonja ni mtamu zaidi yako..............fikra, hisia na uzoefu...........................
  Kwa wadada yawezekana hivyo lakini kwetu inaweza kuleta mtafaruku wa kisaikolojia........................na kusababisha madhara mengineyo ambayo huwa si wepesi kuyaweka wazi.....................
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Sasa nimekupata... kaka zetu wenyewe hawa... ukiamia kwake chances of you getting married zinakua low zaidi...
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Code:
   
  Sasa nimekupata... kaka zetu wenyewe hawa... ukiamia kwake chances of you getting married zinakua low zaidi...
  Kuna ukweli wa kiasi fulani lakini ukumbuke kila tufanyacho kinategemea Mola aliamua nini.........................kama huyo umepangiwa hana ujanja lakini kama la hata umkimbie vipi bado siyo jawabu.......................
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  May 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Ruta tusiende kabisa huko... Tukimuingiza mola katika mambo ya
  kuzini ni kumuonea... naamini kabisa kua alisema watu wasifanye mapenzi
  kama hawajaoana ili kuepusha kupata ladha na size tofauti hibyo kila
  mmoja kuridhika na mwenzi wake akiamini woote wako hivyo!
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Uko sawa maana hata iwe vp kama kwenye sex ni tatizo hata wiki hammalizi!
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  May 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Yaani mimi na wewe kila tukitoa maoni leo yanapishana kabisa... nimefurahi hatimae there is something we have the same point of view...


  The Following User Says Thank You to Eiyer For This Useful Post:

  Asha D (Today) ​
   
 18. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #18
  May 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hapa nakugongea senks
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  May 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Uko sawa maana hata iwe vp kama kwenye sex ni tatizo hata wiki hammalizi!
   
 20. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #20
  May 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Uko sawa maana hata iwe vp kama kwenye sex ni tatizo hata wiki hammalizi!
   
Loading...