Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 664
- 1,272
Hii ndiyo tweet bora karne hii, ni kweli Mungu ana kazi nyingi hawezi kuwa hapa Tanzania kusikiliza wavivu wanavyolia kwa kisingizio cha maombi.
Wanasayansi wa Uganda wafanya utafiti wa kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya Corona
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema wanasayansi nchini humo wanajitahidi kufanya utafiti utakaosaidia kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya Corona.
Rais Museveni amesema, wanasayansi kutoka Taasisi ya Utafiti wa Virusi ya Uganda iliyoko mjini Entebbe wanafanya utafiti juu ya virusi hivyo ili kutengeneza chanjo. Amewashukuru madaktari kwa kufanya juhudi katika kuwatibu wagonjwa 55 walioambukizwa virusi vya Corona nchini humo. Ameongeza kuwa watu 28 kati yao wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitali, na mpaka sasa hakuna kifo kilichotokana na virusi hivyo nchini humo.
Navyohisi Kama vile walisoma mechanicalSijui Tz wanafanya nn maana hatusikii madaktari kama wanafanya tafiti
Sent using Jamii Forums mobile app
No kuna Institute of virus research--UVRI. Lakini haina the required expertise and infrastructure to sustain high level virology research. Basics wanafanya sana tena vizuri. I have been there I know the place! They have international collaboration with world-class labs!Itakuwa chanjo ya mitishamba hiyo!
HakikaKama taarifa wanazotoa waganda ziko sahihi. litakuwa ndio taifa lililofanikiwa katika mapambano ya corona virus kuliko taifa lolote duniani.
π π π π π πHii ndiyo tweet bora karne hii, ni kweli Mungu ana kazi nyingi hawezi kuwa hapa Tanzania kusikiliza wavivu wanavyolia kwa kisingizio cha maombi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anawatibu kwa dawa gani hata wasife!!? Unamjua vizuri huyo dikteta?Huyu ndiye rais alishutuka mapema, wengine wanasubiri neema ya Mungu kama mvua, kunusuru nchi yao.