Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 664
- 1,272
Wanasayansi wa Uganda wafanya utafiti wa kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya Corona
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema wanasayansi nchini humo wanajitahidi kufanya utafiti utakaosaidia kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya Corona.
Rais Museveni amesema, wanasayansi kutoka Taasisi ya Utafiti wa Virusi ya Uganda iliyoko mjini Entebbe wanafanya utafiti juu ya virusi hivyo ili kutengeneza chanjo.
Amewashukuru madaktari kwa kufanya juhudi katika kuwatibu wagonjwa 55 walioambukizwa virusi vya Corona nchini humo.
Ameongeza kuwa watu 28 kati yao wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitali, na mpaka sasa hakuna kifo kilichotokana na virusi hivyo nchini humo.