#COVID19 Museveni Yoweri Kaguta: Wanasayansi wa Uganda wako Maabara kufanya utafiti wa kutengeneza chanjo ya CORONA

No kuna Institute of virus research--UVRI. Lakini haina the required expertise and infrastructure to sustain high level virology research. Basics wanafanya sana tena vizuri. I have been there I know the place! They have international collaboration with world-class labs!



Uganda Virus Research Institute
Uganda Virus Research Institute
REPUBLIC OF UGANDA
Search form
Search

UVRI_COVID_PIC_4.jpg

ONE (1) NEW CASE OF COVID-19 HAS BEEN CONFIRMED TODAY AT UVRI.
One (1) new case of COVID-19 h
Safi sana.

Hivi TZ hatuna virology institute kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yule ni dikteta huu ni wakati mzuri kwake kuwanyoosha raia na kujipatia ujiko, hata wagonjwa wawe buku atasema wamebaki wawili!!nani atambishia?

huo utafiti wa Uganda ukiwin mje mnitoe shimoni naingia mda huu! africa tunasoma Rote Learning , west wanasoma Meaningful learning! nimesoma bongo na nje i know the difference!! nikiwa west niko class nilisoma everything nikameza kwenye pepa nikaachia vyombo vyote nikapata 30% kwa bongo ile pepa ningepiga kama 90% , nikapanic sana nikamuuliza ticha nimekosea wapi akasema ‘ umerudia points za wengine zako hamna’ sasa hao madaktari wa elimu ya kukariri wa Uganda wanakula pesa za utafiti za mtu mjinga asielewa hao hawana jipya mfumo wa elimu ya kukaririshana waliopitia ni kikwazo kikuu!! huwezi kuwa mbunifu kwa curricula za kukaririsha kuanzia standard one hadi chuo! kama unabisha nenda ghafla laboratory utawakuta wanasoma tu vitabu vya west vinavyozungumzia viruses na kujifanya wanachungulia viruses kwenye microscopes!!wakipata chanjo mje mniite!
 
ninapata confidence ya kukubali taarifa za serikali ya Uganda kuhusu covid.

sijasikia raia hata wapinzani wa serikali ya mseveni wakikosoa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata kama Waganda hawatapata chanjo lakini wapo kwenye njia sahihi.

Binafsi ningefarijika sana kama angalao ningesikia kuwa Madaktari bingwa wa kitengo cha tiba asilia, matabibu asilia na madaktari mbalimbali, wanafanya majaribio mbalimbali kuona dawa zenye uwezo wa kuwasaidia wagonjwa wa Covid 19. Hata kama wasingefanikiwa, lakini ni jitihada. Kuliko kukaa tu kusubiria kuombewa.
 
Hiyo Raisi Mpumbavu na Adui, badala ya kumtibu Dereva wa gari kutoka Tanzania, ameamua kumrudisha Tanzania. Undugu na ujirani gani huu,
Nasi tutakuwa fanya hivyo siku yetu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Dereva anatoka Dar, anasafiri zaidi ya siku 2, mpaka anafika mpakani, hamjui tu kama ameambukizwa, huo nadhani ni uzembe wa hali ya juu. Huwezi kuwalaumu Waganda. Ni vema wakaendelea hivyo hivyo ili kujilinda na kuzifanya jitihada zao zizae matunda. Sisi tunaoona kuwa ni tatizo dogo, tuendelee kuishi na hivi virusi.
 
Nimemsikiliza juzi mseven anasema curve yao sio flat ni oscillating. sababu leo wana cases 3, kesho zero, kesho kutwa 1, mtondogoo zero, alafu inafuatia kumi, kesho yake sijui nne, alafu inafuatia zero.

Barozi wa Tanzania Uganda ni nani?
 
sisi tunayo hii lab
No kuna Institute of virus research--UVRI. Lakini haina the required expertise and infrastructure to sustain high level virology research. Basics wanafanya sana tena vizuri. I have been there I know the place! They have international collaboration with world-class labs!



Uganda Virus Research Institute
Uganda Virus Research Institute
REPUBLIC OF UGANDA
Search form
Search

UVRI_COVID_PIC_4.jpg

ONE (1) NEW CASE OF COVID-19 HAS BEEN CONFIRMED TODAY AT UVRI.
One (1) new case of COVID-19 h
sisi tunayo hii lab?
 
Nimemuona Museveni anahutubia Taifa, in a very passionate manner, nyuma yake akiwa na bendera ya uganda na ya east africa.
sasa ile bendera ya east africa nikajikuta kama vile namsikiliza Rais wangu.

nimefikia hatua ya kudowea marais wa watu.
 
Back
Top Bottom