Museveni: Wana bahati wafuasi wetu hawakupiga kura wote, vinginevyo kusingekuwepo na Upinzania Uganda

Museveni: Wana bahati wafuasi wetu hawakupiga kura wote, vinginevyo kusingekuwepo na Upinzania Uganda

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amejitetea juu ya ushindi wake katika uchaguzi wa urais, akisema kuwa ushindi wa asilimia 72 si ule aliyotarajia. Amefafanua kwamba chama chake kina wanachama zaidi ya milioni 21, kati ya hao milioni 18 wakiwa wapiga kura waliyojisajili, na kama wote wangepiga kura, upinzani ungeonekana kuwa mdogo sana nchini Uganda.

“Tulipokagua uanachama wa Chama cha National Resistance Movement (NRM) tarehe 6 Mei 2025, tulikuwa na wanachama milioni 21 na kati yao milioni 18 ni wapiga kura, lakini tunazungumzia tu wale milioni 8 waliopiga kura. Hivyo basi upinzani ni wa bahati, kwa sababu kama wanachama wetu wote wangefika kupiga kura, basi upinzani usingekuwapo Uganda, ninaweza kuhakikisha hivyo,” amesema Rais Museveni.

Museveni alishinda uchaguzi wa urais uliopigwa Alhamisi iliyopita, akikusanya kura milioni 7.9, huku mpinzani wake mkuu, Bobi Wine, akitangazwa kuzipata kura milioni 2.7.

1768815774961.png

===========

Uganda's President Yoweri Museveni has defended his presidential poll win, saying the 72% victory is not what he expected. He explains that his party has over 21 million members, out of which 18 million are registered voters, and had they all turned up, the opposition could be insignificant in Uganda.

"When we reviewed the membership of the National Resistance Movement (NRM) in May 6, 2025, we had 21 million members and 18 million of them are voters, but we are just talking of 8 million who turned up. So the opposition are lucky because if all our members turned up, there would be no opposition in Uganda, I can assure you," President Museveni says.

Museveni won last Thursday's presidential ballot, garnering 7.9 million votes, while his main competitor, Bobi Wine, was announced to have managed 2.7 million votes.
 
Kama angemuiga Chura Kiziwi, angeshinda kwa 99%
 
Back
Top Bottom