Museveni prays for Nyerere's sainthood! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Museveni prays for Nyerere's sainthood!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, Jun 3, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  UGANDAN President Yoweri Museveni has described Mwalimu Julius Kambarage Nyerere as the greatest black man he had ever met, adding that he deserves to be made a saint by the Catholic Church. "I am happy when I speak of Nyerere because I am his supporter. I said he was the greatest black man that ever lived. There are other black men such as Mandela, Kwame Nkrumah; but Nyerere is the greatest black man that ever lived," Mr Museveni observed.

  Daily News | Museveni prays for Nyerere's sainthood
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Angeiga kung'atuka kwa Nyerere basi badala ya kuwa king'ang'anizi
   
 3. F

  FUSO JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  huyu dikteta mamboleo anaongea nini hapa?
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Watawala wa kiafrika they talk too much more than they can deliver
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  I hate you Dictator M7
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kuna Siri gani kati ya Museveni na JKN? au ndo kukumbuka fadhila
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndo aliemuweka pale alipo. Urais wa M7 hauna maana kama si nyerere. Kuanzia mwaka 1973 miaka 2 tu tangu Amin aingie madarakani walishaweka kambi za maandalizi ya kijeshi huko kinguluira, morogoro na tabora tayari kwa kwenda kumuondoa Amini. Waliiba hela zetu pale BOT nakuzipeleka huko. (source. risala ya mseveni siku ya kifo cha kawawa)
  ilipofika mwaka 1977 nyerere alivunja EAC (jumuia ya Afrika mashariki) ili kuhalalisha vita.
  Huyo ndo nyerere anayemsifia M7. Lakini kinachonishangazi ni kwa nini kanisa linataka kumfanya mwenye heri. kwani inahusiana nini na uongozi wake? Au aliwafanyia nini kanisa? Hapa kuna kitendawili.
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Museveni lazima amuone nyerere mtakatifu, kwanza ni dikteta kama yeye na nyerere ndiye aliyemuweka madarakani.
   
 9. m

  matunge JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Tukubali ama tukatae. Nyerere ni miongoni mwa viongozi bora kabisa katika historia ya Dunia hii. RIP Mwalimu Nyerere.
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Ana ubora upi? Taja mmoja tu.
   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Alikuwa Kingozi wa madikteta katika hii dunia. Alikuwa ndumilakuwili
   
 12. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni swali zuri, sio rahisi kwa kiongozi wa kisiasa kuwa mwenye heri, kwani iwe iweje, amewaonea wengi, amewafunga wengi na amewatendea isivyo haki wengi. Sina uhakika mchakato wa JKN unaanzia wapi ila nafikiri wengi wanavutiwa na maisha yake ya nje hakuna mwenye kujua ya ndani.

  Wapo wengi ambao wapo kwenye foleni ya kuwa wenye heri kwa miaka mingi tu. Sijui kwa Nyerere itakuwa vipi ila hata mimi mwenye Imani inaniwia vigumu. Hasa pale ambapo hata madiktekta wakitaka Nyerere awe Mwenye Heri. Taratibu za kanisa ni ndefu, kama ni mwenye heri atakuwa mwenye heri, hayo ni Mambo ya Mungu. Wenye imani ya dhati na maisha adilifu wanatakiwa kusali ili Mungu atuonyeshe miujiza yake.
   
 13. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kikteta ni Qadhaffi pekee yake! Mbona sijawi kusikia waganda wakilalamika kuwa M7 ni Dikteta?

  Ukiina sana huwezi kujua uwezo wa Nyerere jaribu kunyanyua kichwa hasa unapomfikia Mungu! hamna haja ya kuinama
   
 14. m

  matunge JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Nyerere alitoa elimu bure. Hakuwa fisadi. Watoto wake walikuwa na hadhi sawa na sisi. Alijenga siasa ya kujitegemea. Kipindi chake utofauti wa kipato kati ya tajiri na masikini haukuwa kama sasa. Shilingi ilikuwa na thamani kubwa. Alikuwa na nia ya dhati kabisa (iliyotoka moyoni) ya kulijenga taifa.
   
 15. m

  matunge JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Mkuu tutajie kiongozi bora (unayeamini) katika nchi hii.....
   
 16. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  M7 ni distactor wa Kitusi.Hawezi kuachia madaraka mpaka ahakakishe ukoo wake uko kwenye power.
  Mtoto wake (Muhozi) yuko kwenye Presidential guard na alimsomesha Sandhurst(Monduli ya UK).

  Issue ya Nyerere na sainthood ni phony,i dont buy it,though naafiki mengi aliyofanya Nyerere.
   
 17. T

  Twasila JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,913
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Wewe wasema usemayo. Wenye akili wamekuelewa.
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  I wish you could talk with people like kambona, Kasanga Tumbo, Mapalala, Kasela Bantu, Edwin Mtei, Tuntemeke Sanga, Chipaka, Bibititi, Kunambi, Mtemvu, Mwamwindi NK. Na waliokuwa members wa oposition parties before 1963. Watawaambia kama huyu anafaa kuwa mtakatifu:smow:.
   
 19. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sokoine:smow:
   
 20. m

  matunge JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Tuko pamoja. Sasa ubaya wa Nyerere uko wapi. Unaweza watenganisha vipi Nyerere na Sokoine?.
   
Loading...