Museveni prays for Nyerere's sainthood!

Kabla ya Nyerere maana yake ni wakati wa ukoloni? Una maana ni heri wakati wa ukoloni? Hapa ndipo naamin waafrika kwa wastani tuna akili ndogo kuliko wazungu.

Kwa mwendo tunaoenda nao itakuwa ngumu sana kufikia kiwango cha kujua kusoma na kuandika kilichofikiwa wakati wa Nyerere, tulikuwa ni moja ya nchi zinazoongoza Afrika kwa 'literacy rate', leo hii tunashindwa hata na nchi ndogo kama Rwanda. Ukiwauliza viongozi wetu kulikoni wanakwambia tatizo nchi yetu ni kubwa! Hawajui Lesotho na Burundi ni nchi ndogo lakini hazina mafanikio ya Rwanda. Hawatuambii kwamba China ni nchi kubwa kuliko yetu na miongo michache iliyopita tulikuwa kwenye mstari mmoja lakini leo wametuzidi ktk kila sekta.

Nyerere alikuwa kiongozi wa nchi yetu. Lakini pia alikuwa muumini wa kanisa katoliki. Kama wakatoliki wataona inafaa kumfanya mtakatifu then so be it. Sioni kwanini wengine hata wasiojua taratibu za mtu kuwa mtakatifu wanakuwa na tatizo na hili.

Mwisho, waafrika lazima tujifunze kuenzi na kutambua mafanikio ya watu wengine. Mtu asiyeheshimu mafanikio ya watu wengine hawezi kamwe kufanikiwa. USA wanapowaenzi kina Lincoln, Washington nk, sio kwamba hawakuwa na makosa ktk utawala wao, la hasha, wanatathamini mchango wao kwa taifa hilo. Hata leo tunaweza kutofautiana kimawazo kama Kagame ndiye kiongozi bora Afrika Mashariki au la. Wengine watasema ni dikteta kama Nyerere na wengine tutaona ni true statesman kama Nyerere!
Need I say more!
 
Did Nyerere really break up the East African Community? Au ndizo hizo harakati za kuandika upya historia?
Yes, He did. Sidhani kama wewe ni MTz kwani hata mtoto wa chekechea analijua hili. wewe unaishi nchi gani? Na ni raia wa wapi? au uko kwenye kambi za wakimbizi wa kongo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom