Museveni prays for Nyerere's sainthood!

Museveni prays for Nyerere's sainthood!

I wish you could talk with people like kambona, Kasanga Tumbo, Mapalala, Kasela Bantu, Edwin Mtei, Tuntemeke Sanga, Chipaka, Bibititi, Kunambi, Mtemvu, Mwamwindi NK. Na waliokuwa members wa oposition parties before 1963. Watawaambia kama huyu anafaa kuwa mtakatifu:smow:.
Hawa ni wachache sana kulinganisha na idadi kubwa ya watanzania ambao walio mwamini mwalimu.
 
Tugeomba vigezo vya mtu kuwa mwenye heri. Pamoja na hayo aliyofanya Mwl. yawezekana alitubu kwa hayo machache munayoyaona kwamba ni mapungufu.
 
Nyerere katendea mengi taifa letu i wish angekua hai mpaka sasa haya magamba yasingeleta upumbavu wao.Na wew dada fox hivi wew ni nyumba ndogo ya kubwa la magamba mana kila kitu unapinga isipokuwa serikali ya mumeo kubwa la magamba.
 
Hawa ni wachache sana kulinganisha na idadi kubwa ya watanzania ambao walio mwamini mwalimu.

Ikiwa ni pamoja na kuwapa radio moja na gazeti moja na kuhakikisha mawazo yenu yamefikia hapo mlipo. watu wa uhuru na mzalendo.😛ound:
 
Tugeomba vigezo vya mtu kuwa mwenye heri. Pamoja na hayo aliyofanya Mwl. yawezekana alitubu kwa hayo machache munayoyaona kwamba ni mapungufu.

Baadhi ya vigezo



Canonization Process


VATICAN CITY, SEP 12, 1997 (VIS) - Today the Holy See Press Office made public the following note on canonical procedure for causes of beatification and canonization:
"1. Canon norms regarding the procedure to be followed for causes of saints are contained in the Apostolic Constitution 'Divinus Perfectionis Magister,' promulgated by John Paul II on January 25, 1983.
"2. To begin a cause it is necessary for at least 5 years to have passed since the death of the candidate. This is to allow greater balance and objectivity in evaluating the case and to let the emotions of the moment dissipate.
"3. The bishop of the diocese in which the person whose beatification is being requested died is responsible for beginning the investigation. The promoter group ('Actor Causae'): diocese, parish, religious congregation, association, asks the bishop through the postulator for the opening of the investigation. The bishop, once the 'nulla osta' of the Holy See is obtained, forms a diocesan tribunal for this purpose. Witnesses are called before the tribunal to recount concrete facts on the exercise of Christian virtues considered heroic, that is, the theological virtues: faith, hope and charity, and the cardinal virtues: prudence, justice, temperance and fortitude, and others specific to his state in life. In addition, all documents regarding the candidate must be gathered. At this point he is entitled to the title of Servant of God.
"4. Once the diocesan investigation is finished, the acts and documentation are passed on to the Congregation for the Causes of Saints. The public copy used for further work is put together here. The postulator, resident in Rome, follows the preparation of the 'Positio', or summary of the documentation that proves the heroic exercise of virtue, under the direction of a relator of the Congregation. The 'Positio' undergoes an examination (theological) by nine theologians who give their vote. If the majority of the theologians are in favour, the cause is passed on for examination by cardinals and bishops who are members of the congregation. They hold meetings twice a month. If their judgment is favourable, the prefect of the congregation presents the results of the entire course of the cause to the Holy Father, who gives his approval and authorizes the congregation to draft the relative decree. The public reading and promulgation of the decree follows.
"5. For the beatification of a confessor a miracle attributed to the Servant of God, verified after his death, is necessary. The required miracle must be proven through the appropriate canonical investigation, following a procedure analogous to that for heroic virtues. This one too is concluded with the relative decree. Once the two decrees are promulgated (regarding the heroic virtues and the miracle) the Holy Father decides on beatification, which is the concession of public worship, limited to a particular sphere. With beatification the candidate receives the title of Blessed.
"6. For canonization another miracle is needed, attributed to the intercession of the Blessed and having occurred after his beatification. The methods for ascertainment of the affirmed miracle are the same as those followed for beatification. Canonization is understood as the concession of public worship in the Universal Church. Pontifical infallibility is involved. With canonization, the Blessed acquires the title of Saint."
To read or search for articles from the Vatican Information Service, go to the Official Holy See Site. To have the daily VIS news brief sent to you by email, subscribe to the CIN Totus Tuus mailing list at CIN.​
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nyerere alitoa elimu bure. Hakuwa fisadi. Watoto wake walikuwa na hadhi sawa na sisi. Alijenga siasa ya kujitegemea. Kipindi chake utofauti wa kipato kati ya tajiri na masikini haukuwa kama sasa. Shilingi ilikuwa na thamani kubwa. Alikuwa na nia ya dhati kabisa (iliyotoka moyoni) ya kulijenga taifa.

Elimu bure ya nyerere matokeo yake tuna Taifa mbumbumbu na ombaomba na mali tunazo.

Nyerere alifisadi roho za watu wengi alipowaondoa kwa nguvu kwenye makazi yao ya asili na kuwapeleka vijiji vya ujamaa kwa nguvu, wengi wakafa kwa njaa, maradhi na kuuliwa na wanyama. Kheri iko wapi hapo?

Shillingi ilipoteza thamani wakati wa nyerere, kabla ya nyerere ilikuwa na thamani kubwa sana. Kama huyajuwi uliza usikurupuke.
 
Tuko pamoja. Sasa ubaya wa Nyerere uko wapi. Unaweza watenganisha vipi Nyerere na Sokoine?.

1. Sokoine alikuwa na suruali 3 na viatu pea 3
2. Sokoine alikataa kata kata kuonea wanyonge na kulinda wahujumu wakuu, mtu wa haki kwa vitendo
3. Sokoine alikataa siasa za uongo na unafiki, aliwahi kutishia kuacha office, kwa kuzuiwa kutenda haki
4. Alijitoa kwa dhati kurekebisha mambo yote ya uonevu

Na mwisho wake ulikuwa mtakatifu, huyu hana haja ya kupitia kwenye heri.:smow:
 
Nyerere katendea mengi taifa letu i wish angekua hai mpaka sasa haya magamba yasingeleta upumbavu wao.Na wew dada fox hivi wew ni nyumba ndogo ya kubwa la magamba mana kila kitu unapinga isipokuwa serikali ya mumeo kubwa la magamba.

Nyerere katendea mengi Taifa, yote mabaya sioni jema hata moja. Si nyumba ndogo ni nyumba kubwa, tena si ya magamba ya ngozi orijino. Hayo magamba ni mazao ya nyerere.
 
Nyerere katendea mengi Taifa, yote mabaya sioni jema hata moja. Si nyumba ndogo ni nyumba kubwa, tena si ya magamba ya ngozi orijino. Hayo magamba ni mazao ya nyerere.

khaaa! Basi babako ndo katenda mema. Uko mzima kabisa???utakuwa ****** tu.
 
Ila tusiwe wavivu au woga, maadili yalianzia kuporomoka kipindi cha Nyerere, ukiangalia safu ya mafisadi wote ni zao la nyerere, sie tumeachiwa tu watumalize.
Chenge, Lowasa, JK, Mramba, Yona, Mgonja, Mkapa, nk
Hawa wote ni zao la utawala wa kwanza, malezi makuzi, mapokeo mafundisho ni ya mwalimu. Na mwalimu alianza biashara ya kulindana, pale waziri akiharibu wizara hii anahamishiwa wizara ile. Tuliimba mawaziri unafikiri ni kazi ya kudumu. Mwenyewe alishasema katiba ni mbovu akijua kuna siku kutatokea wendawazimu wai-abuse akatuachia katiba ikiwa haifai kutawala wanadamu zaidi ya wanyama. Sheria gandamizi zilipigiwa kelele hata kipindi chake akawa anaficha watu ukiongea, ukimpinga hauonekani.

Alikataa kubadili katiba mbovu
aliwalinda waharibufu na kuendelea kuwapandisha vyeo au kuwazungusha.
Hakuwekeza kwenye maadili ya taifa, ndio kisa cha kuwa na akina Mkapa and Group
Aliogopa wasomi-fuatilia kisa cha Tuntemeke sanga
Alikimbiza wanaompinga- babu, kambona nk


Ni kweli anayo mazuri mengi, ila tusichelee kujua udhaifu ulianzia wapi ili tuweze kuirekebisha jamii na taifa letu.
 
khaaa! Basi babako ndo katenda mema. Uko mzima kabisa???utakuwa ****** tu.

Sema moja jema alilotenda nyerere! nakupa open challenge kwako binafsi, unaongea vitu vya kusadikika vya kuhadithiwa, mimi nimeyaona ya nyerere.

Labda mamako ndio katendewa mema na nyerere.
 
1. Sokoine alikuwa na suruali 3 na viatu pea 3
2. Sokoine alikataa kata kata kuonea wanyonge na kulinda wahujumu wakuu, mtu wa haki kwa vitendo
3. Sokoine alikataa siasa za uongo na unafiki, aliwahi kutishia kuacha office, kwa kuzuiwa kutenda haki
4. Alijitoa kwa dhati kurekebisha mambo yote ya uonevu

Na mwisho wake ulikuwa mtakatifu, huyu hana haja ya kupitia kwenye heri.:smow:

Ulikuwa hujui kama Sokoine Mmasai? suruali na viatu vya nini kwake?
 
I wish you could talk with people like kambona, Kasanga Tumbo, Mapalala, Kasela Bantu, Edwin Mtei, Tuntemeke Sanga, Chipaka, Bibititi, Kunambi, Mtemvu, Mwamwindi NK. Na waliokuwa members wa oposition parties before 1963. Watawaambia kama huyu anafaa kuwa mtakatifu:smow:.
Tuseme tusemavyo, Nyerere alikua kiongozi shupavu, mnyoofu, mwogopa Mungu! If you are looking for negativity you will always find it!
I don't just like nyerere, I worship him!
 
Sema moja jema alilotenda nyerere! nakupa open challenge kwako binafsi, unaongea vitu vya kusadikika vya kuhadithiwa, mimi nimeyaona ya nyerere.

Labda mamako ndio katendewa mema na nyerere.

Wenye historia ya fisadi could tell better about Nyerere, He wasn't talkin the talk he was walking the walk! Watu wa disaini yenu, aliwaadabisha mkashika na adabu!
Ask people who hate Nyerere, watakwambia, they have a family history! Tena ushukuru aliwasomesha bure!
 
UGANDAN President Yoweri Museveni has described Mwalimu Julius Kambarage Nyerere as the greatest black man he had ever met, adding that he deserves to be made a saint by the Catholic Church. "I am happy when I speak of Nyerere because I am his supporter. I said he was the greatest black man that ever lived. There are other black men such as Mandela, Kwame Nkrumah; but Nyerere is the greatest black man that ever lived," Mr Museveni observed.

Daily News | Museveni prays for Nyerere's sainthood

This Mugabe of East Africa should leave Tanzanians and Nyerere (RIP) alone! Yeye amsake Joseph Kony siyo kujitafutia umaarufu kwa kuchezea akili za Watanzania. Na tunajuwa yote si kwa sababu anampenda sana Nyerere ila ni kwa sababu anataka awe Rais wa East Africa (mara itakapo kuwa shirikisho). Kumbuka Uganda Rais is for life, huyu bwana kabilisha katiba. Sasa anataka ku-import umang'aa wake kwa mgongo wa Nyerere. Museveni mkamate Joseph Kony ili watu wa North Uganda waishi kwa amani. Tanzania is for Tanzanians alone.
 
Sina uhakika kama m7 anajua hata anachokizungumza...!!! If anatambua kuna issue za sainthood humu duniani angeachia madaraka mara moja akatubu...!!! Hivi kweli anavyouwa na kutesa waganda afu leo hii anatapika maneno ambayo sio muumini wake si anataka kutufanya kama sisi kama hatufikiri ehh...!!! NA AJUE AKITOKA GHADAFI NI YEYE SA TUTAONA ATAONDOKA KIMYA KIMYA AU WITH BLOODSHED...!!!!!:smow:
 
Wenye historia ya fisadi could tell better about Nyerere, He wasn't talkin the talk he was walking the walk! Watu wa disaini yenu, aliwaadabisha mkashika na adabu!
Ask people who hate Nyerere, watakwambia, they have a family history! Tena ushukuru aliwasomesha bure!

Akaaa, sikusomeshwa na nyerere mie! wakati nasoma tunalipa fees za TShs 33 kila mwaka na kila kitu kilikuwepo shuleni, unaenda wewe na uniform zako tu. Nyerere kasomesha watu bure au kawatia watu ujinga bure?
 
Ndo aliemuweka pale alipo. Urais wa M7 hauna maana kama si nyerere. Kuanzia mwaka 1973 miaka 2 tu tangu Amin aingie madarakani walishaweka kambi za maandalizi ya kijeshi huko kinguluira, morogoro na tabora tayari kwa kwenda kumuondoa Amini. Waliiba hela zetu pale BOT nakuzipeleka huko. (source. risala ya mseveni siku ya kifo cha kawawa)
ilipofika mwaka 1977 nyerere alivunja EAC (jumuia ya Afrika mashariki) ili kuhalalisha vita.
Huyo ndo nyerere anayemsifia M7. Lakini kinachonishangazi ni kwa nini kanisa linataka kumfanya mwenye heri. kwani inahusiana nini na uongozi wake? Au aliwafanyia nini kanisa? Hapa kuna kitendawili.
Did Nyerere really break up the East African Community? Au ndizo hizo harakati za kuandika upya historia?
 
Elimu bure ya nyerere matokeo yake tuna Taifa mbumbumbu na ombaomba na mali tunazo.

Nyerere alifisadi roho za watu wengi alipowaondoa kwa nguvu kwenye makazi yao ya asili na kuwapeleka vijiji vya ujamaa kwa nguvu, wengi wakafa kwa njaa, maradhi na kuuliwa na wanyama. Kheri iko wapi hapo?

Shillingi ilipoteza thamani wakati wa nyerere, kabla ya nyerere ilikuwa na thamani kubwa sana. Kama huyajuwi uliza usikurupuke.

Kabla ya Nyerere maana yake ni wakati wa ukoloni? Una maana ni heri wakati wa ukoloni? Hapa ndipo naamin waafrika kwa wastani tuna akili ndogo kuliko wazungu.

Kwa mwendo tunaoenda nao itakuwa ngumu sana kufikia kiwango cha kujua kusoma na kuandika kilichofikiwa wakati wa Nyerere, tulikuwa ni moja ya nchi zinazoongoza Afrika kwa 'literacy rate', leo hii tunashindwa hata na nchi ndogo kama Rwanda. Ukiwauliza viongozi wetu kulikoni wanakwambia tatizo nchi yetu ni kubwa! Hawajui Lesotho na Burundi ni nchi ndogo lakini hazina mafanikio ya Rwanda. Hawatuambii kwamba China ni nchi kubwa kuliko yetu na miongo michache iliyopita tulikuwa kwenye mstari mmoja lakini leo wametuzidi ktk kila sekta.

Nyerere alikuwa kiongozi wa nchi yetu. Lakini pia alikuwa muumini wa kanisa katoliki. Kama wakatoliki wataona inafaa kumfanya mtakatifu then so be it. Sioni kwanini wengine hata wasiojua taratibu za mtu kuwa mtakatifu wanakuwa na tatizo na hili.

Mwisho, waafrika lazima tujifunze kuenzi na kutambua mafanikio ya watu wengine. Mtu asiyeheshimu mafanikio ya watu wengine hawezi kamwe kufanikiwa. USA wanapowaenzi kina Lincoln, Washington nk, sio kwamba hawakuwa na makosa ktk utawala wao, la hasha, wanatathamini mchango wao kwa taifa hilo. Hata leo tunaweza kutofautiana kimawazo kama Kagame ndiye kiongozi bora Afrika Mashariki au la. Wengine watasema ni dikteta kama Nyerere na wengine tutaona ni true statesman kama Nyerere!
 
Elimu bure ya nyerere matokeo yake tuna Taifa mbumbumbu na ombaomba na mali tunazo.

Nyerere alifisadi roho za watu wengi alipowaondoa kwa nguvu kwenye makazi yao ya asili na kuwapeleka vijiji vya ujamaa kwa nguvu, wengi wakafa kwa njaa, maradhi na kuuliwa na wanyama. Kheri iko wapi hapo?

Shillingi ilipoteza thamani wakati wa nyerere, kabla ya nyerere ilikuwa na thamani kubwa sana. Kama huyajuwi uliza usikurupuke.

Sijui ni nani mwanzilishi na kwa nini hasa lakini miezi hii ya karibuni kumekuwa na campaign ya kumchafua Marehemu Baba wa Taifa. Hata Kikwete mwenyewe amesikika akiongea 'negative' kuhusu 'Mzee' Nyerere!

Kwa kuanza FaizaFoxy ni tabia mbaya sana na kinyume na mila na desturi za kiafrika kumpaka marehemu matope. Mwl Nyerere hayuko nasi ajibu hizi tuhuma au lawama ulizoandika kuhusu yeye. Lakini akiwa hai, kwa mdomo wake mwenyewe, alihutubia umma (nadhani ilikuwa ni May Mosi Mbeya) na akakiri kuwa wakati wa utawala wake kuna mambo walifanya vizuri na kuna mambo hawakufanya vizuri. tena akatumia maneno 'kwa nini tusifanye vibaya, sisi malaika?" Na akashauri uongozi wa awamu zinazofuata basi ni jukumu lao kuendeleza yale mazuri na kurekebisha/kuacha yale yote mabaya.

Assume for the sake of this silly argument of yours kwamba Nyerere alifanya vibaya, je marais waliofuata wamefanya nini? Na hasa huyu aliyepo amefanya nini cha maana kumshinda Nyerere?

1 Mataka kaongoza shirika la ndege (ATCL) huku shirika lenyewe likiwa halina ndege hata moja? alichokifanya kwa maneno yake mwenyewe Mataka ni kutengeneza 'logo' mpya ya ATCL? Nyerere hakurithi shirika la ndege, anaondoka madarakani lilikuwa na ndege.

2. Shirika la reli lina hali gani?
3. Tanesco imekuwa shamba la bibi
4. Mbuga za wanyama nazo zimegeuka kuwa shamba la bibi- waarabu wanahamisha wanyama hai kila kukicha
5. Ranchi za Taifa ziko wapi?
6. Viwanda - Tanganyika packers, mwatex, machine tools, general tyres, etc - viko wapi?

7. Wakati Mwl Nyerere anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na Engineer nadhani hawazidi 2, hawakuwa na pilot hata mmoja, na watu wachache sana walikuwa wanajuwa kusoma na kuandika. Lakini wakati anang'atuka, Tanzania has one of the highest litaracy rate (over 90%!) sasa hivi tumerudi kule kule na Shule za kata ndio zinatumalizia watoto. Wakati wa Mwl Nyerere elimu ilikuwa bure, bure kabisa na hata Kikwete kasoma bure.

8. Mwl Nyerere hakutacha na hela mifukoni mwetu, lakini hakuacha 'MASHIMO'! aliacha madini yote kabisa ardhini ili watanzania wakishakuwa na uwezo wa kuyachimba wafanye hivyo kwa manufaa yao wenyewe. Tarime wameuliwa watu watano juzi juzi kwa sababu tu ya kuokota vipande vya mawe vilivyomwanga toka mgodini!

9. Nyerere alifisadi roho za watu wengi .... wengi wakafa kwa njaa, maradhi na kuuliwa na wanyamawangapi? - Watu wangapi walikuwa kutoka na ufisadi wa Mwl Nyerere?

10. Shillingi ilipoteza thamani wakati wa nyerere, kabla ya nyerere ilikuwa na thamani kubwa sana - kabla ya Nyerere tulikuwa tunatumia sarafu (currency) gani?
 
Back
Top Bottom