Mwaego subiri usiondoke lakini vua kofia lako.
unajiadangnanya sana, tz kuipikua ke?? jaribu tena baadaye baada ya watu makini kuwa madarakani
Nilimshauri huyo Ritz kuwa "silence ni best tool"mbona una mawazo ya kishamba sana,, Kofia inazuia nini??
mbona una mawazo ya kishamba sana,, Kofia inazuia nini??
Nasikia Dr Slaa kapigwa chini kuonana na Obama.
Nilimshauri huyo Ritz kuwa "silence ni best tool"
acha upumbavu wa kushabikia vyama muda wote, utaifa kwanza jinga wewe
Ndugu pesa iliyopo Kenya Sio ya Wakenya, ni ya Wakoloni, kumbukeni Kenya Sio Nchi huru mpaka sasa, Mzee Kenyatta alisainishwa kwa vitisho Uhuru wa Mkataba ama Jeshi la Uingereza lingevamia na kutawala kwa nguvu, alichosaini ni Kuwaacha Waingereza na Mali zao, mashamba na kila walichokuwanacho kiendelee Kuwa chao. Kwa hiyo siku wakiamua kurudisha pesa yao England Kenya ni Zimbabwe nyingine.safi,hakuna tatizo..jamani watanzania tumewapiku kenya karibia kila kitu..tunawakimbiza kwenye pato la taifa kwa spidi.zamani walikuwa wanadai Nairobi ni london ndogo sasa eti wamenuna kwa nini dar inaipiku nairobi
Mu 7 amebaki bongo akisubiri
kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua
aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta
hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!
safi,hakuna tatizo..jamani watanzania tumewapiku kenya karibia kila kitu..tunawakimbiza kwenye pato la taifa kwa spidi.zamani walikuwa wanadai Nairobi ni london ndogo sasa eti wamenuna kwa nini dar inaipiku nairobi