Atuuh..Baba Hashbangangaa..Huyu jamaa ni mtangazaji bora sana..kinachonivutia kwake ni Uwezo wa Kujenga hoja na kuuliza maswali muhimu..ukimsikiliza lazima ucheke..Na ni bonge moja la MC...Jamaa anajua arudi bhana Jahazini..Ana'post yuko Mbuga za wanyama na Tanapa sijui ndo kahamia uko may be.