Muosha Magari apatisha ajali gari lenye thamani zaidi ya Milioni 100. Akutwa anaruka sarakasi

taiter

JF-Expert Member
Mar 22, 2018
241
687
Habari wakuu, tunakumbushana kuweni makini na waosha magari mnapowaachia funguo wakati wa kuosha dinga zenu, Jamaa kapeleka gari aina ya Ford Ranger carwash huku Dom kaacha funguo na kuondoka, mwoshaji kamaliza akachukua ford ranger ya Mteja kwenda kutamba nalo, kilichotokea kala mzinga ndinga haitamaniki yeye kapata uchizi wa ghafla.

IMG-20210802-WA0000.jpeg
IMG-20210802-WA0001.jpeg

IMG-20210802-WA0000.jpeg

Huyu jamaa mwenye kibukta ndo mwoshaji, hiyo video ndo inaonyesha kichaa cha ghafla alichopata, sipati picha mmiliki ana hali gani hiki ndo ukute alikuwa na third party tu.

Haiwezi kumsaidia kwakua hakua anaendesha yeye.
Una idea yoyote labda kuhusu masuala ya bima?

Nikusema buses zote za mikoani,daladala kwenye miji mbalimbali hapa home gari zote zinazoendeshwa mijini huwa zinaendeshwa na wamiliki?sasa kumbe kuna haja gani kukata bima hali yakuwa haitoi msaada chombo kikipata tatizo kikiwa nje ya mikono yako?...hey mimi nakushauri kitu hujui kukaa kimya siyo dhambi.
 
Habari wakuu, tunakumbushana kuweni makini na waosha magari mnapowaachia funguo wakati wa kuosha dinga zenu, Jamaa kapeleka gari aina ya Ford Ranger carwash huku Dom kaacha funguo na kuondoka, mwoshaji kamaliza akachukua ford ranger ya Mteja kwenda kutamba nalo, kilichotokea kala mzinga ndinga haitamaniki yeye kapata uchizi wa ghafla.

View attachment 1877570View attachment 1877572
View attachment 1877571
Huyu jamaa mwenye kibukta ndo mwoshaji, hiyo video ndo inaonyesha kichaa cha ghafla alichopata, sipati picha mmiliki ana hali gani hiki ndo ukute alikuwa na third party tu.
Hata ukiwa na premium, hapo kosa ni la mwenye gari. Utampaje funguo jamaa ambaye ukute hana hata leseni ya kuendesha chombo cha moto? Ni shida. Hapo ahesabu hasara
 
Back
Top Bottom