FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,044
- 40,703
Kwani unapopaki gari bila kuweka mlinzi sehemu isiyo na fensi huwa unafanya hivyo ili liibiwe? Hali kadhalika unapompa fungua ili aweze kuliosha ndani huwa unampa ili aibe na kuendesha barabarani?Hii incident in tofauti na wizi wa gari. Hii ni uzembe kabisa. Mwizi akiiba gari kisha akapata nayo ajali, bima wanalipa, ila sio hii ya kumuachia garo dogo wa car wash.
Alichofanya huyo dogo si kaiba gari? Si tunauhakika gani kwamba hakuwa anaenda kulikata screpa?
Labda mseme gari likiibiwa na mwizi asiye na leseni basi bima hailipi, kwahiyo tuwe tunabandika matangazo kwenye gari yanayosema, “Kama huna leseni, usiibe gari hili”, ili wezi wasio na leseni wakiona waache kuiba, thats how ridiculous this is!