Muongozo wa Startimes televisions | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muongozo wa Startimes televisions

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by GAMBLER, Mar 13, 2011.

 1. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wadau
  natumia startimes tv ya flat, sasa kwa upande wa kulia juu, kwa siku hizi kunajitokeza
  kisanduku cha barua ambacho kuna ujumbe nimetumiwa natakiwa kuusoma, nimejaribu kukifungua kutumia remote nimeshindwa, naomba muongozo wa
  namna ya kuweza kukifungua kisanduku
   
 2. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 581
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Bonyeza kwenye remote yako sehemu ilo andikwa Email, then bofya hyo msg then unaisoma. Watakuwa wanakujulisha muda wako wa air time umekaribia kuisha.
   
Loading...