Muongozo: Mapokezi ya Lissu

Muongozo: Mapokezi ya Lissu

Mungu alimponya na risasi zenu ili aje kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania hapo October 2020
Malipo ni hapa hapa duniani, hayo aliyoyapitia Lissu ni hayo malipo yanayosemwa! Ninyi kwani anayelipwa mnamjua? Lissu kalipwa!
 
Hii Tabia ya kuwasemea watanzania ikome!
Hii Tabia ya kuwahusisha watanzania na Mambo ya kihuni na muhuni wenu mkome!
Lisu ni na Nani nchi hii?

Lisu alikuwa mbunge wa singida mashariki na ni makamu m/kiti wa chadema Taifa
 
Amani iwe nanyi wadau wote!

Najua Tanzania tuko na msiba mzito wa mzee wetu Benjamin William Mkapa na pia siku ya Jumatatu tutakuwa na tukio kubwa na la kipekee la kumpokea shujaa yetu, mtu wetu na nuru iliyoletwa kwetu na Mungu. Si mwingine bali ni Tundu Antipas Lissu.

Hivyo basi katika siku Hii ni mapendekezo yangu kuwa watu wengi tujitokeze kwa wingi kumpokea huyu shujaa wetu pale uwanja wa ndege kuanzia Majira ya asubuhi kwa ajili ya kumpokea.

Pia kutokana na siku hii kuwa pia na huu msiba mzito napendekeza watanzania wote siku hiyo tuvae nguo nyeupe na nyeusi kwa sababu kuu mbili.

Nguo nyeupe zitaashiria alama ya Nuru kutokana na kuja kwa Tundu Lissu anayewakilisha Nuru kwa watanzania.

Nguo nyeusi zitaashiria kuomboleza kwetu kutokana na Kifo cha mzee wetu Benjamin William Mkapa.

Kama watanzania tukifanya hivi tutakuwa tumeheshimu msiba wa mzee wetu na mapokezi makubwa ya Nuru iliyotumwa kwetu na Mungu Tundu Antipas Lissu.

Tumpokee wa wingi shujaa wetu Tundu antipas Lissu huku tukimuomboleza mzee wetu Mkapa.

Maandamano ya kumpokea Lissu yatakuwa ya amani na hakutakuwa na fujo yeyote.

No Hate No Fear
Inawezekana wajuba Wamemuondoa Ben ili kuhamisha attention ya Lisu kwa wabongo ?
 
Tuko pamoja mkuu.... Ila nadhani huu msiba umetengenezwa na ccm ili kuvuruga mapokezi muhimu sana ya mh Tundu LISSU......

Ccm chama na serikali yake ya kishetani hawashindwi
Wajuba sio watu wazuri
 
Hana uwezo wa kushinda.
Arudi kwenye ubunge.
Wakati upinzani ukiangahaika na tume HURU mahakamani.
Uko sahihi kabisa , sasa hapo tatizo ni Lisu kukosa uwezo au ni kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi? Kama umesema ashiriki baada ya hiyo miaka mitano, je hiyo tume huru itakuwepo?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hana uwezo wa kushinda.
Arudi kwenye ubunge.
Wakati upinzani ukiangahaika na tume HURU mahakamani.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Kwahiyo timu zisizoweza kuchukua ubingwa wa Tanzania zijitoe zikacheze daraja la pili ziiachie simba na yanga? Hivi unajua faida za kugombea urais, unajua hata usiposhinda uchaguzi, wingi wa kura za urais unachangia kupata wingi wa viti maalum vya ubunge? Unajua chochote kuhusu hili, au unaleta siasa mfu hapa jukwaani?
 
Amani iwe nanyi wadau wote!

Najua Tanzania tuko na msiba mzito wa mzee wetu Benjamin William Mkapa na pia siku ya Jumatatu tutakuwa na tukio kubwa na la kipekee la kumpokea shujaa yetu, mtu wetu na nuru iliyoletwa kwetu na Mungu. Si mwingine bali ni Tundu Antipas Lissu.

Hivyo basi katika siku Hii ni mapendekezo yangu kuwa watu wengi tujitokeze kwa wingi kumpokea huyu shujaa wetu pale uwanja wa ndege kuanzia Majira ya asubuhi kwa ajili ya kumpokea.

Pia kutokana na siku hii kuwa pia na huu msiba mzito napendekeza watanzania wote siku hiyo tuvae nguo nyeupe na nyeusi kwa sababu kuu mbili.

Nguo nyeupe zitaashiria alama ya Nuru kutokana na kuja kwa Tundu Lissu anayewakilisha Nuru kwa watanzania.

Nguo nyeusi zitaashiria kuomboleza kwetu kutokana na Kifo cha mzee wetu Benjamin William Mkapa.

Kama watanzania tukifanya hivi tutakuwa tumeheshimu msiba wa mzee wetu na mapokezi makubwa ya Nuru iliyotumwa kwetu na Mungu Tundu Antipas Lissu.

Tumpokee wa wingi shujaa wetu Tundu antipas Lissu huku tukimuomboleza mzee wetu Mkapa.

Maandamano ya kumpokea Lissu yatakuwa ya amani na hakutakuwa na fujo yeyote.

No Hate No Fear
Kwani Jumatatu siyo siku ya kazi?
 
Hii Tabia ya kuwasemea watanzania ikome!
Hii Tabia ya kuwahusisha watanzania na Mambo ya kihuni na muhuni wenu mkome!
Lisu ni na Nani nchi hii?
Wee sio mtanzania kwnn unapinga asitusemee ?? Weee nani nchi hii
 
Kampokeeni ila wajumbe huko kamatini wamechinja kama kawaida yao wajumbe.
 
Malipo ni hapa hapa duniani, hayo aliyoyapitia Lissu ni hayo malipo yanayosemwa! Ninyi kwani anayelipwa mnamjua? Lissu kalipwa!
Hakuna malipo hapo, ni agizo la kishetani kutoka kwa kiongozi wa juu wa nchi alipoamuru Tundu Lissu achapwe risasi mchana kweupe tena kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA. Mungu fundi, atalipwa tu kwa huo UHALIFU wake.
 
Back
Top Bottom