Muongozo: Mapokezi ya Lissu

Muongozo: Mapokezi ya Lissu

Tuko pamoja mkuu.... Ila nadhani huu msiba umetengenezwa na ccm ili kuvuruga mapokezi muhimu sana ya mh Tundu LISSU......

Ccm chama na serikali yake ya kishetani hawashindwi
Haha ha haaaa... Duh
Jf is Never boring
 
Kwa taarifa yake tu, maandalizi ya mapokezi ya shujaa wetu yamepamba moto. Lumumba wajiandae tu, wasiompenda ndo huyo anakuja
yaani nyie mnajisumbua na ulimbukeni wenu hivi huyo tobo lissu kama mnampenda imekuwaje tena nyalandu kaongoza kwenye kura za mwanzoni ndani ya chama au hata hamjui? nyie mnacheza na mbowe hamumjui vizuri ulizeni kina ben saa kumi wako wapi kazi ya mbowe si ya kitoto
 
Akikosa urais ATAFANYA kazi gani?
Kwahiyo timu zisizoweza kuchukua ubingwa wa Tanzania zijitoe zikacheze daraja la pili ziiachie simba na yanga? Hivi unajua faida za kugombea urais, unajua hata usiposhinda uchaguzi, wingi wa kura za urais unachangia kupata wingi wa viti maalum vya ubunge? Unajua chochote kuhusu hili, au unaleta siasa mfu hapa jukwaani?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Muda wowote kuanzia leo Lazaro Mambosasa atatoa statement ya kupiga marufuku maandamano na mikusanyiko Dar kwa sababu ya ugeni ambao jiji linao kutokana na msiba.

Hizo T shirts zenu zinageuka night dress.
 
Ugeni gani unalo jiji???? Kwa taarifa yako nchi karibu zote duniani hakuna ndege inayoingia wala kutoka. Sasa huo ugeni ni upi uzuie mapokezi ya Lissu!!!

Lolote mnalofanya dhidi ya Lissu kumbukeni ndo mnazidi kumuongezea umaarufu na kufanya watu wampende zaidi. Hamjajifunza tu baada ya kumpiga risasi Dodoma???
 
Tuko pamoja mkuu.... Ila nadhani huu msiba umetengenezwa na ccm ili kuvuruga mapokezi muhimu sana ya mh Tundu LISSU......

Ccm chama na serikali yake ya kishetani hawashindwi
Inamaana huyu mzee hajafa! Na kama amekufa itakuwa CORONA alitoka nayo kwenye mkutano wa CCM Dodoma. Na wengine watafuata kutoka kundi lile.
 
Akikosa urais ATAFANYA kazi gani?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Ni mwanasheria by professional, tena sio mwanasheria tu, bali ni mwanasheria nguli. Hajawahi kuwa rais, je alikuwa anaishi vipi? Kumbuka kabla ya kuwa mbunge pia, alikuwa na kazi yake ya uwakili, na alikuwa anaishi vizuri tu. Usimlilie Lisu maana yeye kashajijengea jina, pigania vijana waliomaliza shule huku hawana ajira.
 
Akirudi kwenye sheria.
Siasa ndo ASAHAU.

Back
Top Bottom