Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 6,121
- 6,062
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
👊 ✌️✌️✌️💥
Risasi 16 mwilini wasenge wakashindwa kumuua....Madaktari wake wanasema Lissu anaweza kuwa mwanadamu wa kwanza kwa records za ulimwenguni kuongezewa damu 3/4 ya damu yake..Haya ni maajabu ya dunia.Niko Ruvuma ila jumapili naingia Dar kwa ajili ya kumpokea Tundu Lissu hapo Dar es Salaam
Na bado yuko fit mentally tena pengine zaidi ya awali.....Risasi 16 mwilini wasenge wakashindwa kumuua....wanasema Lissu anaweza kuwa mwanadamu wa kwanza kwa records kuongezewa damu 3/4. Haya ni maajabu ya dunia.
Walitaka kumuua laana zitakuwa zimeanza kuwaandamana...wengine tayari wameanza kupata roho za kukataliwa!! Na bado!!
Mimi nipo tayari kwa lolote lakini tu nimpokea shujaa wangu!!
Mkuu tanzania yetu sote hakuna haja ya kuwa na hasira vyama tu haviwezi kutuondelea utuUSIMUHUSISHE MUNGU NA UHUNI WENU NA HUYO TUNDU LISU WENU MNAMCHOSHA SASA HUYO ANA NURU GANI BEBERU MKUBWA HUYO
Mie ninaamini Mungu kafanya ile miujiza ili tu huyu mtu aje kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Risasi 16 mwilini wasenge wakashindwa kumuua....Madaktari wake wanasema Lissu anaweza kuwa mwanadamu wa kwanza kwa records za ulimwenguni kuongezewa damu 3/4 ya damu yake..Haya ni maajabu ya dunia.
Waliotaka kumuua laana zitakuwa zimeanza kuwaandamana...wengine tayari wameanza kupata roho za kukataliwa!! Na bado!!
Mimi nipo tayari kwa mazoezi na lolote lile kama itatoka... lakini tu nimpokea shujaa wangu!!
Upotoshaji wa LumumbaNshapigwa 3 na sijawai kuomba mchango
Hiki kichwa Kiache. Kikiwa Bungeni nakumbuka hadi Makinda alikuwa anaomba poo. Magu ndo akakishindwa kabisa akaamua ku pyu pyuNa bado yuko fit mentally tena pengine zaidi ya awali.....
Mungu hadhihakiwi maana huyu ndo mzalendo wa kweli wa taifa..... Wkt maccm yakiwa mawakala ya mabeberu kwa kuwapa raslimari za nchi kwa kura za ndiooo yy alisimama kupinga mikataba mingi ya hovyo na kusaidia watz wanyonge kisheria wasio na uwezo....
Hakika yy alikua km ndo Mwanaaheria mkuu wa serikali maana nakumbuka hata chenge alikua anamuuliza LISSU kuhusu mambo mbalimbali ya sheria
Waaambie hawa vilazaMkuu tanzania yetu sote hakuna haja ya kuwa na hasira vyama tu haviwezi kutuondelea utu
namanisha ;
maghufuli ni waketu
lissu ni wakwetu
hashim rungwe ni wa kwetu
zitto ni wakwetu
seif ni wa kwetu
mbowe ni wa kwetu
mbatia ni wa kwetu
nyarndu ni wakwetu
mackonda ni wakwetu
hata wewe ni wakwetu
tuache chuki mkuu zisizo na maana hakuna mwenye hati milki na nchi hii yoyote watanzania watakae mkubali kwamba anatosha sawa tu
No hate No fear . Lissu all the way to Ikulu😅
👊 ✌✌✌💥
Akikupa jibu nijulishe 😀Kuna chuo cha urais mpaka useme hajamaliza course? Magufuli alijiandaa lini kuwa rais, na alikuwa chuo gani?
Mungu Fundi, Mkapa sasa akakutane na wapemba aliodhulumu haki zao za kuishi huko.Na bado yuko fit mentally tena pengine zaidi ya awali.....
Mungu hadhihakiwi maana huyu ndo mzalendo wa kweli wa taifa..... Wkt maccm yakiwa mawakala ya mabeberu kwa kuwapa raslimari za nchi kwa kura za ndiooo yy alisimama kupinga mikataba mingi ya hovyo na kusaidia watz wanyonge kisheria wasio na uwezo....
Hakika yy alikua km ndo Mwanaaheria mkuu wa serikali maana nakumbuka hata chenge alikua anamuuliza LISSU kuhusu mambo mbalimbali ya sheria
Hajasema "mungu", amesema "Mungu".Usimuhusishe mungu na vitu vya kijinga popoyo wewe
Kuna chuo cha urais mpaka useme hajamaliza course? Magufuli alijiandaa lini kuwa rais, na alikuwa chuo gani?
Sina tatizo na mengine yote ndani ya mada yako isipokuwa hiyo mistari miwili tu basi.Nguo nyeupe zitaashiria alama ya Nuru kutokana na kuja kwa Tundu Lissu anayewakilisha Nuru kwa watanzania.
Nguo nyeusi zitaashiria kuomboleza kwetu kutokana na Kifo cha mzee wetu Benjamin William Mkapa.
Nguo nyeusi ni alama ya giza au majonzi. Hiyo jumatatu tutakapovaa nguo nyeusi hii itakuwa ni Alama kuwa hatujadharau msiba wa mzee huyu.Sina tatizo na mengine yote ndani ya mada yako isipokuwa hiyo mistari miwili tu basi.
Natumaini na wewe (ngozi yako) ni nyeusi!
Najua makundi haya tumezoeleshwa tu, lakini ni kuzoea kwa ujinga.
Jibu lake ni kuwa Tume Huru haiombwi Bali inalazimishwa kuwa huru na nguvu ya umma. Malawi hawakuwa na Tume huru ila nguvu ya umma iliifanya tume yao kubadirika na kuwa huru.Uko sahihi kabisa , sasa hapo tatizo ni Lisu kukosa uwezo au ni kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi? Kama umesema ashiriki baada ya hiyo miaka mitano, je hiyo tume huru itakuwepo?