Muongo Vs. Mengi. Kimenuka !

Muongo Vs. Mengi. Kimenuka !

Meningitis is defined as an inflammation of the meninges (protective membrane covering the brain and the spinal cord).
The most common symptoms of meningitis are headache and neck stiffness associated with fever, confusion or altered consciousness, vomiting, and an inability to tolerate light or loud noises.
Basing on your ID name, you're pretty right with your comment!!!

My comments are always inflammatory!
They may stretch your body to assume opisthotonus posture!
 
Mimi mengimhuwa hata simfikiri mzee mchafu kama nini kazi yake kuoa watoto wadogo tu.

mkuu hapa usilete private issue hapa tunazungumzia mustakabali wa nchi yetu.....acha upumbavu
 
Wazalendo hela yenu ya kuonga ni fupi alafu mnataka ipitie CRDB, jamaa wa kigeni hela ya kuonga ni ndefu na inapitia Uswisi
 
wewe bwana chesco endelea kufanya biashara ya maparachichi lakini kamwe usijidai una uwezo wa uwekezaji...labda baadae sana tena sio kwenye field ya mafuta.

Ujinga kama huu ndio utafanya wanao wabebeshwe sembe tuu, unadhani pesa inatoka mfukoni tuu kila siku, huamini kuwa vijana wa leo wanauwezo coz umezoea kuomba 10% kwa wazungu wewe mtumwa tuu wa wazungu hopeless kabisah..... kwanza uko wapi Naomba nije nifanye utalii hai kwa mtumwa wa karne mpya ya dot com.
 
Mengi hana hela ya kuwekeza zaidi ya udalali alete wazungu na yeye apate cha juu....watz hawana uzoefu, ujuzi wala rasilimali za kuwekeza kwenye natural gas sasa mlitaka Muhongo aseme uongo mfurahi au?...hatutaki jwatu wachache kama hawa akina Mengi waje wanufaike na rasilimali za taifa zima kwa kupewa vitalu halafu wenyewe waviuze kwa wawekezaji waweke pesa mfukoni...

sasa mkuu solution ni nn ????? Tuwape wawekezaji wageni baadaye tuanze kulalamika wanatunyonya solution hpa ni ubia tu mbona saudi uae venezuela wameweza mi naamin wazalendo wakiwezehwa wanaweza
 
Wasomi ni kati ya magroup ya kijamii ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa so useless or dormant in Tanzania katika political process, socioeconomic reforms and other human rights and development issues.

Yaani ccm wamefanikiwa kuwafunga wasomi midomo kabisa; vyuo vikuu wanafunzi hakuna lolote la maana wanalozungumzia, waadhiri ndo kabisa wanasubiria huruma za wanasiasa na baadhi ya vilaza wa wizarani japo wapewe vyeo.

Nina uhakika hata CDM wakichukua uongozi wa hii nchi, wew will still have an extra miles to go in order to realize our dreams (economic and technological advancements).

This country just sucks!!!!!!
 
sasa mkuu solution ni nn ????? Tuwape wawekezaji wageni baadaye tuanze kulalamika wanatunyonya solution hpa ni ubia tu mbona saudi uae venezuela wameweza mi naamin wazalendo wakiwezehwa wanaweza

ubia mzuri..lakini mimi nashauri serikali iwe na 50% share kwani ubia wa private sector bado ni watu wachache....saudi wana state corporation inaitwa Aramco na venezuela wana PDVSA hizi ni moja ya 10 kubwa duniani interms of global market share. Russia wana GAZPROM. nafikiri hizi kampuni mpya ziko willing zaidi kushare na kudevelop local expertise na capacity kuliko wanyoinyaji wa kimagharibi
 
Wasomi ni kati ya magroup ya kijamii ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa so useless or dormant in Tanzania katika political process, socioeconomic reforms and other human rights and development issues.

Yaani ccm wamefanikiwa kuwafunga wasomi midomo kabisa; vyuo vikuu wanafunzi hakuna lolote la maana wanalozungumzia, waadhiri ndo kabisa wanasubiria huruma za wanasiasa na baadhi ya vilaza wa wizarani japo wapewe vyeo.

Nina uhakika hata CDM wakichukua uongozi wa hii nchi, wew will still have an extra miles to go in order to realize our dreams (economic and technological advancements).

This country just sucks!!!!!!

very objective... ...kuna watu wanaota CDM ikishika nchi Tz itakua middle income country bila kuangalia kwamba maendeleo ni watu na jamii nzima na tamaduni yake na siyo siasa na wanasiasa na vyama vyao..taswira nzima na dira ya hivi vyama na hulka za viongozi wake inalengana na jamii husika....watz wengi ni kama wanasiasa,viongozi na wasomi wao myopic little people.......
 
Tatizo watanzania wanaotaka kumilikishwa vitalu uwezo wao ni mdogo na hata utaalam wa hiyo gesi hawana.nia yao kubwa ni udalali tu,akipewa naye amwite mchina avute chake then akae pembeni!
 
sio profesa tu ndo tatizo hapo .. huyo mengi pia anataka jiongeza.. mrngi kule handeni ameshanyanyasa watu sana na mashamba yao akijidai mmbabe anaingia na kufanya kazi zake kwenye mashamba ya watu bila ridhaa zao.. sasa na yeye tumuonaje kwa hilo... watu wanasema kama ni haki basi ianze na wewe.. na sio kuilaumu kuwa hawawajali wawekezaji wa tanzania .. hapo mengi anataka tu awe part of the deal na yeyey apige hela hana lolote huyo.. kama anataka haki sawa basi aanze na yeye kuwasaidia watanzania wenzake na sio kuwavamia kwenye mashamba yao kibabe na kufanya kazi zake huku akijua kabisa amevuja sheria ya madini namba 95.
 
kweli kusoma siyo kuelimika. yani huyu jamaa sijui anaitwa muongo anaprove kabisa hiyo theory yani ana mambo ya kipuuzi kuliko hata hao wapuuzi wenyewe. sijui kwa nn anadharau hvo yani jamaa pumbafu sana badala ya kuwaza namna ya kuwawezesha watanzania washiriki kwenye sector ya gesi lenyewe linaona raha kuwa watanzania ni maskini yani ukisikia machawi ya maendeleo ndiyo haya yani majitu kama haya ni yakuchoma moto.

yani jk sijui madudu kama haya anayatoa wapi. anawaacha watu kama kina mwanri kuwa manaibu halafu jinga kama hili analipa full minister yani aibu sana yani linanikera hadi natamani hata nilione nilitukane yani.
 
kama hakuiomba kwa nini hakuikataa? Muhongo aache unafiki na uongo!
Watanzania tujifunze! Ma-professor ni ma-academician na siyo wanasiasa. Mtu anaweza kuwa prof na kuwa layman kwenye politics! Hii tabia ya wasomi kutumiwa kusiasa ipunguzwe. Wasomi ni part ya utendaji wa serikali akishindwa kuisaidia nchi katika nafasi yake ya u-professor usitegemee ataweza akipewa nafasi nyingine. The guy is so arrogant mpaka anatia hasira! Na hii arrogance inatokana na yy kutokuiomba nafasi hiyo so hajali uwakilishi wa commoners zaidi ya yule alimzawadia hiyo nafasi.
 
Uchumi wa nchi unamilikiwa na wageni.Ni mgeni yupi anaweza kukuletea maendeleo? Kwa nini tusifanye jitihada za makusudi kuwawezesha wazawa? hawa maprofesa waangalie hizo nchi walikosoma kama uchumi umegenishwa kiasi hiki cha Tanzani.
Inawezekana anachosema Muongo ndio anachosema mkuu wa nchi pia,tunajuaje? Kabla hajaingia madarakani mkuu sidhani kama alikuwa na mawazo haya.
 
ni maneno ya kuudhi sana. nadhani kakosa busara katika kulisemea hili..
ila yana ukweli ndani yake na ukweli wenyewe uko dhahiri.
hawa akina mengi ni wajanjawajanja tuu ambao wanataka wapewe vitalu kwa upendeleo wa UZAWA, wapunguziwe kodi na kusamehewa baadhi ya kodi ilihali hawana mitai ya kutosha kuwekeza katika sekta husika.
mwishowe watagawa vitalu vyao kwa wageni na wageni watafanya uchimbaji(kwa majina ya akina R.MENGI) bila kulipa kodi.
tusikurupuke bali tutafakari
 
Huyu profesa vipi? Nadhani siyo busara mtu mzima kuwa mwongo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Kuna waziri kwenye hii "serikali" ya m.k.w.e.r.e ambae ni mkweli? Wote ni WAONGO akiwemo kiranja wao!
 
Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.

I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.

MUHONGO NI TYPE YA MA PROFESA WALIOPO CCM, ni kibaraka wa wachina, MENGI SIKU ZOTE YUPO TUTETEA WANYONGE JAPO NAYE NI CCM, muhongo anajua wabongo wabishi hawawezi kutoa 10% kama wachina na foreigner investors wengine,,,,,,,
 
Back
Top Bottom