Muongo Vs. Mengi. Kimenuka !

Muongo Vs. Mengi. Kimenuka !

Tatizo watanzania wanaotaka kumilikishwa vitalu uwezo wao ni mdogo na hata utaalam wa hiyo gesi hawana.nia yao kubwa ni udalali tu,akipewa naye amwite mchina avute chake then akae pembeni!

Utalaamu wataupata hukohuko, kwani unashukaga kutoka mbinguni? Achamasihala wewe!! Nyie ndo wale mnaosomea tumbo, mtu yuko educated but your way of thinking has no difference na mwendesha mkokoteni.
 
Mzee Mengi, ni mnafiki saana na anafaa kuogopwa kuliko UKIMWI au UKOMA, yaani anataka kutumia kelele za walala hoi apewe kitalu kesho akakiuze kwa makampuni ya nje.

Hana uwezo wa kuchimba wa kutafuta mafuta, ameshindwa nini kuwekeza kwenye matunda?
 
yaani kama hatuwezi kuchimba ndio tuwaachie kila kitu wafanye wao.sina shaka kuna mataahira humu.kuna njia nyingi za kuwashirikusha watanzania sio lazima awe mengi lakini lazima washirikishwe kihisa, kimitaji na vinginevyo kuna watu wataja olewa na wazungu humu, kwa jinsi wanavyowachukulia hao zeru zeru.
 
Hoja za wengi humu ina akisi upeo na ufahamu wa watanzania wengi ulivyo duni،uwekezaji hata ungekua unahitaji utaalamu na mtaji mkubwa kiasi gani ni muhimu wazawa washiriki,huo ndiyo mwanzo mzuri wa kujenga uwezo na uelewa wa uwekezaji mkubwa,zipo nchi zimejaribu na zimweza,kwanini sisi watanzania tunapenda kujivika unyonge siku zote? Majibu ya Prof.Muhongo ni hovyo kupita maeleza hata kama yana ukweli kiasi fulani lakini hakupaswa kuyatoa kwa mtindo wa kejeli kiasi hicho,lakini pia cha kushangaza kwa waziri Muhongo ni tabia yake ya kuina wote wamechelewa yeye tu ndiye kawahi.
 
mimi sijawahi kuona nchi yenye viongozi wabovu kama hii tanzania yetu,sijuwi nani anawaongopea hawa viongozi hii nchi itajengwa na wageni,hivi jamani hii tanzania yetu akitokea mtu kama savimbi kuna mtanzania kweli anaweza kumpiga zaidi ya hao viongozi,jk kaa ukijuwa hamna mtanzania yoyote anaopenda hii serikali yako kwa sasa watu wamechoka imefikia mpaka ardhi ya watu masikini mnachukuwa kwa nguvu mnawapa rafiki zenu kutoka nje leo hii watanzania hata vipande vya kulima hawana kisa na sababu uwekezaji wakishenzi kabisa ambao huwezi kuupata sehemu yoyote duniani,siku zenu ziko njiani zinakuja bora huyo mobutu alizikwa na watu 10 nyie hamtapata hata wa kuwazika.
 
Dr mengi na prof muongo/muhongo wote ni wana ccm inavyoonekana kwa njia hiyo yao siyo rat-race,ni scramble!pia uprofesa hapa bongo uko mno kwenye makaratasi ambayo hayajaweza kutusaidia sana kubadilika kiuhakika.marx aliandika kuwa😛hilosophers have interpreted the world in various ways:the point however,is to change it.ni ma profesa wachache wameweza kubadili hali hata za familia achilia mbali wizara,idara,mikoa ama taifa!
 
Suala hili kina mengi na wengine wanalichukulia kibinafsi zaidi .wameweka maslahi yao binafsi na sio njia sahihi ya wananchi kunufaika ila watu wachache
Mfano wametoa wa nigeria ! Nchi ilio fail kabisa kutumia rasilimali hii kwwa manifaa ya nchi
Sera ya kubinafsisha ndio imezaw boko haram na makundi ya kivita jimbo la delta
Mara nyingi vitalu wamechukua viongozi na familia zao
Mimi wazo langu ni kwa serikali kiingia moja kwa moja kama mbia na muwekezaji
Wawekeze katika sekta hii
Mfano mzuri wa nchi za kutembelea no Oman ambao shirika la serikali ndio lenye mamlaka na hisa kubwa katika utafutaji.uchimbaji ba uuzaji na ukienda pale Oman petrleum dev. Company yao wana museum ya historiaa yote ya mafuta mpaka copy ya cheque ya kwanza serikali iliyopokea
Pia wameweka meli ya kwanza kupakia mzigo,invoice na bill of lading
Oman imepiga hatua kubwa kimaendeleo na wao sio wazalishaji wakubwa hata Opec hawamo
Nchi nyengine za kwenda kujifunza ni UAE Qatar Saudi. Pia kufahamu ubaya wa watu binafsi kumuliki mafuta twendeni Russia huko utaona namna gani warusi wengi wakiwa maskini na Abrahmovic wa Chelsea wakitajirika na kufuja fedha za mafuta kwa mpira na kwa timu ambazo si za urusi
Hivo serikali inatakiwa iwe m'bia wa sekta hii muhimi ili walinde utajiri huu kwa niaba ya watanzania
Ubinafsishaji kwa wazawa sio suluhisho na italeta machafuko
Kuwapa wageni kwangu ni sawa na UHAINI
 
Mzee Mengi, ni mnafiki saana na anafaa kuogopwa kuliko UKIMWI au UKOMA, yaani anataka kutumia kelele za walala hoi apewe kitalu kesho akakiuze kwa makampuni ya nje.

Hana uwezo wa kuchimba wa kutafuta mafuta, ameshindwa nini kuwekeza kwenye matunda?

Km hata mengi anayechimba Tanzanite kwa wingi sana hawezi basi ni wazi nchi bado haikuwa tayari km nyerere alivyofikiiri.

Mengi kampa kauli nzito sana huyu mwehu ambaye hajajua....na wala hajui...Dr.Mengi kamuuliza huyu mwehu ambaye hela ya rushwa ndio inampa kiburi kuwa karidhika kabisa watanzania wabaki ktk kusindika matunda...muongo hajajua kwa vile uboongo wake mdogo sana..Haya ndio makabila yasiyostaarabika.Sasa anawafanyia watanzania hivi , sijui kashawamaliza watu wake kiasi gani , mwisho wa siku akifulia nakwenda wadanganya watu wake kuwa makabila mengine yaliwapendelea watu wao.
 
Hata nchi zilizoendelea wamewekeza wenyewe kwenye Oil and Gas...Netherlands na Norway ni moja ya nchi hizo; not to say BP...na mimi naunga mkono serikali kuwekeza...

Suala hili kina mengi na wengine wanalichukulia kibinafsi zaidi .wameweka maslahi yao binafsi na sio njia sahihi ya wananchi kunufaika ila watu wachache
Mfano wametoa wa nigeria ! Nchi ilio fail kabisa kutumia rasilimali hii kwwa manifaa ya nchi
Sera ya kubinafsisha ndio imezaw boko haram na makundi ya kivita jimbo la delta
Mara nyingi vitalu wamechukua viongozi na familia zao
Mimi wazo langu ni kwa serikali kiingia moja kwa moja kama mbia na muwekezaji
Wawekeze katika sekta hii
Mfano mzuri wa nchi za kutembelea no Oman ambao shirika la serikali ndio lenye mamlaka na hisa kubwa katika utafutaji.uchimbaji ba uuzaji na ukienda pale Oman petrleum dev. Company yao wana museum ya historiaa yote ya mafuta mpaka copy ya cheque ya kwanza serikali iliyopokea
Pia wameweka meli ya kwanza kupakia mzigo,invoice na bill of lading
Oman imepiga hatua kubwa kimaendeleo na wao sio wazalishaji wakubwa hata Opec hawamo
Nchi nyengine za kwenda kujifunza ni UAE Qatar Saudi. Pia kufahamu ubaya wa watu binafsi kumuliki mafuta twendeni Russia huko utaona namna gani warusi wengi wakiwa maskini na Abrahmovic wa Chelsea wakitajirika na kufuja fedha za mafuta kwa mpira na kwa timu ambazo si za urusi
Hivo serikali inatakiwa iwe m'bia wa sekta hii muhimi ili walinde utajiri huu kwa niaba ya watanzania
Ubinafsishaji kwa wazawa sio suluhisho na italeta machafuko
Kuwapa wageni kwangu ni sawa na UHAINI
 
yaani kama hatuwezi kuchimba ndio tuwaachie kila kitu wafanye wao.sina shaka kuna mataahira humu.kuna njia nyingi za kuwashirikusha watanzania sio lazima awe mengi lakini lazima washirikishwe kihisa, kimitaji na vinginevyo kuna watu wataja olewa na wazungu humu, kwa jinsi wanavyowachukulia hao zeru zeru.

Tujadili hoja hakuna haja ya kutukana kuwa watu wataolewa, ni tusi kubwa kwa mila za watu wa bara, kwa wenzetu wa Pwani hamna shida kwa lugha hizo. Mimi nakuomba unitajie kwa mifano hai, kwa nchi, na project zote, na kwa kinagaubaga, ni wapi ni vipi wanachi wametafuta na kuchimba mafuta wao wenyewe.
 
mimi sijawahi kuona nchi yenye viongozi wabovu kama hii tanzania yetu,sijuwi nani anawaongopea hawa viongozi hii nchi itajengwa na wageni,hivi jamani hii tanzania yetu akitokea mtu kama savimbi kuna mtanzania kweli anaweza kumpiga zaidi ya hao viongozi,jk kaa ukijuwa hamna mtanzania yoyote anaopenda hii serikali yako kwa sasa watu wamechoka imefikia mpaka ardhi ya watu masikini mnachukuwa kwa nguvu mnawapa rafiki zenu kutoka nje leo hii watanzania hata vipande vya kulima hawana kisa na sababu uwekezaji wakishenzi kabisa ambao huwezi kuupata sehemu yoyote duniani,siku zenu ziko njiani zinakuja bora huyo mobutu alizikwa na watu 10 nyie hamtapata hata wa kuwazika.

Ni wapi watanzania wamekosa ardhi ya kulima? au unaongelea Unguja?
 
Utalaamu wataupata hukohuko, kwani unashukaga kutoka mbinguni? Achamasihala wewe!! Nyie ndo wale mnaosomea tumbo, mtu yuko educated but your way of thinking has no difference na mwendesha mkokoteni.

Tatizo lako unafikiria ajira tu,elimu yako ikufungue uone zaidi ya Distinction na honors!Kwa sababu chama chenu pendwa kimewalemaza hivyo Jitambue.!!
 
Suala hili kina mengi na wengine wanalichukulia kibinafsi zaidi .wameweka maslahi yao binafsi na sio njia sahihi ya wananchi kunufaika ila watu wachache
Mfano wametoa wa nigeria ! Nchi ilio fail kabisa kutumia rasilimali hii kwwa manifaa ya nchi
Sera ya kubinafsisha ndio imezaw boko haram na makundi ya kivita jimbo la delta
Mara nyingi vitalu wamechukua viongozi na familia zao
Mimi wazo langu ni kwa serikali kiingia moja kwa moja kama mbia na muwekezaji
Wawekeze katika sekta hii
Mfano mzuri wa nchi za kutembelea no Oman ambao shirika la serikali ndio lenye mamlaka na hisa kubwa katika utafutaji.uchimbaji ba uuzaji na ukienda pale Oman petrleum dev. Company yao wana museum ya historiaa yote ya mafuta mpaka copy ya cheque ya kwanza serikali iliyopokea
Pia wameweka meli ya kwanza kupakia mzigo,invoice na bill of lading
Oman imepiga hatua kubwa kimaendeleo na wao sio wazalishaji wakubwa hata Opec hawamo
Nchi nyengine za kwenda kujifunza ni UAE Qatar Saudi. Pia kufahamu ubaya wa watu binafsi kumuliki mafuta twendeni Russia huko utaona namna gani warusi wengi wakiwa maskini na Abrahmovic wa Chelsea wakitajirika na kufuja fedha za mafuta kwa mpira na kwa timu ambazo si za urusi
Hivo serikali inatakiwa iwe m'bia wa sekta hii muhimi ili walinde utajiri huu kwa niaba ya watanzania
Ubinafsishaji kwa wazawa sio suluhisho na italeta machafuko
Kuwapa wageni kwangu ni sawa na UHAINI

Ulichokiandika hukijui, nenda kafanye utafiti zaidi, hakuna ukweli kabisa, kuna mengi yamefichika
 
Hata nchi zilizoendelea wamewekeza wenyewe kwenye Oil and Gas...Netherlands na Norway ni moja ya nchi hizo; not to say BP...na mimi naunga mkono serikali kuwekeza...

Pole Sana Serikali kuwekeza?hii ni sawa na kuku kala mayai yake yooote then anaomba aatamie mayai ya kuku mwenza! waaapi!!Mpaka serikali hii itakapokatwa mdomo wa kula(mayai yake)ndipo watanzania tutatoka hapa tulipo!Vinginevyo mpaka masihi atakaporudi Kwa lugha rahisiNchi imeuzwa.!!
 
Kwa kawaida Kasa wenye sumu hata uwachemshe vipi, makali ya sumu yako palepale. Muhongo ni kiongozi wa CCM.
 
Kauli ya waziri ni kauli ya serikali waziri Muhongo na serikali yako wametuchoka na hawana nia ya kutusaidia walalahoi.
 
Kumbe Tanzania tumejaa vitalu! Kuna vitalu vya viwanja (majengo), vitalu vya kuvuna wanyama hai au kuwapiga huku ukishangilia na sasa vitalu vya kuvuna gesi! Bado vitalu vya makaa ya mawe, vitalu vya urani, vitalu vya chuma, nk. na bado kuna vingine vinakuja. Kwa bahati mbaya vitalu vingi humilikishwa kwa wageni. Kwa mwendo huu wa vitalu na maliasili tuliyonayo muda si muda Tanzania yote itakuwa vitalu na hivyo itamilikishwa!
Vitalu vya mkaa wa mawe kule Ngaka (Mbinga) tayari wanavuna wa-Australia wakimtumia mbunge wa Mbinga Mashariki kama mbia, vitalu vya urani kule Namtumbo - Songea wanavuna wa-Amerika, vitalu vya chuma kulea mchuchuma sijajua nani anavuna.
 
Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!Mengi na kundi lake waache ulaghai.
Mkuu Meningitis nakuhunga mkono, binafsi namuona Mh.Muhongo ni mtu mkweli, muwazi na Wizara hii inaiweza sana - hasiwasikilize baadhi ya Watanzania ambao ni ma-opportunists wanao hibuka tu wakiona sekta fulani wanaweza kutumia ujaja kujinufahisha bila ya kuwa na utaalamu wala uwezo wa kufanikisha jambo lolote - basi tu, wanatumia mantra ya sijui ya UZAWA wakati kila mtu anjua wao kama wao uwezo kuwekeza kwenye major projects kama Gesi na Mafuta ghafi hawana! Bahati nzuri mifano hai tunayo ya kuonyesha track record zao za ajabu: mara ngapi Serikali yetu Tukufu iliwahi kuwapa kwa nia nzuri viwanja wajenge viwanda wenyewe wanavipiga bei, viwanda vingapi wana azisha kiujanja ujanja kesho yake havipo, taifa letu lingebweteka na kusikiliza malalamishi yao tuka-ignore Wachina wenye uwezo, saa hizi nchi nzima ingekuwa inaogelea kwenye stone age technology ya Analogue - mifano ya usanii ni mingi tu. Mkuu Mh.Muhongo we chapa kazi yako iliyo tukukuka na Mungu atakuongoza, sijui nyanja yako ya kitaaluma ni hipi lakini wewe ni binadamu mwenye analytical mind sharp kweli kweli hasa hasa katika maswala haya na nishati na madini na unajua Taifa letu linahitaji nini kwenda mbele kimaendeleo. Mkuu Meningitis ukisikiliza mambo mengine ya Watanzania wenzetu unabaki unashangaa sana - hivi Watanzania wano sema wana uwezo wa kuwekeza kwenye sekta ya gesi walikuwa wapi wakati gesi ya Songo Songo ilipokuwa inahungua takribani miaka zaidi ya kumi, kwa nini hawakujikakamua wakaizima na kuweka mitambo ya kuisafirisha kuja bara ili izalishe umeme, mbolea na vifaa vya plastic, cement na nyingine kuhuzwa nchi za nje - maneno tu! Wanashindwa nini kuiga mifano mizuri ya Mzee Bhakresa - Mzee huyu anafanya mambo yake kimya kimya kuanzia makampuni yake yenye mfano wa kuigwa mpaka anapo wasaidia Watanzaia wenzake wenye shida, uwezi kumsikia ana resort kwenye publicity stunt, au kumsikia mzee Bhakresa akilalamikia Serikali yetu tukufu kwamba haimpi kupa umbele.
 
Ujinga sio mpaka mtu asalimie kivuli chake.........hata kuwa na elimu bila kuitendea haki ni ujinga mkubwa tena uliokithiri. Nadhani huyu waziri tulipaswa had kumnyang'anya hati za uraia wa tanzania nae awe mhamiaji haramu tu kwa sababu hajui ni nini watanzania tunahitaji na hata hayupo ofisini kuwatumikia watanzania. Yote hayo anataka waje wazungu ili aongeze nafasi za wizi. I love my country but not its blind leaders.
 
Back
Top Bottom