Sishangai lions viongozi wa serikali iliyopo madarakani kulinda maslahi ya wageni na hasa weupe,nijuavyo mimi wanajua wazi wakiwapa wageni watapata ten percent.inashangaza eti waziri anasema ni aghali sana kuwekeza kwenye utafiti wa gas, kisima kimoja kinakaribia 100 billion,nani aliiyemwambia watanzania hawana hizo pesa kama ni swala la wataalam si wanaweza kuajiriwa tu,kwani shida iko wapi?nakumbuka wakati wa utawala wa mkapa bwana Mengi alinyimwa kuwekeza Kilimanjaro hoteli na akapewa mwarabu.Hii ndio Tanzania,viongozi vichaa