MTIMBICHI
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 946
- 214
ivi huyu mengi mbona anakimbelembele sana ana mabwana wanaomuagiza kuropoka
Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.
I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.