Muongo Vs. Mengi. Kimenuka !

Muongo Vs. Mengi. Kimenuka !

Ulichokiandika hukijui, nenda kafanye utafiti zaidi, hakuna ukweli kabisa, kuna mengi yamefichika

Mbona ameeleza sahihi, hakijui vipi? Labda wewe ndio hujui lakini huyu crabat yuko sahihi, tena sio Raslimali, hata kampuni kubwa za ujenzi UAE ina sehemu kubwa ya hisa za Serikali(yaani ni ya serikali kwa kifupi). Kampuni za kutoka nje lazima zishirikiane na kampuni ya Serikali ndipo ziwe na uwezo wa kushinda tenda na kujenga. Mna wataalamu wabovu na waroho wa kutafsiri makubaliano ya Kimataifa na hivyo mnajikuta kila kitu mnaenda chaka tu. Si jambo la ushabiki hili ndugu yangu, Africa haina cha kujivunia cha kuwaletea maendeleo zaidi ya rasilimali zao suala la kujenga uwezo kwa wananchi wa ndani lisipuuzwe hata kidogo wala siyo suala la vyama.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Ame
Mhe. Shimiwa Mengi anasema wawekezaji wa nje wanakuja kuwekeza kwenye vitalu vya kutafuta gesi asilia washikamanishwe na Wazawa. Wana JamiiForums mnasemaje?
 
Mengi kwa hili anakosea. Kwenye vitalu vya utafutaji mafuta na gesi Asilia Watanzania wote wanamilikishwa kupitia Shirika la Utafutaji Mafuta na Gesi Asilia Nchini (TPDC). TPDC hupata asilimia 20 bure kwa kila kitalu, na kupewa uhuru wa kununua hisa zaidi nyingine 20. Si vema kulazimisha ushiriki wa Watanzania binafsi kwa kutumia sheria. Milango ya sasa ni ushindani.
 
Wabadili tena sheria kama walimfanyia yule, na akawala chenga vile vile.

Only in Tanzania.

As long as Mengi anatimiza minimum requirement anastahili kupewa vitalu, period.
Tunahitaji sana local bourgeoisie....fedha zetu lazima zibaki hapa!wazawa wapewe kipaumbele...
 
Ulichokiandika hukijui, nenda kafanye utafiti zaidi, hakuna ukweli kabisa, kuna mengi yamefichika

Dah kweli ndio maana bongo tupo zero..yaani dah...basi tumekwisha ...wacha tu...kama pumba zenyewe ndio hizi......Muungu atusaidie
 
Mkuu usipende kuamini ngonjera za kina Mengi!
Niambie ni mtanzania au kampuni ya kitanzania gani aliyewekeza katika tafiti za rasilimali zetu hasa hayo mafuta na gesi?
Kina mengi wabakie kuuza soda na juisi tu,wasijidai na kujikweza kwa vitu wasivyoviweza.
Watanzania hatujawekeza katika utaalamu vya kutosha!tunatakiwa kufanya hivyo sasa...

Hapa ndipo wengi wanapokosea...kudhani kwamba ili uwe mwekezaji unahitaji kuwa na utaalam wa eneo husika. This is a complete misconception. Uwekezaji ni mtaji tu unahitajika. Machineries, Equipment etc vinauzwa, ni vya kununua tu. Wataalamu wanaajiriwa (na hapa haijalishi wanakotoka). Hivi ndivyo wawekezaji wanavyofanya...na zaidi ya hapo hata mitaji yao ni mikopo inayodhaminiwa na serikali zao.

Serikali ambacho ingefanya ni kuwapa wazalendo wenye mtaji vitalu na baadaye wafanye evaluation, siyo ku-generalize tu kwamba hatuwezi. Tuondoe siasa kwenye mambo mengine. Khah!!
 
Mch.Msigwa alishasema bungeni kuwa Profesa anasimama kuchangia huwezi kutofautisha na mtu wa darasa la pili.
Hawa academician wengi wako hivyo,siasa hawaziwezi.
Kiustaarabu namwomba Prof afute kauli kuwa hana mtu wa kupoteza kuongea na waTZ juu ya gesi, yeye atapita ila waTZ watakuwepo siku zote.
 
Back
Top Bottom