VITA VYA KAGERA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 430
- 141
Aiseee huyu profesa sijui ni wa wapi jamani? Yani hata kama sio mwana siasa kwakweli kauli kama hii si ya mtu aliye kwenda shule? Pengine hata wasio soma hawawezi kuwa na dharau namna hii?
Nakumbuka alisema huu uwaziri alibembelezwa, pengine ndio maana anasema anavyo jisikia na kuleta dharau kwa watanzania.
Mwanzo nilimuona mtu makini sana lakini tangia mwanzo wa sakata la gas niligindua hana busara na hajui kufikiri kwa kina utafikiri na uprofesa wake alipewa.
Kiongozi makini na mwenye utimamu wa akili lazima ajue kuchagua maneno ya kuongea.
Hizi dharau kwa watanzania sijui ametumwa na nani?
Muongo anachukulia kama watanzania hawana haki kabisa na gas na utafikiri ajui faida ya wazawa kumili vitalu hivyo.!INAWEZEKANA MUONGO UWAZIRI HUU AUTAKI KABISA NA HII NDIO NJIA YA KUUKATAA.
It irritates much.
Huyu jamaa ukimchunguza kwa undani hadi alipozaliwa lazima utakija na ripoti ya kuogofya.
Huyu bwana atakuwa anamaUgomvi kabambe ya kihistoria katika ukoo wake, yaliodumu miaka mingi bila ufumbuzi. Lazima kutakuwa na m23 ukooni.
Sasa anashindwa kutofautisha anapokuwa kwenye vikao vya migogoro ukooni mwake na anapowasiliana na watanzania kuhusu nchi yao na mali asili zake.