VITA VYA KAGERA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 430
- 141
Aiseee huyu profesa sijui ni wa wapi jamani? Yani hata kama sio mwana siasa kwakweli kauli kama hii si ya mtu aliye kwenda shule? Pengine hata wasio soma hawawezi kuwa na dharau namna hii?
Nakumbuka alisema huu uwaziri alibembelezwa, pengine ndio maana anasema anavyo jisikia na kuleta dharau kwa watanzania.
Mwanzo nilimuona mtu makini sana lakini tangia mwanzo wa sakata la gas niligindua hana busara na hajui kufikiri kwa kina utafikiri na uprofesa wake alipewa.
Kiongozi makini na mwenye utimamu wa akili lazima ajue kuchagua maneno ya kuongea.
Hizi dharau kwa watanzania sijui ametumwa na nani?
Muongo anachukulia kama watanzania hawana haki kabisa na gas na utafikiri ajui faida ya wazawa kumili vitalu hivyo.!INAWEZEKANA MUONGO UWAZIRI HUU AUTAKI KABISA NA HII NDIO NJIA YA KUUKATAA.
It irritates much.
Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.
I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.
wewe wa ajabu sana, yaani wageni wachukue rasilimali zetu kwakua "hatuwezi"?? kama wewe unaona hauwezi sio kila mtu hawezi unless wewe na mtu kama mengi muwe munaweza kuongea lugha moja nikimaanisha kiuwezo mnalingana..Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.
I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.
Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.
I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.
Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.
I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.
We have to respect our own investors.
Wamakonde tuliziona kasumba zake za matusi na dharau na kuzisema waz waz,
Mkatupuuza,sasa mmeona alivyopandwa na kiburi anawatukana Watanzania wote sasa.
Nadhan muda utaeleza kila kitu...
shame of you! aupo serious mkuu
wewe wacha ongea upuuzi hapa,
sasa ulitaka alalamikie wapi watu wamsikie, na sio kwamba ana own media tu la hasha, pia ni mwenyekiti wa tspf ndio maana imebidi aseme huo upuuzi baba ako muhongo alousema ili kila mtu asikie,
watu wengine bana, si mtumie vichwa kufikiri b4 posting.
Hebu nitajie hao watanzania wanaoweza!kama sio unaongelea maslahi ya Mengi na genge lake.Ebu elezea vizuri na ubongo wako usio jaa kisoda
Kivipi watanzania tunashindwa kama sio Muhongo keshavuta kwa BG na wengineo wapitishe bill ile kwetu.
Anacho sema Mengi ni sahihi zitungwe sheria Kabla na watanzania tunaweza.
Duniani kote, nchi zilizoendelea zimefikia hivyo baada ya kujenga mazingira na kuimarisha uwezo wa wananchi wa nchi husika (wazawa) kufikia kiwango cha kuwa wawekezaji wakubwa. Na hiyo inatokana na ukweli kwamba, katika nyanja za Uchumi kuna wakati wawekezaji hawana budi kukaaa na Serikali na kujadili kwa maslahi ya Nchi hata kama kitakachokubaliwa kitawaathiri wawekezaji kwa kiasi fulani (Hili liliwahi kutokea hata Korea baada ya financial crisis ya 1997; company reforms). Katika msingi huu, si rahisi kuzikutanisha subsidiry companies zilizoko Marekani, UK, Russia, China; ni wawekezaji wazawa tu ndio utawafanya hivi.
Vilevile, Nchi ikiwa inamilikiwa na wawekezaji wa nje pekee na wakubwa, Serikali itafikia wakati itashindwa kutekeleza sera au sheria kwa kuwa itaonekana kama inabagua wawekezaji au itakuwa ikishtakiwa mara kwa mara kwani hawa watu wana mitandao mikubwa na ni wataalamu waliobobea katika nyanja zote kutokana na uwezo mzuri walionao wa kuwalipa wataalamu wao worldwide. Lakini vilevile, Makampuni makubwa yakishika uchumi wenu, ni lazima ya-push kutungwa kwa sheria rahisi ya ku-transfer money ambayo itakuwa mwiba kwa Serikali. Kadhalika, makampuni ya nje yapo kwa ajili ya faida, yanapopewa kushika rasilimali ambazo sio renewable, pindipo zikikauka na wenywe huwa wanafanya "suddenly closure" itakayosababisha economic crisis kubwa sana kushindwa kuitetea.
Kutotoa kipaumbele ikiwa pamoja na kuwapa uwezo, kuwathamini na kuwasaidia ikiwa pamoja na kuwadhamini kupata mikopo mikubwa kwa ajili ya kushiriki uwekezaji wa ndani ya nchi yao, ni kosa ambalo litaifanya Tanzania iwe kama ilivyokuwa Afrika Kusini chini ya Makaburu. Na niwaambie ni hatari kubwa kwa usalama wa nchi. Kwa yeyote anayejua Economic History ataelewa hili, ni kwa kiasi gani UK, US, Canada, Australia, Japan, Korea zemejengeka kwa kuwajenga kiuwezo wawekezaji wao wa ndani. Mlio karibu na Rais hebu, mwambieni hili haraka, kitaalam ni hatari. Profesa Muongo huenda hajui kitu cha namna hii na nashangaa nani anaratibu economia ya uwekezaji katika Rasilimali?
Ni rahisi kuona faida za uwekezaji watu wako, hebu angalia Bakhresa na Mengi namna wanavyosaidia katika ajira na stability ya nchi. Pamoja na mishahara na huduma zao kuwa ni za kada za kati, huwezi kufananisha na Makampuni ya Kigeni ambayo kwao ajira zao ni kidogo, tena zina zaidi ya 3/4 wageni toka nje. Akili gani hii nchi yangu inafanya?????????????. Hatari sana watu wenye mawazo ya Ki-Muhongo-muhongo kwamba "Blacks" hawawezi kufanya mambo ya maana. So sad!
Juhudi za kuongeza Taasisi za elimu ya juu zinazotoa masomo ya biashara kama sasa, hazitakuwa na maana yoyote kama hazitaendana na kujenga uwezo na kuwapa uwezo Kampuni za ndani kuendesha biashara, kuwekeza na hivyo kuajiri wataalamu kutoka vyuo hivyo badala ya kuwaachia wageni ambao watakuja kuleta wataalamu kutoka nchi mwao ambako nako kuna tatizo la ajira. Haya maneno, yatakuja kukumbukwa japo miaka 20 ijayo kwa yatayomkuta Rais wa kipindi hicho wa Tanzania. The Big-Show, Nguruvi3
This is too low for you ndugu yangu.! Unakumbuka hotel ya kilimanjaro walisemaje? Kuna ajenda ya siri inaendelea kwenye ugawaji wa vitalu ikiwapo rushwa na ukusanyaji wa fedha za uchaguzi. Wanaogopa wakiwahusisha watanzania basi siri zitawafikia vyama vingine. Kwa nini wasiseme kuwe na joint investment?
wewe wa ajabu sana, yaani wageni wachukue rasilimali zetu kwakua "hatuwezi"?? kama wewe unaona hauwezi sio kila mtu hawezi unless wewe na mtu kama mengi muwe munaweza kuongea lugha moja nikimaanisha kiuwezo mnalingana..
Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.
I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.