Ndugu, huyo muhongo alikuwa ni mtumishi (mtafiti) wa wizara hiyo, alikuwa mkweli saaana na alikuwa anakipindi TBC radio. Ngeleja alikuwa hampendi mno kwani alikuwa anaweka kila kitu bayana kuhusu madini nchi nzima yaani alikuwa hafichi kitu. Hicho anacho kikataa leo, yeye alikuwa anakishauri jinsi ya kukitelekeza. Kwa masikio yangu mimi nilikuwa namsikia akizungumza haya. Muhongo alivutia watu wengi sana kwa jinsi alivyokuwa anazungu na kuishauri serikali. Ngeleja alikuwa hampendi kwa kuwa bwana Muhongo alikuwa anayaweka mambo yote bayana hivyo kuhatarisha ulaji. Muhongo alikuwa anagawa namba zake za simu redioni kwa yeyote aliyetaka kujua kuhusu masuhala ya madini amuulize. Ngeleja na Muhongo walikuwa mahasimu wakubwa. Ngeleja akamhandalia zengwe, kabla mambo ayajajipa mara gafla kibao kikageuka, Rais akamteuwa Muhongo kushika nafasi ya Ngeleja.
Watu sasa tukajua mpinga ufisadi kaingia kazini, sasa mambo yataenda saaafi kwa umakini, kumbe wapiiii... Yeye ndio nyangumi kabisaaa... kelele za mwanzoni ilikuwa msukumo wa njaa na utapia mlo tu. LEO anajipinga mwenyewe alivyowai kuvipendekeza kutoka kinywani mwake akiwa redioni.
Waliokuwa wakivisikiliza vipindi vyake TBC radio enzi zile watakubaliana na mimi. NASEMA HIVI, NI KWELI CCM NI CHAMA CHA KISHIRIKINA, HATA KAMA UKIWA MSAFI VIPI, UKIINGIA TU HALMASHAURI KUU/ KAMATI KUU, UNAKUWA FISADI LA KUTUPA. Jamaa ndio hivyo tena nae leo hii sio mwenzetu.
Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.
I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.
I sometimes I dont really understand you JF members, when the tangible matters and things that changes community life in general, you all just run away from it. This is veryx5000 important, I want to see some really comments here by dawn. It can't be, nani anataka dharau, eti tanzanians can on invest on fruit processing, I DONT AGREES 1000000%, we can do a lot with our ability, motivation,commitment and for our Nation,
Au ndo vile tena, BUS LA KICHINA, DEREVA MCHINA, KONDA A CHINESE AND THE MECHANIC IS CHINESE.
MLACHAKE, THE BOSS, AND all Economical related personell Re needed here.
Waiting!!!!
Nikikumbuka kipindi kile napoteza muda wangu kumsikiliza redioni, yaani nasikia hasira sana.
KUMBE ni muongo sijui Muhongo. Haya majina wakati mwengine yanatengeneza tabia aisee!. Jamaa lilikuwa pole kweli, linaongea kwa utaratiiiiibu kumbe lilikuwa linajinadi kwa Rais, duuuh!! aiseeeeeee!!!.
Leo hii kali kama chui, halitaki maswali kabisaaaaaaa,.. Kitu kidogo tu linawaka kama moto wa kifuu.
Tafiti tena siyo mjita umekurupuka.Mjita akipata madaraka ndio alivyo na akikosa hupenda sana kujipendekeza ref: mwandishi aliekuwa channel 01 mr kifo..