Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 16,958
- 7,512
Tembelea kyakailabwa inakojengwa mpya nako upige picha ulete waone siyo kuleta tupicha twa zamani kwa ajiri ya masrahi yako binafsi, hamuchoki kutwa kuchonga stori za maji taka?Bukoba wanatakiwa kujenga stand nzuri itakayo kidhi mahitaji yao na kuondoa kero kwa wasafiri wanaotumia stand hiyo.