Ni 34+20=5434+30=64.
Makonda, Ali Hapi, Mzee wa Gwambina na wezi wezi wote mjiandae.
Ni 34+15=49...34+30=64.
Makonda, Ali Hapi, Mzee wa Gwambina na wezi wezi wote mjiandae.
Sio hivyo ni 34+20=54, kesi yake haina msamaha wa rais.Ni 34+15=49...
Hapo bado msamaha wa rais, huenda akakaa 5 tuu kisha akatoka akiwa na miaka 39, akiwa kijana kabisa
Ana case nyingine inaendelea jumatatuAtatoka 2041
Haya ngoja tuoneAtavaa suti tena.
Na muonekano wa mbowe atakuwaje
Duh, hapa umetisha! Sikufikiria itakuwa picha yenye vielekezi vyote kiasi hiki.