Muonekano wa Logo ya Vodacom wanayotumia X kuunga mkono Ushoga.

Muonekano wa Logo ya Vodacom wanayotumia X kuunga mkono Ushoga.

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,523
Reaction score
2,162
Kampuni zinapofanya modifications kwenye logo zao nakuzitumia, kunakuwaga na mawazo tofauti, lakini hili la vodacom litaleta mitizamo tofauti hasa kwa tusiosupport LGBTQ.

Hii ni account ya X inayomilikiwa na kampuni mama ya Vodacom SA ambao ndio wamiliki wa Vodacom TZ

I1I9ZriW_400x400.jpg

IMG_20250615_200800.jpg
 
hio ni voda ya South Africa lakini kwa upande wetu kuna nchi na mashirika mengi sana yanayotupa msaada yapo wazi kuunga ajenda hizo.
 
Kampuni zinapofanya modifications kwenye logo zao nakuzitumia, kunakuwaga na mawazo tofauti, lakini hili la vodacom litaleta mitizamo tofauti hasa kwa tusiosupport LGBTQ.

Hii ni account ya X inayomilikiwa na kampuni mama ya Vodacom SA ambao ndio wamiliki wa Vodacom TZ

View attachment 3370253
View attachment 3370254
Wamiliki kwani ni akina nani?

Serikali ya Tz ichukua hatua tulinde utamaduni wetu au sio?
 
Eti "happy Youth Month"!! Hapo kwenye youth weka PRIDE (LGBTQ+H Community) ndiyo inayowahusu.

Hata Tigo neno YAS ni slang ya mashoga.

Ngoja tuone halotel na airtel watakuja na kitu gani cha kishoga

#MashogaWaMama
 
Huu ni mwezi wa mashoga huko kwa wazungu, kampuni huwa zinabadilisha logo zao na kuweka upinde kuonyesha kuwatambua.
1000040382.jpg
 
Kampuni zinapofanya modifications kwenye logo zao nakuzitumia, kunakuwaga na mawazo tofauti, lakini hili la vodacom litaleta mitizamo tofauti hasa kwa tusiosupport LGBTQ.

Hii ni account ya X inayomilikiwa na kampuni mama ya Vodacom SA ambao ndio wamiliki wa Vodacom TZ

View attachment 3370253
View attachment 3370254
LGBT iko kila mahali, nchi ina rais msagaji na anapractice huo uchafu vibaya mnoo huku akijifanya mtu saafi, radio kibao zimeajiri mashoga, kuna mkoa sheikh wake mkuu alikuwa shoga kwa hiyo hayo mauchafu yamezagaaa kila nchi.
 
Upo sahihi mkuu. Mfano leo waseme magari ni alama ya ushoga. Je mtu yupo tayari kutembea kwa miguu. Mambo mengine unapotezea tu. Rangi zipo miaka nenda rudi, upinde wa mvua upo enzi na enzi leo hii unahusishwa na ushoga
Ni ujinga ujinga tu kwakweli
 
Back
Top Bottom