Bukayo Saka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 280
- 436
Muonekano mpya baada ya kufanya update ya windows 11 pro kwenda 23h2
Imekuchukua MB au GB ngapi mkuu?
Hii Sonoma kwangu naogopa kui upgrade, Nipo Catalina kwanza ila nafikiria kwenda Big Sur.. Ila hii naiogopa sijui kwann nahisi kama ka macbook kangu kataanza kuzingua, nilisoma mahala wakadai inakula resources kis*nge.Kama ya Apple kabisa.View attachment 2818404
Maxmimum uwe na GBs 6-7 kama unataka kuidownload.. Make ISO file Original ina GBs 5 na kidogo..Imekuchukua MB au GB ngapi mkuu?
update ni haifiki gb kama ulikua windows 11 tayari ila image yake gb 5.6Imekuchukua MB au GB ngapi mkuu?
Jana niliupdate kwa WIFI ya bure pale Delta Marrion Hotel lakini mbona haina changes yoyote? Nilitakiwa nifanyaje ili window ibadilike na ionekane kama hiyo yako?update ni haifiki gb kama ulikua windows 11 tayari ila image yake gb 5.6
Mbona nimedownload na kuupdate jana lakini haina tofauti na ile ya zamani mkuu?Kama ya Apple kabisa.View attachment 2818404